Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.
DK. NCHIMBI NA DHANA YA “VICE-PRESIDENTIAL DILEMMA”
Tafakuri ya Habibu Mchange
Katika sayansi ya siasa kuna dhana inayojulikana kama “Vice-Presidential Dilemma” yaani mtego unaoweza kumkabili Makamu wa Rais anapotaka kujenga utambulisho na mustakabali wake binafsi wa kisiasa, huku akiwa...
John Heche, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA amesema; “CCM sio Chama cha siasa bali ni Dola iliyojivisha nguo za Kijani, CHADEMA ndio Chama cha siasa kwakuwa huko field hatukutani na CCM bali vyombo vya Usalama”
Video: Clouds Media Digital
Kwenye siasa kuwa na msimamo unaoleweka na wa wazi ni jambo muhimu sana la kujenga heshima na kuaminika.
Ukiangalia katika siasa za Tanzania BAKWATA wao wamejifungamanisha wazi kabisa na CCM na serikali yake, hawajifichi na msimamo wao uko wazi kabisa unaeleweka kwa watawala na wafuasi wao...
Tangu kale, mwanadamu amekuwa akitafuta maana ya kuwepo kwake kupitia mahusiano na wenzake. Hata hivyo, pale ambapo jamii zinapokutana na mipaka ya kijiografia, dhana ya utu mara nyingi humezwa na dhoruba inayojulikana kama siasa za kijiopolitiki (Geopolitics).
Kwa jicho la kifalsafa...
Wanasiasa wengine hivi sasa, hasa vijana hawana tena muamko wenye kuibua mawazo mapya wala fikra mbadala na bora zaidi za kutatua changamoto zao, wala hawana tena uwezo wa kujitetea wenyewe kwa hoja, bali sasa wengi wao wanasubiri, na in fact wamemezwa na siasa za matukio au vihoja vya kutafuta...
Heshima kwa wasanii wote walihusika kufikisha hapa muziki wa kizazi kipya maarufu bongo fleva,pia R.I.P kwa wasanii waliotangulia mbele za haki especially D-ROB.Kwa miaka mingi baad
hi ya wasanii wamejaribu kuleta ladha tofauti na asili yenyewe(bongo fleva) lakini wapo waliosimamia misingi ya...
Iko kwenye list ya bank zilizofilisika, cha kushangaza yenyewe tu ndo imepandishwa kwenye zinazouzwa kumbe ni mchezo wanasiasa wanachakata kupitishia Pesa za seyschekkes yote
Pili Kikwete ameharibu sana nchi hii,
Wamemu approach Firoz Bayi anayefanya biashara kariakoo mwenye asili ya India ...
Ukiona moshi unafuka mahali jua moto upo chini. CCM inaamini imefanikiwa kuwazuia watanzania kufikiri nje ya wanavyotaka wao watanzania kufikiri, kumbe sivyo.
Hapo chini ni katuni ya msanii ambaye ameamua kutumia kipaji chake kuelezea hali halisi ya siasa za Tanzania
Cha kusikitisha watu...
Uhalifu dhidi ya uhai wa binadamu ni kitendo chochote kiovu kinachokatisha au kuhatarisha maisha ya mtu mwingine kinyume cha sheria na maadili. Vitendo hivi vinasababisha maumivu makubwa, hofu, na kupotea kwa haki za msingi za kuishi.
Matendo ya Kuua mtu kwa makusu, Kupiga na kujeruhi watu...
Kumteka mwanachama wa CCM kwa sababu amethubutu kuikosoa serikali na chama chake ni ishara ya hatari sana kwa demokrasia yetu.
Soma Kada wa CCM, Bakari Kazungu, ambaye amekuwa akikemea uchawa, atekwa na kufanyiwa vitendo vya kikatili
Mwananchi ana haki ya kusema ukweli. Mwanachama...
CCM kama chama cha siasa kilishakufa siku nyingi sana. Sasa hivi ni genge wa wahuni wamejivika mamvuli wa chama cha siasa. Lakini ni typical group la wahuni na wezi.
Sijawahi kuona mwizi ana ambiwa tu acha kuiba na akaacha. CCM ni wezi hawako tayari kuacha wizi kwa mazungumzo. Hiyo tusahau...
Mahakama Kuu masjala ndogo ya Dar es Salaam inatarajia kutoa uamuzi wa maombi madogo ya zuio la kufanya shughuli za kisiasa kwa CHADEMA Agosti 28, 2026 saa tisa alasiri.
Maombi hayo yaliyowasilishwa mahakamani hapo na Said Issa Mohammed na Ahmed Rashid baada ya kesi waliyokuwa wameifungua...
Watanzania sasa mpaka dira za uongo tu. Hebu tujiulize kwa utaratibu wa sasa serikali yenyewe haifuati sheria, hakuna uwajibikaji na viongozi wala rushwa hivi . Kwa katiba hii na mifumo hii Dira ni kama vichekesho tu. Kila mwenye akili anajua ni kujidanganya tu kwa huyu Mama na kupenda kusifiwa...
Nmekuwa nashangaa kuona kila mechi inayokutanisha Simba na yanga kupangiwa kuchezwa visiwani Zanzibar, nadhani kwa kufanya hivyo ni kutukosea Sisi watanganyika(Tanzania bara)kwani Simba na yanga ni timu za Tanzania bara ambazo n tunu kwa watu wa bara kitendo cha kupeleka mechi za Simba na yanga...
Miaka ya hivi karibuni wanasiasa wamekuwa na nguvu kubwa pengine kuliko kundi lolote kwenye jamii
Hii ni kwasababu, hata vyombo vya dola karibu vyote dalili nyingi zinaonyesha vinahofu na wanasiasa, vinaongozwa kwa kufuata mwanasiasa anataka wafanye nini
Polisi, mahakama, na vyombo vingine...
Ni muhimu zaidi vyama vya siasa vyenye sifa za kikatiba za kushiriki chaguzi ndio haswa viketi chini pamoja na kushauriana namna ya kuliunganisha taifa kwa hiyari katika maridhiano hayo miongoni mwa waTanzania.
Hakuna haja,
wala sababu hata moja ya kubabaika na porojo au masharti useless ya...