siasa za ccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mindyou

    PreGE2025 Viongozi wa CCM Kinondoni yatoa mafunzo kwa viongozi 1200 kuelekea Uchaguzi Mkuu. Kuna nini nyuma na haya mafunzo?

    Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kinondoni, Ndugu Shaweji Mkumbula, amefungua semina maalum ya mafunzo ya uongozi iliyoandaliwa na UVCCM Wilaya ya Kinondoni kwa zaidi ya viongozi 1,200 wa Kata na Matawi. “Vijana mnapaswa kuelekeza nguvu zenu katika kuimarisha CCM na UVCCM, siyo kushiriki katika...
  2. Mindyou

    Stephen Wassira: Kazi ya Makamu Mwenyekiti CCM haina mshahara ni kujitolea. Hao Vijana wanaweza kufanya kazi zisizo na mishahara?

    Wakuu, Kumbe watanzania mnasakama mzee wa watu kuwa anachukua nafasi za vijana meanwhile kumbe hata halipwi mshahara na ANAJITOLEA? Tungependa pia kujua hizo posho ni shingapi mzee Wassira ili vijana wasikusumbue kabisa. ======================================== Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara...
  3. Mindyou

    PreGE2025 Diwani wa kata ya Zingiziwa: Nipo tayari kukosa udiwani kuliko kushuhudia Jerry Slaa anakosa Ubunge katika uchaguzi ujao

    Huko CCM nikadhani uchawa ni kwa mwenyekiti wao tu kumbe hadi wabunge sasa hivi wanafanyiwa uchawa? Madiwani mmekuwaje lakini? ======================================== Diwani kata ya Zingiziwa, Maige Maganga amewataka Viongozi na Wananchi wa Zingiziwa na Jimbo la Ukonga kwa ujumla kujivunia...
  4. Mindyou

    PreGE2025 Hii video maana yake nini? Hizi sherehe za leo ni kusherehekea miaka 48 ya CCM au kumpamba Rais Samia?

    Wakuu, Naomba kueleshwa nini kinaendelea huko Dodoma. Leo ni siku ya CCM au sherehe ya kumpamba Rais?
  5. Carlos The Jackal

    Kwa hotuba ya jana Luhaga Mpina kwa ufupi anatuambia vijana kwa pamoja tuamke. Haustahili kuwa na hali hiyo kijana

    Wewe ni Kijana Me au Ke, Umeajiriwa au haujaajiriwa , Amka nasema Sasa basi !!. Umasikini na Ukosefu wa Ajira Nchini kwetu ni wa kutengeneza tu na kua na viongozi wasio Wazalendo, wasowajibika, viongozi weziz Mafisadi ,Wapuuziaji wa Kila kitu , aina hii ya viongozi ndio wametufikisha hapa...
  6. Lord Denning

    Nina shida kubwa sana na CCM, ila kwenye haya Salute Rais Samia🚶‍♀️

    Huwezi kunikuta hata siku moja nikisema Asante Samia kwa kujenga hospitali, au barabara au shule. Hata siku moja huwezi kuniona nikisema asante Samia kwa kupeleka maji sehemu ya Tanzania au umeme. Haya ni majukumu ya msingi ambayo Serikali yeyote inapaswa kuyafanya na Wananchi hawapaswi...
  7. M

    PreGE2025 CCM Inatengeneza mazingira ya Sintofahamu/wizi Oktoba 2025, kupitia propaganda ya kukubalika

    Kinachofanyika kwa sasa ni propaganda inayolenga kuhusisha makundi yote katika jamii ionekane yanamkubali Samia ili uchaguzi wa Octoba hata yakitokea ya 2020 waseme mgombea alikuwa anakubalika. Ni dhahiri kuwa Katika sehemu ambayo huwa haipendwi CCM ni vyuo vikuu, sasa hii propaganda...
  8. Common Folk

    Raia wengi wanajua kuhusu Lissu kuchaguliwa Mwenyekiti wa CHADEMA kuliko CCM kuteua mgombea wa Urais

    Na kwa sasa hiyo 80% ya raia inasubiri kujua ni nani hasa atakuwa mgombea wa Urais kupitia CHADEMA. Na kufika mwezi wa 7, hiyo 20% ya raia inayojua, huenda ikawa imeshasahau au imeshakosa imani na upande wa wana kijani na kuhamia upande wa pili. Hii itukumbushe kwamba siku zote ukivunja mila...
  9. Mindyou

    PreGE2025 Picha: Vijana zaidi ya 1000 wafanya matembezi Dodoma kumuunga mkono Samia kugombea Urais 2025

    Vijana wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), wakiongozwa na Mwenyekiti Mohammed Kawaida na Katibu Mkuu Jokate Mwegelo, wamesema wako tayari kuhakikisha wagombea wa Urais, Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi, wanashinda kwa kishindo. Kupata matukio...
  10. mama D

    PreGE2025 Sikujua kama mateso wanayopitia wana CHADEMA ni makubwa kiasi hiki

    Tukosema Tanzania kuna maigizo ya upinzani mtuelewe Tukisema CHADEMA ni kampuni ya watu flani wachache msibishane na sisi Ushauri wangu kwa wanachadema kuliko kuendelea kuteseka na kuumia rudini nyumbani kama mwana mpotevu Luka 15:18 Nitaondoka, nitakwenda kwa baba yangu na kumwambia, Baba...
  11. J

    Dkt. Nchimbi akiwa Mwenyekiti wa UVCCM na Mzee Lowassa Kamanda wa Vijana ndio Waliruhusu Vijana Social Kinondoni iwe Bure Kwa Vijana Wote!

