CCM, MSAJILI wa VYAMA vya SIASA; WANACHEKESHA.
Kuna jitihada zinazoendelea kufunika dosari kubwa za kikatiba, kikanuni, na kisiasa katika mchakato wa kumteua mgombea Urais CCM mwaka 2025. Mchakato huo ulikuwa na dosari za msingi na kimantiki.
Wachambuzi na wapambe wa DOLA wanatumia historia...