Watanzania wameamka mno
Story za Yanga na Simba hazitambi mtaani
Story za udaku za sijui Diamond kaachana na nani hazitambi
Magazeti ya siasa yananunuliwa mno
Watu wanahoji mambo ya msingi Kwa uchungu
Mtanzania wa Sasa sio wa kipindi cha Mzee Mwinyi
Ati kwamba Mtanzania wa Sasa...
Usulutani na ufalme ndani ya Chama ambacho kiliundwa kutetea maslahi ya wakulima na wafanyakazi.
1. Salma Kikwete
2. Ridhiwan Kikwete
3.Wanu Hafidh Ameir
4. Abdul
5. Adul Mwinyi
6. Jesca Magufuli
7. Fred Lowassa
8. Mathayo David
9. Karume
10. Karume
11. Karume
Orodha ni ndefu sana.
Ujue tatizi kubwa sana ni wananchi wa Tanzania. Wamekubali na kuridhia kuliwa kwa namna yeyote ile mlaji anvyotaka na sio kwasababu hawajui ila ni wavivu wa kujishughulisha na mambo yao wenyewe. Ndio maana hivi karibuni kabla ya uchaguzi unaenda kutokea mwezi wa 10 mwaka huu 2025 kumeibuka kundi...
GT
Naendelea kusema maCCM ni Wahuni sana . Huyu Seth toka.mwaka 2016 ni Raia wa Kenya inakuwaje anaingia kwenye siasa za maCCM.
Halafu kuna wqtu wanasema nchi hii ina usalama wa taifa, hakuna kitu kama hicho hao mi huwa nawaita wahuni tu walio kwa ajili ya matumbo yao.
HUKU vikao vya Chama ngazi ya Mkoa vikiendelea kwa ajili ya kufanya maamuzi ya mwisho kwa Wagombea Udiwani na Ubunge, siasa za Kisiwa cha Mafia zinatajwa kuwa moto.
Pamoja na ushindi wa Omar Kipanga katika kura za maoni bado kunaonekana kunafukuta chini kwa chini huku maamuzi ya mkoa yakiwa...
Waliosema siasa ni sayansi hawakukosea. Siasa inahitaji watu tena wale wenye kujenga hoja.
YAnayoendelea ndani ya CCM kipindi hiki cha kupitisha majina ya wanaotarajia kugombe ubunge na udiwani ni kama mchakato umekosa mvuto.
Zile hamasa hata za 2020 hazipo kabisa. Binafsi naona ni athari ya...
Salute to you all hustlers .....
Direct to the topic,
Niongee na mtu ambaye kwao hamna DED, RCO, RC, NAIBU WAZIRI, WAZIRI , VICE - PRESIDENT n.k.
Nimeanza Kwa kusema hivyo Kwa sababu wanaotoka kwenye familia hizo kiuhalisia hawawezi kunielewa ni sawa na wajumbe wa Chama cha Mapinduzi hawawezi...
Leo tunaona msajili wa vyama kukumbatia CCm.
Leo tunaona polisi kama sio mwana CCm basi maisha yako ni kenge.
Leo tunaona magari ya polisi kubeba wananchi washiriki mkutano wa CCM.
Leo tunaona watumishi wanaendeshwa na CCM wala sio serikali.
Hivi tutafika kwa maisha haya.
Nchini Msumbiji walifanya uchaguzi wao oktoba 29/2024..uchaguzi ulikuwa na wagombea kutoka vyama kadhaa lakini vilivyokuwana upinzani wa karibu ni Frelimo kilichowakilisha na Daniel chapo huku Podems ikiwakilishwa na Venancio Mondlane..uchaguzi ulifanyika baada ya kampeni kali zilizokuwa na...
Hiki mnachokifanya na mnachowafanyia watanzania wenye akili timamu kitawarudia. Karma is real.
Kama mnadhani watanzania ni wajinga na waoga wote,jibu ni hapana. Ni kweli mtaji wenu ni baadhi ya watanzania kuwa na sifa hizo lakini si wote. Ujinga na uzandiki mnaofanya nyie siyo wa kwanza...
Watanzania wenzangu, tusipoamka sisi na kufunguka fahamu zetu, CCM wataendelea kutuona kama "toilet paper". Watatutumia wapendavyo na kututupa. Hakuna cha maana zaidi hawa watu wanaweza kututendea kama taifa. Fikra zao zimefika ukomo.
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, CPA...
Tujifunze kupitia nyakati tofauti zilizopita, walikuwepo watu wenye nguvu sana hapo zamani lakini mwisho wao ulikuwa ni mbaya sana
Wapo waliojifanya Wana nguvu na wengine madikteta uchwara lakini vifo vyao vilikuwa vya kinyonge sana....ccm ichakachue inavyoweza, iwanunue chadema inavyoweza...
Wakati deni la Taifa linakua kwa kasi ya kutisha, ukweli ni kwamba;
1. Watoto wetu bado wanasoma kwenye shule zenye miundombinu duni sana huku elimu yao ikiwa haijengi kesho bora kwao kwenye dunia hii ya ushindani,
2. Miradi ya maendeleo si barabara, si majengo inajengwa chini ya viwango kwa...
Kwa sasa CCM ni kama chama ambacho kimechoka na kukata tamaa kabisa.
Kimebaki kuendesha mikutano yake kama matamasha na kuzungusha watu Dar kwenda kujaza mikutano ya viongozi maeneo mengine.. Kama vile wasanii.
Kwa kiasi kikubwa wasanii ndio wanakiendesha chama. Sio mbaya kwa sasa ni wananchi...
Hivi ndivyo CCM imetufikisha na kutuharibia nchi.
Ili kuirudisha nchi kwenye misingi na kuwarudisha vijana kwenye sense of life and minds …… REFORM NI LAZIMA NDUGU ZANGU.
REFORM YA constitutional ni LAZIMA…..otherwise in the next 10 years vijana wetu watapata tabu sana.
CCM cares only about...
Wakuu,
Suala la Uchawa limezidi kuwa gumzo nchini.
Huyu hapa ni Sophia Simba, kada mtiifu wa CCM ambaye alishawahi kuwa Waziri huko Serikalini.
Pia soma: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
"Sisi enzi...
Katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi, sisi kama wananchi tunayo mengi ya kujifunza.
Tunayo haja ya kuchuja sera zao kwa upana kwa maana wao hawa wanasiasa ndio huamua bei za vitu tunavyohitaji katika maisha ya kila siku.
Leo nakuchapishia picha ya vyombo vya moto ambavyo wanasiasa...
bei
bei elekezi
bmw x3
canter
ccmccm asilia
chadema
fuso coaster mazda. canter
internet ya starlink
isuzu
je wajua
magari chakavu
magari makubwa
mazda demio
nissan dualis
nissan note
nissan x trail
nissan xtrail diesel
passo
raum
rav4
siasasiasazaccm
spacio
star tv
toyota rumion
vitu
wajua
Kura za maoni ndani ya CCM ndio hasa mwanzo wa kuwapata Rais wa nchi, wabunge na madiwani wa maeneo mbalimbali nchini.
Ndio uchaguzi ambao unakuaga na mchuano mkali zaidi ya uchaguzi mkuu wenyewe ambao mara zote hua ni katika kukamilisha tu ratiba, sheria na matakwa ya kikatiba, lakini uchaguzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.