siasa zetu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yoda

    JamiiForums Tanzania Siasa zetu za vyama zimefika saturation point kwa CHADEMA

    Ilianza NCCR ikapotea CUF wakachukua nafasi yao CUF nayo ikapotea CHADEMA ikachukua nafasi ila kwa tulipofika sasa mabadiliko yatapatikana kupitia CHADEMA au hayatapatikana kabisa. Hakuna dalili kuna chama kitakachoweza kuchukua nafasi ya CHADEMA kutoka miongoni mwa vyama vilivyopo au hata chama...
  2. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Binafsi naomba mgogoro wa mashariki ya kati usambae dunia nzima ili Afrika tufanye maboresho (Updates) ya siasa zetu

    Kwanza ieleweke sina furaha na maisha ya waafrika wote kwa ujumla. Siasa na uchumi wa Afrika si tu kwamba umetekwa bali umetekwa na watu wasiokuwa na sifa wala uwezo wa kufanya hivyo. Ulaya na Asia wanasiasa na watu wenye nguvu za kifedha ni watu elites na wenye both political and economic...
  3. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Wameua maelfu, wameseka ndani na kuteka watanzania wazuri halafu unawasikia wanasema eti siasa zetu changa kujifanya hawajui wanafikiri sisi wapumbavu

    Wameua maelfu, wameseka ndani na kuteka watanzania wazuri halafu unawasikia wanasema eti siasa zetu changa kujifanya hawajui wanafikiri sisi wapumbavu Mauaji utekaji sio siasa, wewe unapaswa kwenda jela.
  4. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Unafikiri hili litawezekana kwa siasa zetu za Tanzania?

    Nimewaza: Vipi kama Samia akishauriwa kufanya kama Raisi Mwinyi kule Zanzibar na kuvipa vyama vya upinzani nafasi za uwaziri? Hili likafuatiwa na Mh. Tundu Lissu kuachiliwa, kisha kuteuliwa kuwa mbunge na waziri na kisha kukabidhiwa wizara ya katiba na sheria. Vipi kama Mh. Lissu ataliongoza...
  5. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania A man of the people; sura halisi ya siasa zetu

    The man of the people ni riwaya ya kiada katika somo la English Literature kwaajili ya mtihani wa Taifa wa kidato cha nne. Iliandikwa na Chinua Achebe mwaka 1966 kujadili siasa, rushwa na ubinafsi wa viongozi wa kiafrika baada ya uhuru. Nachelea kusema, kama hukuisoma riwaya hii bado huzijui...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Tangu Siku za Yohana Mbatizaji Ufalme wa mbinguni hupatikana kwa Nguvu Nao Wenye Nguvu Huuteka Mathayo 11:12. Ndipo Tulipofika na Siasa zetu!

    Kama huna nguvu hutafika popote wala hutateka chochote Yohanne anaelezea nguvu za Kiimani lakini katika Siasa zetu wenye nguvu za kiuchumi ndio huuteka Ufalme Ufalme siyo Kuongoza bali kuenjoy matunda ya Wanaoongoza Kwa mfano Chaumma anayeongoza ni Hashim Rungwe lakini wanaoburudika kwa...
  7. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Ukiwa haujui utaratibu wa watanzania ndo unaweza kushangaa ambacho kinaendelea sasa hivi katika siasa zetu

    Sisi watanzania huwa tuna utaratibu wetu wa miaka mingi unaitwa "bora tukose wote" Kwahiyo msishangae Sana hii hali kutokea. Faida zake ni chanya na hasi .
  8. figganigga

    JamiiForums Tanzania JWTZ wasiingilie Siasa zetu. Ni kweli, Nchi inawayawaya kama machela

    JWTZ wasitupangie wananchi cha kufanya kihusu Siasa. Wakitaka kutupangia wanajua cha kufanya kabla ya kutupangia, vinginevyo ni kutuonea na kutupa sonono. Majukumu ya Msingi ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) ni; Kulinda Katiba na Uhuru wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ulinzi wa...
  9. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania Kichekesho cha kisiasa chenye machozi ya baadaye

    "Mwananchi mjinga anasema hafuatilii Bunge kwa kuwa halisemi anayoyapenda, kama vile Bunge ni tamthilia ya mapenzi! Hajui kuwa kwenye hayo anayoyachukia, ndipo wanapopika mchuzi wa kodi yake, bei ya unga, na hata umri wake wa kustaafu!" — Alloyce, P.R.
  10. Benson Mramba

    JamiiForums Tanzania Yanayoendelea Zambia juu ya mazishi ya Rais Mstaafu Edgar C Lungu yatufundishe kwenye siasa zetu

    Mpaka leo Mwili Rais Mstaafu Edgar Lungu haujazikwa kisa ni mgogoro kati ya familia ya Rais Mstaafu Lungu na serikali ya Rais Haikainde Hichelema. Familia inasema marehemu Rais mstaafu aliacha wosia kuwa siku akifa Rais wa sasa asisogelee jeneza lake.Siku za maombolezo zimeisha bado utata upo...
  11. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Sikiliza maoni ya huyu mwamba kuhusu derby ya kariakoo na siasa zetu halafu utoe maoni yako

    Unajua watanzania pamoja na kupenda kwetu hizi timu za kurithi, tuamue nini hasa ni muhimu kwa taifa hili na katika maisha yetu. Embu msikilize huyu mwamba anachosema kuhusiana na derby ya Kariakoo. Inakuwaje hadi bungeni eti wanajibizana kuhusu mpira tena katika misingi ya kishabiki, yaani...
  12. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Gwajimanized na Samialization ya Siasa Zetu: Serikali Imelikuza la Gwajima

    Na. M. M. Mwanakijiji Sielewi kwanini suala la Askofu Gwajima limefanywa kubwa mno kivile. Hakuna jambo lolote ambalo alilisema kwenye kile kikao chake na waandishi wa habari tunaloweza kusema lilikuwa ni kubwa mno kiasi cha kuonekana "kuchochea" wananchi dhidi ya serikali. Suala la matukio ya...
  13. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania Msingi wa Ilani

    "Maamuzi ya kisiasa na ahadi za vyama vya siasa lazima yajengwe juu ya uhalisia wa maisha ya wananchi, unaoonyeshwa kupitia tafiti na takwimu, ili sera zitakazopendekezwa ziwe za kutekelezeka, zenye tija na zinazogusa uhalisia wa changamoto." Alloyce, P.R.
Back
Top Bottom