siasa

  1. Kweli sasa Shilingi yetu inazidi Kushuka thamani yake kama Chama Kimoja Kikongwe cha Siasa kinavyozidi Kushuka thamani Barani Afrika

    Kwa wale tuliosoma au kuishi Uganda miaka ya katikati ya 90 na mwanzoni mwa miaka ya 2000 mtakubaliana nami GENTAMYCINE kuwa tulikuwa tukija Uganda na TSHS 200,000 basi huku tukizibadili tunakuwa Matajiri na Kula sana Bata maeneo ya Club Silk na Ange Noir kwani tulikuwa tunapata UGX 400,000...
  2. Mo Dewji soka ni siasa na kwa Tanzania ni dini, ondoa Try Again, Mangungu na umuonye Imani. Simba fans tunakusihi kwa sababu wakati ni ukuta...

    MOHAMED DEWJI ADUI ZAKO NI TRY AGAIN NA MANGUNGU SIYO WANACHAMA WALA SI WASHABIKI WA SIMBA, UNAPOTAKA KULA LAZIMA ULIWE , WAWILI HAWA SIYO WALAJI BALI NI WALAFI,WAONDOKE SASA AMA WEWE MWENYEWE UKUBALI KUWAJIBIKA ONCE AND FOR ALL…..WASHAKUWEKA KONANI, SIMBA FANS WANAPUNGUKIWA IMANI NAWE…..EMBU...
  3. Serikali iache kuingiza siasa kwenye mengine

    Imekuwa kawaida sasa kwa serikali kuingiza siasa katika jambo linakalibia kufanikiwa au kufikiwa, tena viongozi wa kisiasa ndo wamekuwa mbele kudandia jambo. Mfano, tumeona sekta ya michezo vilabu vyetu pendwa vimevuja jasho mpaka wanafikia hatua fulani ambayo inaweza kuipa mafanikio klabu...
  4. Tuhuma za wanaharakati wa CHADEMA kupewa pesa na viongozi wa CCM zinaenda kukizamisha chama, Martin Maranja atajwa

    Nanukuu alichoandika mjumbe wa bavicha, kamanda Faustine "….. waraka wa Wazi kwa Martin Maranja Masese, MMM na Watu wote. Mwenyekiti wetu wa Chadema Taifa (my role model) alipo ona opportunity ndogo ya kuketi na kuzungumza na Samia namna bora ya kuleta mabadiliko ya kimfumo na upatikanaji wa...
  5. Ziara ya Dkt. Biteko kituo cha huduma kwa wateja ilikuwa siasa au utendaji?

    Nasema hili kwa maana kwamba tuna tatizo la umeme mwezi mzima eneo letu, hakuna huduma ya umeme, na tushafanya ufuatiliaji wa njia zote pale Mkuranga, majibu ni kuwa tusubiri suala letu liko ngazi ya juu ya ufundi, lakini hawajawarudishia majibu ya nini kifanyike kutatua changamoto hiyo na wala...
  6. Una kadi yoyote ya chama cha Siasa? Uliichukua kwa madhumuni gani?

    Leo nimeshuhudia watu wakitembea kuwashawishi watu wajiunge na chama chao cha siasa, Watu hao walikuwa wawili walinifuata na mimi wakanambia nijiunge kwenye chama chao ili niwe mwanachama nipate na kadi ya chama chao huku wakinishawishi kuwa siyo gharama kubwa kulipia kadi hiyo kwa mwaka. Jambo...
  7. R

    Dr. Emanuel Nchimbi put your words into action

    “Embracing Nyerere's Legacy for Tanzanian Progress” In an emotive and forward-thinking speech delivered at the Mwalimu Nyerere Memorial Academy on April 8th, 2024, Dr. Emanuel Nchimbi, the Secretary-General of Chama cha Mapinduzi (CCM), outlined a compelling roadmap for Tanzanian leaders to...
  8. Ajira za TAMISEMI za Ualimu na Afya zina ukweli ndani yake au ni siasa?

    Siku mbili tatu hivi Kuna tangazo limekuwa likitembea linalohusiana na ajira za ualimu na afya. Japo tangazo hili ukilitafuta kwenye website ya TAMISEMO halionekani, sasa nauliza Tangazo hili linaukweli ndani yake?
  9. Uturuki wajitetea kwamba matamshi yao dhidi ya Israel ilikuwa siasa tu, wasichukuliwe serious

    Kwamba jameni ile ilikua siasa tu, msiwe mnachukulia kila kitu kwa uzito. ============ While Turkish President Recep Tayyip Erdogan has been attacking Israel since the war in Gaza began, he actually wants to improve diplomatic relations with Israel, Maariv reported on Tuesday. Last week, the...
  10. Je, ndio wakati wa Ally Hapi kurudi kwenye ulingo wa siasa?

