siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. GE2025 Hesabu chini - zimebaki siku 12! kufika Oktoba 29

    JE, UKO TAYARI Dokezo! #OktobaTunatoka bado siku 12 Sababu tunayo na si moja lakini iwe siku ya kwemda kukomboa waliotekwa na kufichwa! Inauma sana kuwa na serikali inayomwaga damu ya wanamchi alafu inaona sifa! Hata tusipofanikiwa kingine zaidi ya kuwakomboa na kukomesha utekaji ni ushindi...
  2. Siku hizi ujanja ni kutafuta Azam Tv ya Burundi au Malawi

    Huku bei ni mserereko kabisa. Malipo ya mwezi ni kitonga kwelikweli.. Endeleeni na bei zenu za alfu 28 kwa mwezi. Endeleeni kukamuliwa..
  3. Hesabu chini - zimebaki siku 15! kufika Oktoba 29

    UKO TAYARI KUKUMBUKA, ~ Internet inaweza kuhujumiwa je, una njia mbadala Nguvu inaweza kuzimika pia, je, una power bank Kutakuwa na vitisho, ungependa kuendelea hivyo 🔥 Kunaweza kuwa na kukamatwa, unyama, umepoteza moyo wa kuku Je, uko tayari kutumia simu yako kama chombo cha kufichua, kwa...
  4. W

    Katika kuadhimisha siku ya 'Nyerere day' ni kauli au nukuu gani unaikumbuka ya Mwalimu Nyerere?

    Leo ni kumbukumbu ya miaka 26 tangu alipofariki Baba wa Taifa la Tanzania, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Nyerere, ambaye aliwahi kuwa Waziri Mkuu wa iliyokuwa Tanganyika, kisha Rais wa Tanganyika na baadaye Tanzania, atakumbukwa kwa kujenga umoja nchini Tanzania na vile vile kuwa mstari wa...
  5. Heri ya siku yangu ya kuzaliwa

    Hey guys, siku kama ya leo ni siku ambayo mimi nilizaliwa hivyo sina budi kuifurahia. Happy birthday to me 🎂😝🎂
  6. Kulikoni TBC FM hamuweki nukuu za Nyerere siku ya leo, mnaweka nyimbo za komba?

    Katika pitapita zangu huku london nkaweka online radio za TZ, nipate kumbukumbu zake kwa siku ya leo, ila naona nyimbo za komba zimetamalaki, kuliko nukuu za nyerere, maana nyerere hana nukuu alio paka rangi zote kaongelea uhuru wa kweli , true sovereignty.
  7. Tarehe 17 kunani kwani, naona Giza siku hiyo

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Giza kubwa sana siku hiyo SAYUNI BOY
  8. GE2025 Albert Msando: Hakuna vurugu wala Ghasia itakayojitokeza siku ya tarehe 29, Oktoba

    Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Mhe Wakili Albert Msando amesema Serikali ya mkoa wa Dar es Salaam imejipanga kuhakikisha amani na utulivu vinatawala katika kipindi chote cha kuelekea uchaguzi mkuu ujao ambao unatarajiwa kufanyika Oktoba 29 mwaka huu. Mhe Msando amezungumza hayo kwa niaba ya Mkuu wa...
  9. Siku tukifuta posho zote za Wabunge wakabaki na Mishahara tu ndo siku tutakua tumekomboa nchi

    Sehemu pekee iliyobaki ina pesa za bure ni Bungeni ndo maana watu wanapambana kwa kila namna siko kwamba wana wapenda wananchi au kutumikia wananchi hapana. Ila ndo sehemu pekee bunge unapata utajiri wa haraka sana bila kutumia nguvu ni vigumu sana kupata wawakilishi wa wananchi wa kweli wengi...
  10. K

    Siku ya nne leo sijapata haja kubwa

    Nina siku nne sijapata haja kubwa. Nikienda chooni naishia kujamba tu. Nitakua na tatizo gani?
  11. Kuna watu wanakusudia kuandamana siku ya uchaguzi: Tupige kura wanaounga mkono maandamano hayo na wanaoyapinga

    Nakusudia maandamano yale yenye lengo la kupinga zoezi la uchaguzi Kama ni hoja watu wametoa hoja zao sana na kama ni elimu watu wametoa elimu ya kutosha juu ya jambo hilo. Sasa tufanye tathmini ndogo hapa kila mtu aoneshe upande wake anaochagua kwamba anaunga mkono au haungi mkono maandamano...
  12. M

