siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kipato cha Tsh. 3000 kila siku ni poa au napoteza muda na nguvu?

    Niaje? Mimi ni mwanaume, Nina miaka 28 ,Niko single kwa 7bu ya kuogopa majukumu na matatizo zaidi. Kwa kweli siko vizuri kimaisha kuanzia pesa hadi familia.Niko singo na wala sina mpango wa kuwa na mtoto. Kwa siku naingiza sh 3000 tu. Ni kazi ya kuajiriwa ,natumia masaa 8 kufanya kazi. Sasa...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Polepole: Siku ya uzinduzi wa kiwanda huko Morogoro kulikuwa na mazingira "strange". Je, hayo ni mazingira yapi?

    Polepole amendelea kutufumbua macho. Kumbe hata mamvi ilikuwa ni plan B ya watu wale wale! Kwamba Polepole kanusurika kutekwa akiwa chini ya uangalizi wa Jiwe? "Wanasomeka Polepole na Gwajima kuwa kuna serikali ndani ya serikali." Yote tisa haya mambo strange, anayodokeza Polepole yanaweza...
  3. JamiiForums Tanzania Udanganyifu wa waufahuru TZ kuna siku nikasema na mashaka nao mkaona sio ila huyu anaenda kuishi dubai

    Wengine tupo kulilia nchi ila huyu ni baharia aliyechangamka mpaka ukoo wao hawana nia na tanganyika.Kuna siku mtalia sana
  4. JamiiForums Tanzania Polepole tumekuchoka na kelele zako. Kila siku kifo cha Magufuli, kifo cha Magufuli

    Abadani sijawahi kuendeshwa kwa mikumbo au mihemko. Am so smart physical and spiritual. Kila jambo lazima nilitafakari kijamii na kiroho. Magufuli alikufa kwa kisasi cha Mungu. Aliua watu wasio na hatia damu zao zikalia mbele za Mungu. Mungu akatuma mapepo ya COVID-19 ardhi ya Tanzania...
  5. JamiiForums Tanzania GE2025 Dodoma: Mahakama Kuu yaipa Serikali Siku Tano Kujibu Kesi ya ACT Wazalendo Dhidi ya INEC

    Mahakama Kuu ya Tanzania, Masijala Kuu Dodoma, imetoa muda wa siku tano kwa Serikali kujibu kesi iliyofunguliwa na chama cha ACT Wazalendo na mwanachama wake, Luhaga Joelson Mpina, dhidi ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) na Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Katika kesi hiyo, ACT Wazalendo na...
  6. JamiiForums Tanzania Je, Unabii Huu Wa Prophet Rollinga Kwamba Siku Ya Ijumaa 29/8/2025, Kuna Kitu Kitatokea Utatimia?

    Kumbuka ni ijumaa ya wiki hii na mwezi huu... Je, Unabii Utatimia na kitu Gani kitatokea tusubiri... https://www.instagram.com/reel/DN0iage2O2y/?igsh=MWV2YzFhcGg1NTl4dQ==
  7. JamiiForums Tanzania Siku covax akiandika kupinga hichi kitu ndio nitamuona wa maana

    👇🏻👇🏻 Tofauti na hapo ataendelea kuwa🚮🚮 na itikadi yake uchwara
  8. JamiiForums Tanzania Jana pameandikwa uzi kuwa wanaume wengi siku hizi hatupigi mswaki wala kuoga, je ni sahihi pia kusema wadada nao wamekuwa wachafu kwenye maungio yao?

    Msnipige ban kabla sijaoga jamani..
  9. JamiiForums Tanzania Gwajima tunakuomba Using'ate maneno ile siku ni Leo hebu sema lile neno pole pole ameanza wewe Maliza!!

    Sisi tunazidi kuchochea kuni.. Tunataka waendelee kukaza fuvu zao hivi hivi ili Mapigo yawashukie kama kipindi cha agano la kale! Mwenzako H.P kakataa wahuni na Kamwaga unga na mboga vyote.. Haya ni zamu yako sasa.. Sisi tumeandaa bando na VPN tayari.. Nireteeeni Gwajmaaaa
  10. JamiiForums Tanzania Mpaka sasa Siku kumi zimepita, Yuko wapi Gwajima jasusi la mbinguni?

