siasa za upinzani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dennis Robert Shughuru

    Siasa za maridhiano zimeua siasa za upinzani Zanzibar, leo hii Zanzibar ni nchi ya chama kimoja

    Mzanzibar aliyekufa mwaka 2005 alafu akafufuka leo mwaka 2025 atashangaa sana kwa hiki anachokiona leo Zanzibar hakuna tena wapinzani wakina jusa, juma duni wamekuwa hawana makali tena wamenyamazishwa sauti mbadala imenyamazishwa Leo hii Zanzibar hakuna tena siasa za upinzani kwa lugha...
  2. Z

    Mbowe ndio gwiji pekee wa siasa za upinzani chini ukimwacha Marehemu Maalim Seif Sharfifu Hamadi

    Freeman Aikaeli Mbowe ndio gwiji pekee wa siasa za upinzani nchi kwa sasa , ukimwacha marehemu maalim Seif Sharif Hamadi. Bado ana nguvu, uwezo na ushawishi mkubwa kuliko kiongozi mwengine wa upinzani. Sinto shangaa kama anajiunga na Chauma kuendeleza mapambano. Kwa sasa Chadema imetekwa na...
  3. Tlaatlaah

    Baada ya kusambaratika kwa CHADEMA, siasa za upinzani nchini zimebadlika

    Zimeimarika sana na kua za kistaarabu. Hakuna tena uropokaji unakiuka sheria, hakuna tena mikutano ya hadhara ya fujo na matusi, hakuna tena mfululizo wa mikutano ya kamati kuu Chadema na press conference za matamko, kutafuta tension na public sympathy n.k. Upinzani sasa wanafanya kazi zao za...
  4. Tlaatlaah

    Unyonge wa kiuchumi umefanya wanasiasa wa upinzani kudharauliwa na wananchi

    Orodhesha wanasiasa wanaharakati wote unaowajua kwa majina yao, utagundua katika ujumla na umoja wao hayupo mwenye nafuu kiuchumi, na kwahivyo wote ni dhaifu mno kiuchmi jambo linalofanya wawe na hofu ya kujitokeza hadharani na kutoa maoni yao, lakini pia hilo ni jambo linalowafanya...
  5. Tlaatlaah

    Licha ya demokrasia kusitawi sana Tanazania, Je, kinachoonekana kwenye siasa za upinzani ni CHADEMA kujitenga yenyewe au imetengwa na upinzani?

    Na je, Chadema inafanya siasa kweli? Sote ni mashahidi, uhuru, haki na usawa kwa vyama vya siasa nchini vimeimarika sana. Vyama vya siasa hususani upinzani nchini vimepata pumzi na nguvu mpya ya kufanya siasa na mikutano ya hadhara katika mazingira bora zaidi kulingana na uwezo na mipango yao...
  6. W

    Watanzania tujikite kujitafutia vipato, hata wakituita Kenge, wajinga, misukule tunaishia kulalamika nyuma ya keyboard, Tafuta Pesa siasa utaumia !

    Ok umeitwa Kenge, wapo waliowahi kuwaita wajinga, wapo wataokuja kutuita nyani, misukule, n.k. Hayo majina tuyazoee tu, sioni kama kuna haja ya kukasirika, unakasirika then what ? unakimbilia kutoa hasira zako nyuma ya keybpard ka account feki ? Tutafute Pesa, Siasa Utaumia,
  7. incognitoTz

    PreGE2025 Kurudi kwa Dk. Wilibrod Slaa CHADEMA kunaashiria nini katika Siasa za Upinzani Tanzania?

    Mbeya, Tanzania – Machi 23, 2025 – Katika hatua muhimu kwa upinzani wa Tanzania, Dk. Wilbroad Slaa, ambaye aliwahi kuwa katibu mkuu wa Chadema na mgombea urais wa chama hicho mwaka 2010, amejiunga tena na chama. Hafla hiyo, iliyofanyika katika uwanja wa Ruanda Nzovwe huko Mbeya, ilishuhudia...
  8. Yoda

    PreGE2025 Siasa za upinzani zimefikia kilele kwa CHADEMA, hakuna mbadala wake

    Ukifuatilia siasa za upinzani za nchi hii utaona NCCR Mageuzi ilianza kama chama mahiri cha upinzani Tanzania kikapotea katika ramani kisha CUF ikafuatia kama chama kikuu cha upinzani nacho kikapotea katika ramani ikafuatia CHADEMA ambayo imekuwa chama kikuu cha upinzani kwa karibia miaka 15...
  9. Tlaatlaah

    Hivi kuna mjumbe hata moja wa mkutano mkuu wa CHADEMA Taifa anaweza kushawishiwa na Dkt. Wilbroad Peter Slaa?

    Kwamfano, Nani anaweza kumuamini Dr. Slaa kwasasa au kushawishika na aina ya siasa zake, maoni na mtazamo wake uloshikiliwa na diasporas, Lakini pia maisha ya kisaliti kwasababu tu ya tamaa za kimwili, vyeo na mali? Hivi kuna kijana yoyote Tanzania anaweza kujitokeza, akajipiga kifua mbele ya...
  10. Zanzibar-ASP

    PreGE2025 Lissu ni akili kubwa sana, ghafla kamtoa Mbowe kwenye ulingo wa siasa za upinzani

    Kweli siasa ni sayansi, anachokifanya Lissu ni sayansi ya siasa, inahitaji akili zaidi kuliko nguvu, pesa au ujanja ujanja. Nani anaweza kuamini kuwa leo hii Mbowe tayari yuko nje wa mkondo wa siasa za upinzani? Yote hayo ni matokeo ya harakati za Tundu Lissu katika kuwania uenyekiti wa...
  11. Paspii0