    Wengi Hawajui Mchango wa Nchimbi Kwa Vijana wa sekta mbali mbali nchini lakini ni huyu Nchimbi ndiye aliruhusu Vijana kutumia ukumbi wa Kinondoni kukuza vipaji vyao bila kujali itikadi za kisiasa Nakumbuka tukiwa pale Kambi ya Home Alone jirani na Kwa Salva Rweyemamu Mwenyekiti Nchimbi alisema...
  12. L

    Kijani yatawala Magazeti Yooote. Rais Samia ateka mijadala yote Duniani

    Ndugu zangu Watanzania, CCM ndio habari ya Mjini, Rais Samia ndiye Habari ya Dunia na Tanzania ndio inayovuma Dunia Kwote. Kwa Sasa habari inayovuma na kuteka mijadala mitaani na Dunia nzima kwa ujumla wake ni juu ya uteuzi wa Rais Samia kuwa Mgombea Urais kupitia CCM katika uchaguzi Mkuu...
  13. GENTAMYCINE

    CCM wasipomteua Waziri Mkuu Mstaafu Pinda kuwa Makamu Mwenyekiti CCM Bara nitawadharau hadi Siku ya Kiama

    Ukiona GENTAMYCINE namkubali Mtu jua nimeshampima kwa Vigezo vyangu vyote na kuona anafaa. Mizengo Kayanza Peter Pinda apewe.
  14. B

    CCM inabidi ijifunze kufanya siasa za uwazi kuvutia wanachama wapya

    Fikiria tarehe 19 na 20, ccm itafanya mkutano mkuu kumpata makamu mwenyekiti tanganyika lakini mpaka leo hakuna majina yaliomba hiyo nafasi ili wanachama wakayapigie kura!! Haya ni maajabu kwa sababu wanachama watapata muda gani wa kumtathmini na kumchambua makamu mwenyekiti wao? CCM njooni...
  15. Mindyou

    PreGE2025 Mwanamuziki wa Congo Bozi Boziana atunga wimbo wa maalum wa kumpongeza Rais Samia

    Mwanamuziki mkongwe kutoka DRC Kongo, Bozi Boziana amtungia wimbo Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuelekea mkutano mkuu wa chama Cha Mapinduzi CCM utafanyika kati ya Januari 18-19, 2025 jijini Dodoma. Hilo limeelezwa kwa kina na Mwenyekiti wa taasisi ya Mama Ongea Na Mwanao baada ya Mkongwe huyo...
  16. Mindyou

    PreGE2025 Picha: Nape Nnauye atua mtaani akiwa na nguo za kiraia huku akila ubwabwa na wananchi

    Wakuu, Baada ya ukimya wa muda mrefu mzee wa bao la mkono amerudi upya kwenye ulingo wa siasa. This time kaingia mtaani kapikilisha watu ubwabwa na kupiga nao picha. Itoshe kusema kuongoza watanzania ni rahisi sana Yaani ni kuwakusanya unafanya maigizo ya hapa na pale ya kuwalisha ubwabwa...
  17. Mindyou

    PreGE2025 Amos Makalla: Mnaobashiri nafasi ya Kinana muda huo haupo. Nafasi ya Makamu Mwenyekiti CCM haigombewi

    Wakuu, Haya jamani mliokuwa na kiherehere kuhusu uchaguzi wa nafasi ya Makamu Mwenyekiti CCM, mna salamu zenu huku kutoka kwa Makalla Kaeni kwa kutulia ======================================================= Chama cha Mapinduzi CCM kimewataka wanachama wake kuachana na watu wanaobashiri...
  18. Carlos The Jackal

    PreGE2025 Mwanasiasa Pekee wa CCM anayeweza kushindana na Tundu Lissu kwenye nafasi ya Urais ni Paul Makonda

    Hili waweza kulibishia kwakua ni Mbishi tu. Kwenye Siasa, Mvuto ni muhimu sana na huu Mvuto mara nyingi ni wa kuzaliwa. TUNDU LISSU ana Mvuto sana Kwa Gen-Z maana ndio kizazi chenye Elimu inayowatoa Ujinga, na KURA za mijini ambapo wasomi na wale wanaamini CCM imekaa sana madarakani inabidi...
  19. Cute Wife

    CCM hawakurupuki kwenye mambo yao na mtu akizingua anafinywa ndani huwezi kuta wanaparuana nje. Hapa ndio CHADEMA mnafeli

    Wakuu nawasilimia kwa jina la kivumbi cha Lissu :BearLaugh: Hii ndio sehemu CCM inawapiga gap sana CHADEMA na vyama vingine vya upinzani. CCM hawakurupuki kwenye moves zao, kuanzia juu mpaka kwa mjinga wa mwisho. Yaani wanahakikisha kila mtu kaelewa script yake, iwe ni mambo kishetani au...
  20. Mzee Nyerere

    LGE2024 Makalla: CCM itatumia 4R za Rais Samia katika hatua yake ya kuuteketeza kabisa Upinzani kabla, wakati na baada ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    KATIBU wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Amos Makalla, amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitatumia 4R za Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kwa kufanya kampeni za kistaarabu na kuheshimiana katika uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji. Amesisitiza kuwa viongozi...
Back
Top Bottom