    Baada ya tengua na teua zilizotolewa usiku huu, je ndo wakati wa kumleta ndugu Ally Hapi kwenye ulingo wa siasa kama ilivyofanyika kwa Makonda? Let's wait and see.
  11. Nguli ndalichako amekosea wapi?

    Nguli ndalichako amekosea wapi. Maana kapigwa chini kimasihara Maana sio bure
  12. Bashe hana jipya zaidi ya Siasa kwenye Wizara muhimu

    Kwanza I have to declare interest mimi ni mkulima wa mazao ya biashara. Na kama mkulima wizara ya kilimo ndio mlezi wangu ila kwa uongozi wa Bashe nachelea kusema tutachelewa sana. Tanzania ilikuja na wazo la kufanya mchikichi kuwa zao la biashara, ilikuwa hatua nzuri kweli na Kigoma...
  13. Ukabila, ukanda, udini, ubinafsi na siasa vitaigawa Tanzania siku za usoni, tuvikemee

    Ukitazama Muundo wa Kupata kazi sehemu Nyingi za Serikali, kumekua na Ukabila, Ukanda, Udini, Ubinafsi na siasa, hivi vimetawala Sana katika akili za watu wengi, ninachokiona kupitia hivyo, siku zijazo vitatumika kuligawa hili Taifa. Mfano wazanzibar walioko katika Vyombo vya usalama na sekta...
  14. Onyo: Wakileta siasa uwanjani, tutaombea timu za Tanzania zifungwe

    Natoa onyo kwa Mamlaka zitakazoruhusu kuingiza siasa kwenye mechi za Simba na Yanga dhidi ya Wapinzani wao kuacha kufikiria jambo hilo. Hatutarajii kwenye uwanja wa Mkapa kuona mabango ya Wanasiasa , hatutakubali picha ya Mbunge wa Temeke wala Diwani wa kata ya miburani. Ukiwa na kiherehere...
  15. Ni muda sasa wa Katiba Mpya ipitishe kifungu cha mgombea Binafsi au Kuruhusu Katiba ya Warioba

    Ni miaka 62 sasa Toka Tupate Uhuru, Lakini matakwa ya Watanzania na Tanzania walioitaka Bado haijafanikwa kupatikana.. Walau hata kwa 40% Bado Nchi inajitahidi kufikisha angalau matakwa kwa 50% au hata zaidi ya hapa katika uchambuzi wangu binafsi.. Nimegundua Tatzo ni Sera,Ilani na Hata katiba...
  16. Leseni na Bima ya kufanya siasa

    Yaani Nawaza Kisichowezekana Nimejiuliza sana, nikajiuliza tena na tena, hivi kwa nini Watoa Huduma wote wanatakiwa wawe na vyeti vya kufuzu masomo yao, na kama haitoshi, pale wanapotaka kufanyakazi wanapaswa wawe na leseni. Mfano Madaktari, Walimu, Mafundi wanatakiwa wawe na vyeti vya ufauru...
  17. Acheni siasa za mpira, ukubwa wa Mamelod ni upi?

    Ukubwa wa mamelod ni upi? Timu ambayo toka mwaka 2016 haijawai kuchukua ubingwa wa Africa? Mamelod anayeishia robo na nusu fainali kila siku? Kuna wajinga wanasema hata wachezaji wa al ahly eti hawaingii kwenye kikosi cha mamelodi bangi au? Mamelodi kazidiwa mafanikio na Al ahly Wydad...
  18. Tuache siasa katika elimu. Tahasusi mpya ni sahihi na zinapaswa kuongezwa zaidi

    Habari za wakati huu; Nimeona watu wakitoa maoni yao mbalimbali kuhusu tahasusi mpya zilizotangazwa na TAMISEMI. Katika kufuatilia mijadala, nimekutana na maoni mengi sana ila nalazimika kusimama hapa na kuiunga mkono serikali kwa uamuzi wake huu. Uamuzi huu ni uamuzi sahihi kwa wakati sahihi...
  19. Nini tathmini ya matokeo ya vyama vya siasa kuandamana kupinga hali ngumu ya maisha?

    Nini matekeo ya wananchi kuandama kupitia vyama vya kisiasi kupinga hali ngumu ya kuichumi kutaka serikali iwape relief ya maisha? Je, imekuwa na matokeo chanya kwa jamii? Serikali iliweza sikiliza vilio vya wananchi wanyonge? Ama vyama vya siasa vilitaka kuona nguvu ya ushawishi walyonayo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…