    "Hadithi za Ushujaa: Wajibu wa Wanaharakati katika Siasa za Upinzani"

    👉🏾Katika ulimwengu wa siasa, ambapo nguvu za madaraka mara nyingi hujificha nyuma ya pazia la kusadikika na wanaharakati wanajitokeza kama nyota za mwangaza katika giza la mang’amung’amu. Wakiwa na dhamira isiyoyumbishwa, wanapambana na vikwazo vya kisiasa, kiuchumi, na kijamii, wakijitolea kwa...
  12. Yoda

    Mbowe ametoa masterclass (darasa kuu) ya siasa za upinzani Tanzania leo. Historia itamsema vizuri

    Hotuba ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe pamoja na maswali ya waandishi wa habari aliyoyajibu leo ni masterclass ya siasa za upinzani katika nchi yetu. Kuongoza upinzani sio oya oya kama wengi wanavyodhani, kunahitaji utulivu akili, uvumilivu, maturity na busara kubwa sana. Baada ya...
  13. Knock life

    Mpaka sasa Mbowe ndo GOAT , Greatest of all time katika siasa za upinzani

    Mbowe ili uendelee kuwa Greatest of all time , usigombee Cheo chochote hapo Chadema. Taifa litakukumbuka Kwa Mambo mengi. Linda heshima yako usikubali kudanganyika . Umri wako Heshima yako Financial status Haya mambo yote yapo vizuri Sana kwako jaribu kuruhusu akili Mpya kuiongoza Chadema...
  14. Tlaatlaah

    Uvuguvugu wa siasa za upinzani nchini umewasababishia mawenge katika kila wanalofanya

    Hawaaminiki tena, hawaeleweki kabisa kwa wananchi, wamekosa na kupoteza uelekeo, ushawishi wa kisera na mipango mikakati kuelekea uchaguzi wa serikali za mtaa. Kanuni, sheria na katiba viko wazi kabisa kuhusu uchaguzi huu, lakini wanalilia hisani na kutegemea huruma za wananchi. Walianza kusita...
  15. Tlaatlaah

    PreGE2025 Siasa za chuki, kutokuaminiana na kutokuelewana kwa wapinzani nchini ni kwa faida ya nani kwenye ustawi wa Demokrasia ya Vyama vingi nchini?

    Kinachoendelea baina ya upinzani wao kwa wao, humu nchini ni cha kusikitisha na kinakatisha Tamaa san wananchi wa Tanzania kwa kiasi kikubwa mno. Kitaalamu ni hujuma miongoni mwao. Ni aibu sana.. Sawa, hawana nia, mipango, uelekeo, wala uewezo wa kushika dollar na kuunda Serikali, basi walau...
  16. T

    Kufanya siasa za upinzani Tanzania ni kupoteza muda fedha na kujishushia hadhi mfumo wote umeundwa kukibeba chama tawala

    Mwenye macho haambiwi tazama kwa mfumo wa uongozi wa taifa letu ambapo rais anakuwa na nguvu nyingi kiwango kinachomfanya hata asie mkubali kujipendekeza kwake ni ngumu sana kwa wapinzani kuambulia chochote sanasana watakacho ambulia ni kile ambacho watawala wametaka. Tunadanganywa kwamba eti...
  17. Tlaatlaah

    Nini kilisababisha na kinakufanya usiwaamini wapinzani kwa chochote?

    Huenda ulikuwa unawakubali mno awali, lakini kutokana na mambo mbalimbali kufanyika na kubadilika bila utararibu na kufanya upinzani kupoteza dira na uelekeo, imefikia mahali umekosa imani na matumaini nao kabisa. Nini hasa kilisababisha ukafikia hatua hiyo ya kutowaamini na kuwakatia tamaa...
  18. Mganguzi

    Kizazi cha dhahabu katika siasa za upinzani Tanzania kilikuwa ni hiki hapa. Hawa wa sasa wamekata pumzi

    (1) Freeman Mbowe Yule wa mwaka 2005-2015, alikuwa mpinzani kweli kweli, chuma hasa hasa! Alikuwa mhimili sio tu kwa chadema Bali kwa vyama vyote vya upinzani. Kwa sasa amekata pumzi anapigania mkate na huruma ya watawala! (2) Maalim Seif Huyu hatuna mfano wake amekufa akiwa shujaa...
  19. Mzalendo Uchwara

    Lissu akiondoka na siasa za upinzani zinapoa, hii inaashiria nini kuhusu afya ya upinzani nchini?

    Wananzengo, siasa za upinzani nchini huwa zinaendeshwa na matukio zaidi, lakini kwa sasa hali ni mbaya zaidi. Ni kama vile upinzani wote uko mikononi mwa Tundu Lissu. Mh. Lissu amechukua likizo kidogo basi kila kitu kimepoa, operations za CDM kimyaa, na hata mikutano ya hadhara na ile ya ndani...
  20. T

    Kwa hili la DP world! Niko tayari kuingia kwenye ulingo wa siasa za upinzani!

    Sasa, ni rasimi na niko tayari kutumikia siasa za upinzani kwa nguvu zangu zote na kwa mali zangu zote, huku nikiwaelimisha watanzania jinsi wanavyouzwa na kurudishwa utumwani kwa tamaa za viongozi walafi na wasiotosheka na kile walichonacho kutoka CCM. Chama kinachoitwa ccm ali maarufu kama...
Back
Top Bottom