    Haitashangaza pia kuona CHADEMA ikimtetea Mafwele siku zijazo

    Kwa sasa jina la Askari Mafwele ndo habari ya mjini kwenye mambo yanayoendelea. Wanaharakati na wafuasi wengi wa CHADEMA wanamtuhumu kuhusika na utekaji. Kwa sasa wanamtuhumu kumteka Polepole. Hakuna uthibitisho wa madai yao ila wahenga walishasema lisemwalo lipo. Kama ni kweli Mafwele anahusika...
  13. Leo Oktoba 7 ni siku ya kuzaliwa ya Jakaya Kikwete, 'Mr. born town'

    07 October 1950 alizaliwa Mzee Jakaya Mrisho Kikwete
  14. Kuna siku Moja tena hii nchi itarudi mikononi mwa wazalendo kama Magufuli

    Siku zinakuja hii nchi itarudi tena mikononi mwa wazalendo wenye uchungu na rasilmali za nchi na wananchi wake. Kama ilivyokua Magufuli aya mambo ya unyonyaji utaisha kukusanya kodi inaishia mifukoni mwa wachache litaisha. Mda utafika maana tumeshawajua wanamtandao vizuri na propaganda zao...
  15. Taasisi zinazopaswa kufutwa siku nchi itapata demokrasia

    Hizi taasisi japo hazina nguvu kali za kidola zimehusika sana kuvuruga mchakato wa mabadiliko, kufifisha na kurudisha nyuma hata jitihada kidogo za kutetea raia, siku moja kama tutafanikiwa kupata demokrasia ya kweli zinapaswa kufutwa kabisa. 1. Jukwaa la Wahariri(TEF) 2. BASATA 3. Chama cha...
  16. Siku zaja Samia atakuja kujuta kumsikiliza Kikwete

    GT Ulafi wa madaraka hujawahi kumwacha mtu salama japo kwa sasa samia naye anajilmbikizia mali ipo siku atakuja kulia peke yake. Kumsikiliza kikwete lilikuwa ni jambo na uamuzi wa hovyo sana nyakati kama hizi. Kikwete ni FAILURE aliyepitwa na wakati samia na kikwete wanaenda kuangamia kwa...
  17. Baada ya kuijadili sana interview ya Maxence Melo kuhusu sababu ya kufungia JF, The Chanzo walazimishwa kufuta Hiyo interview Mara moja

    Nchi hii ni ya maajabu sana , Nimekuwapo wakati wa Tawala zote ila sasa hii imekuwa ya maajabu mno! Katika interview ile aligusia: 1. Kuhusu mtu mzito kumpigia simu kuhusu kwamba atapotezwa na watanzania watapiga kelele miezi kadhaa na kusahau 2. Akagusia kwanini JF imefungiwa Sasa baada ya...
  18. Elfu 30 yangu nimeitunza kabisa ya kula siku tano mfulilizo

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Sisi ambao ni mpaka uingie mjini ndo upate hela ya kula yaan usipoingia mjini basi huli, huwa mda mwingi ni waoga sana. Baada ya leo kupata habari kwamba Tesha katikisa nchi kama ilivyokuwa imetapakaa huko mtaan, nikaenda kwa wadeni wangu...
  19. Mahakama yaitaka CHADEMA kukabidhi nyaraka za Chama kwa Saidi na wenzake ndani ya siku 14

    Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, leo Jumatatu (29.09.2025) imetoa uamuzi mdogo katika kesi namba 8322/2025 iliyofunguliwa na aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar, Said Issa Mohamed na wenzake wawili dhidi ya Bodi ya Wadhamini na Katibu Mkuu wa chama...
  20. Tarehe 29 Oktoba ni kumbukizi ya kuzaliwa Hayati JPM na ndiyo siku ya uchaguzi mwaka huu huku wananchi wakidai kuandama kupinga uchaguzi huo

    Wakuu kuna mambo nayaona kuelekea Oktoba 29 mwaka huu isiyo ya kawaida kabisa katika nchii tangu kizazi cha uhuru. Tarehe hii 29 Oktoba imebeba historia nzito sana kwa Taifa la Tanzania,inahusisha mambo makuu matatu ya kuogofya 1.Uchaguzi Mkuu wa Rais,Wabunge na Madiwani. 2. Kumbukizi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…