Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.
Kwa maoni ya wabobevu katika siasa za Tanzania, wanaeleza bayana kwamba chama hicho kamwe hakiwezi kuamka wala kufurukuta tena kisiasa nchini Tanzania, na wala hakiaminiki tena mbele ya umma.
CHADEMA imekua kituo cha vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi, kumechefua wanazuoni wengi, na pia...
Kwenye siasa kuna mambo hutokea na kuwafanya watu mashujaa ama wasaliti.
Wewe kama mtanzania tangu uhuru wa Tanganyika mwaka 1961 na mapinduzi ya Zanzibar mwaka 1964, nani unadhani kwako ni shujaa ama msaliti kwa Taifa hili?
Kwa hii overview fupi ya Tanzania unaonaje future yetu ya miska 15 mbele?
Tanzania Yalenga Kusaini Mradi wa Gesi (LNG) wa Dola Bilioni 42 Kabla ya Juni
Baada ya miaka kadhaa ya kukwama, Serikali ya Tanzania inatarajia kusaini mkataba wa mradi mkubwa wa kusindika gesi asilia (LNG) wenye thamani...
Katika historia ya Tanzania, uongozi umejengwa juu ya misingi ya amani, umoja wa kitaifa, na heshima ya mamlaka ya dola. Hata hivyo, kama ilivyo kwa mataifa mengine, kauli ya “Mene, Mene, Tekeli, na Peresi” (Danieli 5) inabaki kuwa kioo cha kutafakari mwenendo wa siasa zetu. Ni ujumbe wa...
Mimi naamini hivyo,ukimpa uongozi mwanamke kwani atategemea kila kitu aamuliwe na mwanaume au wanaume.
Kibaya zaidi watamuamulia kwa maslahi yao kwanza hawatajali kama huyu mwanamke ataaibika,maana wanajua kwa kila aibu itajulikana aliyeamua ni huyo mwanamke
Kizuri mwanaume anapoamua jambo...
Rais Samia, Kwanini Masheikh wa awamu ya sita wanatukataza kushiriki Vyakula vya Christmas?
Watanzania hatujazoea. Na rais ni mtu wa. Dini zote. Mbona hukemei?
Rais ni wa wote, haijalishi umezaliwa makunduchi, Mchambawima, Kizimkazi au Kanyamahela
Hata rais Samia katika awamu yake ya sita...
Watanzania Wote Tukatae Ukatili na Tupiganie Haki!
Watanzania wenzangu, tunakabiliwa na changamoto kubwa ya usalama na utu wetu. Kikundi cha wauwaji wa CCMwaliotwaa madaraka kwa mtutu wa bunduki wameua watu wetu watanzania wenzetu wasio na hatia, na hii ni ukiukaji wa Katiba yetu na haki za...
Itafika wakati wataanza kuuwana wenyewe kwa wenyewe na kutoana roho, kwasababu wamechagua njia ovu kila mmoja atataka yeye madaraka. kwa njia zao za kishetani.
Huku ndipo tunapoelekea hawatashikamana siku zote kama mnavyowaona hao wakuu wa majeshi na mafisadi wataanza kuwindana wenyewe katiba...
Najuta mno kufatilia hizi siasa za Tanzania, Bora hata kipindi kile nikiwa nafatilia Yanga na Simba,
Ndo hivo tena Sasa siwezi kuacha kufatilia siasa
Yaani nakosa Raha mno na roho inauma mno
Tuachane na hizo Habari za kuhizunisha za kuuwa Watanganyika zaidi ya 10,000 ndani ya ardhi Yao na...
Wakuu
Naomba hii picha ikumbushe watawala kwanini watu wamekisusa chama chao
Hata ingekuwa wewe upo kwenye ballot box, kwanini usichague jiwe ukaiacha CCM?
Moja ya falsafa kali za kutoka kiuchumi ni kua capitalist mzuri, kwa mfano nchi yetu ni changa sana hivo opportunity ni nyingi sana, Yaani kila sehem ukigusa kuna hela lakini sio kiurahisi ivo, unatakiwa uzingatie vitu hivi kadhaaa
1) President aliepo anasimamia wapi katika vita ya uchumi...
Kumekuwa na matukio kama kichwa cha habari kinavyo eleza Kwa ufupi.
Je Mamlaka husika zipo tayari kuwachukulia hatua wahusika kwa kosa la uhaini na uvunjifu wa Katiba
JOEL NANAUKA ALIONA ISIWE TABU
Waziri wa vijana, Mhe. Joel Nanauka aliwahi kugombea ubunge wa Jimbo la mtwara Mjini mwaka 2015 kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo [Chadema] lakini aligonga mwamba akaona isiwe tabu mwaka huu 2025 ameshinda kupitia chama cha Mapinduzi [CCM].
Na hii ikupe...
Mbunge wa Babati Vijijini, Ndugu Daniel Baran Sillo, ameendelea kuandika historia katika medani ya siasa nchini, hususan mkoani Manyara.
Safari yake ya kisiasa ilianza kwa uthubutu na ujasiri mwaka 2015, alipojitosa kwa mara ya kwanza kuwania ubunge, ingawa hakufanikiwa.
Hata hivyo, hakurudi...
Neno langu kwenu ni Moja , MAUAJI YA HALAIKI yaliofanywa nanyi ,HAYAWEZI KUSAHAULIKA KWA NAMNA YOYOTE ILE.
Msivyokua na Bahati, Wauaji wengine waliiua huku walisema 'Tunalipa KISASI Cha Wazanzibar walouliwa miaka Ile ".
Bahati Mbaya sana, Bunduki na Risasi mlotumia Kuwaua Watanzania...
Kichaa kapewa rungu .
Tuuseme ukweli Maza hakutosha kuwa hata Mwl wa Primary .
Reasoning Capacity yake ni ndogo mnoo.
Kunamengine yanayotokea hadi unajiuliza ,hivi hadi hili nalo lilikuwa na sababu gani hasa ?
Kama Taifa tunanufaikaje na huu upuuzi?
tusipokubali kuungana kumkabili tujiandae...
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele, ametembelea na kujionea maandalizi ya ujenzi wa vituo 83 kati ya 90 vya wapiga kura vilivyotengwa maalum kwa ajili ya wakazi wa maeneo ya zamani ya Kata za Ilangu, Ipwaga, Bulamata na Mishamo, zilizokuwa...
Ukisikia Vijana wa Kitanzania wanavyohamasishana,wanavyofundishana,wanavyopeana mbinu kwa ajili ya maandamano,kwa ajili ya kukabiliana na polisi waziwazi huwezi kuamini kama Tanzania yangu imefikia hapa.
Sikuwahi hata siku moja kufikiria kama Watanzania watakuja kufikia Hali hii.
Hali hii...
Jeshi la Polisi mkoani Kagera limewakamata baadhi ya viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwa tuhuma za kuhusika na kupanga mikutano na maandamano kinyume cha sheria.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kagera, Brasius Chatanda, amethibitisha kukamatwa kwa viongozi hao na kueleza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.