    Katika mkutano wake wa mwisho , Askofu Gwajima jasusi la mbinguni aliahidi kutamka neno zito sana ndani ya Siku 10 ambazo zimefikia tamati Leo.Hii ni ikiwa makanisa ya ufufuo na uzima hayatofunguliwa.jambo amabalo bado halijatekelezwa. Lakini mpaka sasa bado Jasusi Yuko kimya na hajulikani...
  11. JamiiForums Tanzania Watanzania mnaoishi ughaibuni msitukane mamba kabla hamjavuka mto, Kuna siku mtatimuliwa huko ughaibuni

    Nyie Watanzania wenzangu mnaopotosha umma mkiwa ughaibuni jueni kuwa sera za kimataifa kila siku huwa zinabadilika ipo siku mtarudishwa nchini kwa lazima, Amani yetu ni mhimu sana, tumeikuta amani tumezaliwa kwenye amani ndo maana tupo hai mpaka Leo, wewe kwenda kanada au Marekan usiwe ndo...
  12. JamiiForums Tanzania Kimeumana CCM wangua vilio wakimtaka kembaki polisi watia timu katibu CCM afunguka ( Constructive Manslaughter)

    Ukiwasikiliza hawa wananchi wa Tarime, wana hasira sana, wasije tu wakampelekea mapanga Ester Matiko aliyeteuliwa na CCM... Wasikilizeni wananchi, wana jambo lao hapa : https://youtu.be/SpHCTAw5xJw?si=U1wDtgJVAng4qDJR
  13. JamiiForums Tanzania Kama unataka amani ya moyo usifanye miamala siku ya jumapili kupitia CRDB

    Muamala unafanyiwa kazi masaa, customer service hawapokei, huko mitandaoni hawajibu. This bank is 🚮🚮
  14. JamiiForums Tanzania Siku messi akifanya hivi mniamshe usingizini. Kwaherini!

    Magoli mia katika ligi nne tofauti na timu ya taifa. GOAT ni mmoja tu! Wala ahahitaji xavi au iniesta wa kumpenyezea, jamaa ni mashine ya magoli. Ndugu yenu psg imemshinda, marekani napo pamemshinda ila mwamba ronny hadi jangwani ameyapata magoli and oooh he is 40😦
  15. JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Maombi ya kujionesha, hata kama ni ya siku tisa (Novena), Mungu hayasikii

    Maombi ya kujionesha ni hali ya kuomba au kufanya sala kwa kutaka watu waone, waseme na kusifia. Ni maombi ya mtu anayetafuta heshima ya kidini, sifa au umaarufu wa kijamii kwa kutumia jina la Mungu. Mtu anapotangaza mitandaoni ratiba za maombi yake na kupiga kelele “leo siku ya kwanza ya...
  16. JamiiForums Tanzania Vitabu vya dini vinaeleza kuwa Mungu aliumba jua siku ya nne, ivi waliesabuje siku bila jua?? 🧠🔥

    Vitabu vya dini vinaeleza kuwa Mungu aliumba jua siku ya nne, ivi waliesabuje siku bila jua?? 🧠🔥
  17. JamiiForums Tanzania UVCCM na Vijana machawa mnajua kama kuna siku historia itawakumbuka?

    Kati ya Machifu wapo wanaokumbukwa kwa mema na mabaya... Wapo waliowauza wenzetu kwa vipande vya nguo na zawadi ndogo ndogo Lakini wapi mashujaa kama kina Mkwawa walipambana kwa ajili ya jamii zao Ninyi vijana mliopaswa kutumia akili zenu kuleta changamoto mpya na ubunifu leo mmeamua...
  18. JamiiForums Tanzania Watawala wabovu na maditekta utengenza vikundi vyao vya kujilinda mwisho wa siku wakiondolewa upingana na serikali na kuwa nchi isiyoweza kutulia.

    Siku hizi hapa JF sio sehemu ya kutoa elimu sana kujaza maneno mwisho wa siku uzi wako wakaufuta au kuweka Hidden watu wasiweze kupata taarifa maana unawagusa watawala ambao tukiwashtua watatumia mbinu kukwepa. Tuwe na DMZ sasa. Mfano wa nchi ambazo kama tutajifunza kwao ni Kipindi cha Uganda...
  19. JamiiForums Tanzania TWENDE ZETU SITE ,WEKEND SIKU YA KWENDA SITE CALL US FOR DESIGN AND CONSTRUCTION SERVICES ,TUNAPATIKANA SINZA +255624004650

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…