Karatu: CCM yakata Tamaa, yakubali kuachia Jimbo, Chopa ya Chadema yatikisa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
120,945
226,978
Makubaliano ya kuachia Jimbo yamefikiwa leo baada ya Chadema kuvurumisha mikutano ya hadhara isiyo na idadi (Tunatafuta calculator isaidie kujumlisha), ambayo wananchi wameielewa kabisa, Hakika kisicho ridhiki hakiliki!

Lissu ametoa Elimu ya Haki kwa Raia na kwamba hawapaswi kutishwa na yeyote , huku Mbowe akiwajaza wananchi Ujasiri wa kupinga ccm kwa sababu ndio Chanzo kikuu cha dhiki, Umasikini na Maisha Magumu, kitu ambacho Vitabu vya Mungu vinatafsiri kama dhambi kuu iliyojaa laana.

Ikumbukwe kwamba Hakuna Masikini atakayeuona Ufalme wa Mbingu

Zaidi jionee kidogo.

Pia Soma:
- Kuelekea 2025 - Mbowe: Siwezi gombana na Lema, mama yake atanipigia Simu

Screenshot_2024-06-22-18-43-12-1.png
Screenshot_2024-06-22-17-40-16-1.png
Screenshot_2024-06-22-17-38-58-1.png
Screenshot_2024-06-22-17-39-26-1.png
Screenshot_2024-06-22-17-40-06-1.png
Screenshot_2024-06-23-07-06-45-1.png
 
Karambishwa asali anakenua ilikuwa kutwa pesa ya mama Abduli nimefukuza nenda kawahonge wanao hongeka sasa yeye anapanda chopa ya Abduli!
 
CCM Bado ni chama Cha watanzania, shida kubwa ni hiyo state capture iliyoikumba
 
Back
Top Bottom