CHAMA Cha Mapinduzi Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa kimemchangia Sh 1,553, 500 Katibu Mwenezi wa Bawacha Mkoa wa Njombe, Sigrada Mligo, kwa ajili ya kwenda kupata matibabu katika Hospitali ya Peramiho, kutokana na kipigo.
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, CPA Amos Makalla...