siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia hayapi kipaumbele mambo ya msingi kama maji na umeme?

    Angalia huduma za Msingi kama umeme, maji nk ni kero tofauti ni mtangulizi wake. Hivi mnajua kwa Nini Magufuli anapendwa sana mtaani licha ya wizi wa kura au mauaji aliyoyafanya? Ni kama alikuwa anafanya vyote ili jamii kubwa ineemeke. Kipindi chake hakukuwa na matatizo ya umeme na maji kabisa...
  2. JamiiForums Tanzania Kamati ya Amani yampongeza Rais Samia

    Kamati ya Amani na Jumuiya ya Maridhiano Tanzania imempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutimiza miaka miwili madarakani na kusema katika kipindi hicho kwa kiasi kikubwa ameifungua Tanzania katika mambo mbalimbali ikiemo uhusiano wa kimataifa, Demokrasia na ukuaji wa Uchumi kupitia ujenzi wa...
  3. JamiiForums Tanzania Siasa ni mchezo mchafu, Milioni 5 tu zinafanya aongelewe kila mechi

    Wanasiasa ni watu wabaya sana, wakitaka kukufadhili kitu bora ukatae, ni fursa ya kuwatangaza kisiasa hiyo. Yaani mama akaona atazungumziwaje kwenye soka. Akajifanya ananunua kila goli, sasa imekuwa too much kwenye kila radio kila kiongozi, fedha za mama, fedha za mama!
  4. JamiiForums Tanzania Kitendo Cha kutubatiza jina la wanyonge hapo ndio niliona kuwa siasa ni upuuzi mtupu

    Watu wenye Akili tunajua kuwa siasa za Tanzania ni ubabaishaji mtupu. Miaka 60 hamna Jambo la maana mmefanya zaidi ya wizi wa rasilimali zetu. Kila siku mnabatiza watu majina mara wanyonge bla blah kibao tu. Wanasiasa watanzania ni wezi mmeshikilia sectors muhimu nyie na Familia zenu, ni mtu...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kwa sura nazoziona hapa (CHADEMA) hamna dhamira ya kushika dola 2025, mnajua mama yupo

    Rais Samia akiwa katika Maadhimisho amezungumza mambo mbalimbali. Akiwa anajibu hoja ya Freeman Mbowe na Mwenyekiti wa BAWACHA kuhusu nia yao ya kushika dola 2025 Rais Samia amesema: "Ndugu zangu siasa ni mchezo wa kulumbana kwa hoja Wote tukiwa na lengo la kushika dola kama alivyosema...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Katuni ya Masoud Kipanya inamaanisha nini?

    Ndugu hii katuni inamaanisha nn?
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mbowe, maridhiano yako bila kuwasamehe wale wabunge 19 yatakuwa hayana maana

    Freeman Mbowe huwa anahubiri mambo ya kusema kweli na maridhiano wakati yeye si mkweli na hatabiriki misimamo yake kwani anauwezo wa kubadili gia angani haraka sana ili mradi kuwe na pesa mbele yake. Alifanya hivyo wakati anauza chama kwa Lowasa na amefanya hivyo tena wakati anaanza kupokea...
  8. JamiiForums Tanzania Ingelikuwa siasa ni mpira wa miguu

    Niwasalimu tena kwa jina la Jamhuri ya Muungano. "Kazi iendelee😅😅 (japo kuwa hamna kazi..) Nimekaa na kuwaza hivi siasa ingekuwa mpira wa miguu; CCM hutumia mfumo gani na Chadema mfumo gani (tuseme vyama vingine wakae upande wa mashabiki) Mimi nimewaza hivi; CCM hutumia mfumo wa 541 yaani...
  9. JamiiForums Tanzania Siasa ni akili, kama kichwa chako ni kitupu utaishia kuua wenzako tu

    Kwema Wakuu! Ukishakuwa Empty Set kwenye Siasa utaishia kuchezea wenzako faulu, alafu Bora ziwe technical faulu ili tuone unaakili, Nop! Wewe utavuruga tuu wenzako kama kichaa. Utabutua butua wee! Mwishowe utachokwa utapewa Red card. Nakushauri kama unajijua bichwa lako ni Akili Kisheti empty...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Siasa ni mchezo wa Kuzidiana Mawazo na Akili lakini Tukiwa tunaenda pamoja!

