Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.
Ikumbukwe mwaka 1985, Mwalimu Julius Nyerere aling'atuka madarakani huku bado wananchi wengi wakipenda aendelee kuongoza.
Hali hiyo ilijiri wakati nchi ilipokuwa ikikumbwa na changamoto kubwa za kiuchumi kufuatia masharti magumu ya mashirika ya fedha ya Kimataifa (WB na IMF), na miaka michache...
Kwasasa majina ya wanasiasa ni makubwa sana kuliko jina la jamhuri,Chama cha siasa ni taasisi kubwa kuliko jamhuri matokeo yake tunatibu hisia za wanasiasa na tamaa zao kuliko matakwa ya jamhuri!ni kwanini tumeamua kuidogosha jamhuri na kukuza majina ya wanasiasa na vyama vyao!!?
Ni nani tumpe...
Mi huwa naamini kwamba kila mwenye degree basi ana akili sana ya utambuzi. Hii ni kinyume na mpina. Alifikiri zile ngonjera za kutukana na kukosoa na kushangiliwa na laymen wasiojua lolote bali kufurahi mtu anapotumbuliwa ili afanane na wao.
Mama aligundua hilo akaamua kufanya divide and rule...
Kwa kweli ukiangalia Jamii Furums, WhattsApp, Instagram, n.k. kati ya post 10 za siasa, 9 ni kuhusu CHADEMA. Ni kama vile CCM imeondoka kabisa kwenye ulingo wa siasa wa Tanzania, na hili jambo linasemwa kuwa linonesha hali halisi ya nguvu za vyama hivi vya siasa hasa CHADEMA ambayo habari zake...
Bila kupiga chenga naingia kwenye mada na leo nazungumzia kujitambua kwa wanachama na wapenzi wa CHADEMA.
Mara kadhaa nimekuwa hapa JF nikiuponda upinzani khasa CHADEMA kwamba wapo kuisindikiza CCM kwenye siasa tangia mwaka 1992 upinzani ulipozaliwa rasmi kwa maana ya vyama vingi vya siasa...
Ndugu zangu Watanzania,
Habari ndio hiyo ya majonzi juu ya kifo cha msajili wa vyama vya siasa mstaafu John Tendwa ambaye amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo.
Amekuwa msajili tangia wakati wa hayati Benjamini Mkapa mpaka wakati wa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete 2013.
Amepigana vita iliyo...
Ndugu Yericko Nyerere , naona mrija wako upo hatarini kukatwa .
Baada ya ujio wa Tundu Lissu ndo tujaua ukweli ikiwa kilimo cha Bamia kinalipa hadi mtu kujenga hekalu na maghorofa.
Bado nafuatilia jina la chama hicho na nembo yake. Lakini kitashiriki uchaguzi mkuu ujao wa Madiwani, Wabunge na Rais.
Watanzania wengi sana wanakisubiri chama hicho kwa hamu kubwa.
Mungu ibariki Tanzania.
Habari zenu wanaJF wenzangu
Wakuu kuna mambo mengine yanashangaza sana, kiasi ya kwamba sometimes mtu unajiuliza kwamba haya mambo yanayotokea huwa yanakuja tu yenyewe au kuna mtu/watu wanayapanga yatokee kwa sababu fulan.
Kwa leo naomba nizungumzie haya yanayotokea kipindi hiki cha mwezi...
Fuatilia moja kwa moja mjadala unaofanywa na JamiiForums kwa kushirikiana na StarTV kuhusu hali ya siasa Nchini, na utawala wa sheria kuanzia saa 3:30 Usiku mpaka saa 5:30 Usiku.
Washiriki ni;
1: Wakili, Boniface Mwabukusi - Rais wa TLS.
2: Ado Shaibu - Katibu Mkuu ACT WAZALENDO.
3: Benson...
UKWELI, HAKI, AKILI NA UPENDO(UTIBELI) NDIO MSINGI WA UTAWALA BORA NA SIASA SAFI ZA KULETA MAENDELEO YA KWELI (True Development)
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Maendeleo ya Kweli (True Development) ni mabadiliko chanya yanayotokea kuanzia ndani ya mtu(hisia, Akili), na nje ya mwili katika...
Ikiwa ni saa chache tangu Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu kutangaza kuwania nafasi ya uenyekiti wa chama hicho ngazi ya taifa, wakati wa mkutano na wanahabari uliofanyika Alhamisi tarehe 12 Desemba 2024, Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri...
Kenya wana mfumo mzuri wa uongozi wa vyama vyao vya siasa na ndio maana hutakaa usikie sijui Raila apumzike, sijui Kalonzo sasa atupishe kule Wiper.
Kenya chama kama ODM na vyama vingine wana kiongozi mkuu wa Chama ambaye ni Raila Odinga, huyu ni mbeba Idea ya ODM, hiki cheo gakishindaniwi...
Baada ya Tundu Lissu kujitosa kugombea uenyekiti wa CHADEMA ni wazi kutakuwa na mchuano mkali sana endapo Mbowe naye ataamua kugombea tena nafasi hiyo. Huo ushindani hautakuwa na afya kwa CHADEMA zaidi sana endapo Mbowe atashinda tena, kwa mantiki hiyo ni vyema basi Mbowe akaamua au akashauriwa...
Hakuna haja ya kujipiga kifua, kujidanganya na kuhadaa umma eti chadema hakuna mgawanyiko wala mafarakano na vita ya chini kwa chini miongoni mwa viongozi wake wa andaminizi, hasa kambi ya mwenyekiti taifa na makamu mwenyekiti wa Chadema taifa.
Ukweli usemwe ndrugu zango kwenye changamoto za...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC-Organ) Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Utatu wa Wakuu wa Nchi na...
Hili wakuone unaimba gospel kweli inabidi kwenye verse moja utamke Yesu mara 200.
Uvae mashati ya kung'aa ,chini moka na nk.
Hawa wasanii wanaoimba gospel janja kwa walokole siasa kali wanawaona kama wanaimba pini za kina Diamond tu.