    Nimeipenda sana hii kauli Siasa ni mchezo wa Kuzidiana Mawazo na Akili lakini Tukiwa tunaenda pamoja Huwa nasema siku zote hapa JF kwamba Siasa Siyo Uadui Leo nashukuru mh Rais Samia ameniunga mkono Ili tupate maendeleo ni lazima Twende pamoja lakini kwa akili kubwa Mungu wa mbinguni...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe ni Profesa wa Siasa

    Habari wanajukwaa, sitaki kuandika sana. Nimeangalia kongamano la BAWACHA ambalo Mgeni Rasmi alikuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan. Mbowe ameeleza mazito magumu waliyopitia, lakini amesamehe. Ila karata aliyoicheza inatosha kumuita Profesa wa Siasa.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Laana ni kuchukua TZS Bilioni 3 ili mfanye siasa

    Namshukuru sana Lema kwa kuona tatizo la bodaboda na kuliongelea. Kimsingi jamaa yuko sahihi sema siasa zitaaribu hoja yake ya msingi. Bodaboda ni tatizo kubwa sana nchini, miaka 20 ijayo ilo tatizo litaonekana wazi, cha kufanya ni kukabiliana na tatizo kabla halijawa kubwa. Changamoto mbili...
  13. JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu kuhusu siasa za Rais Samia, Je CCM ipo tayari?

    Good morning members. Heri ya siku ya wanawake. Ukiangalia Kwa jicho la kawaida kabisa ni kwamba Mh. Rais ana ndoto ya kuona siasa za bara na Zanzibar zinakuwa Sawa 2025. Inaonekana Rais anataka kuona Serikali ya umoja wa kitaifa ikiundwa baada ya uchaguzi mkuu 2025. Kwa kwenda mbali zaidi...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Maridhiano ya CCM na CHADEMA Ndiyo Kawaida ya Vyama vya Siasa Duniani Ilivyo?

    Mara nyingi sisi hupenda kuiga au kujilinganisha na hawa wenye demokrasia yao waliyoitengeneza kwa muda mrefu. Sasa nauliza, hizi mbinu za CCM ya Samia na CHADEMA ya Mbowe inakidhi kweli mlinganisho wowote na wayafanyayo Democratic Party na Republican wa Marekani au Chama cha Labour na...
  15. JamiiForums Tanzania Wanawake Wana Akili Kuliko Wanaume? Hata kwenye Siasa na Uongozi, Wanawake Wameonyesha Uwezo Kuliko Wanaume

    Wanabodi, Huku nikiisubiri kesho kwa hamu kushuhudia akili za wanawake kwenye kilele siku ya wanawake duniani hapo Machi 8, huku nikitafakari mwelekeo na mustakabali wa siasa zetu za hapa nyumbani Tanzania, nimekuja kujiridhisha kiukweli kabisa ukubali, ukatae, kumbe wanawake wana akili sana...
  16. JamiiForums Tanzania Siasa za kufurahishana Wanasiasa na kuwasahau wananchi

    Salam wakuu, Bila kupoteza muda huu ndiyo uhalisia wa hali ya siasa nchini kwa sasa.Wanasiasa wako busy kufurahishana na kulambishana asali huku wakipongezana kwa kauli ya "MARIDHIANO" huku wakisahau wananchi wanagongwa 800k wanapounganisha umeme, wanasahau wananchi wengi wanataabika kwa huduma...
  17. JamiiForums Tanzania Siasa za Kijungu Jiko, Penye Uzia, Penyeza Rupia!. Hakuna Mkate Mgumu Mbele ya Chai!, Hata Uwe Mgumu Vipi, Mbele ya Chai/Rupia, Lazima Utalainika!

    Wanabodi Waswahili wana vijineno neno vyao, ukivisikia unaweza kuviona ni kama vineno vya Utani!. Moja ya vineno hivyo ni "Penye Uzia Penyeza Rupia!" na "hakuna mkate mgumu mbele ya chai". Siasa zetu ni siasa za kijungu jiko, yaani siasa za hand to mouth kwa kutegemea ruzuku!. Hizi ni siasa...
  18. JamiiForums Tanzania Watano wapendekezwa kumrithi Mrema TLP, Ukata watawala

    Mkutano ulikuwa umeitishwa na chama cha siasa cha TLP maarufu kama majogoo leo kuwachagua viongozi wa juu ikiwemo mwenyekiti wa kitaifa umeshindwa kuchagua baada ya vurugu kuzuka kati ya makundi hasimu ndani ya chama hicho. Polisi waliitwa kutuliza vurugu kisha pande hizo mbili zikakubaliana...
  19. JamiiForums Tanzania CHADEMA wamehalalisha haramu 'Covid-19' na Ruzuku

    WanaJf, salaam tena! Nimekuja kuuliza tena baada ya shangao kubwa linalotokana na ndimu mbili za chama kikongwe cha upinzani - CDM. Kimsingi sitegemei kuona CDM kikitoa misimamo inayoyumba na kuyumbisha taifa letu. REJEA (a) Baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 CHADEMA ilituma kwa Spika majina...
  20. JamiiForums Tanzania CHADEMA fanyeni Maridhiano na wabunge 19 kama mnavyofanya na CCM, mtawashangaza maadui zenu

    Hakika nimefurahishwa sana jinsi Rais Samia anavyofanya siasa zake. Hakika huyu mama anaijua siasa sana kuliko mtangulizi wake, hayati Rais Magufuli. Kitendo cha kukubali kufanya maridhiano na Chama Kikuu cha Upinzani CHADEMA, wakati hayati Rais Magufuli aliombwa na Mbowe lakini alikataa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…