Wakili Mwabukusi amesema serikali ya Tanzania haina dini lakini raia wake wana dini, akisisitiza dini ndiyo siagi ya siasa na huwezi kutenganisha siasa na dini kwani dini ndiyo hutoa maadili. Pia ameeleza kuwa mtu yeyote asiye na dini asipewe nafasi ya uongozi
Jeshi la Polisi mkoani Iringa linamshikilia padre Jordan Kibiki wa Kanisa Katoliki Jimbo la Mafinga, kwatuhuma za kutoa taarifa za uongo kuwa ametekwa na watu wasiojulikana. Kamanda wa Polisi mkoa wa Iringa, SACP Allan Bukumbi, amethibitisha kukamatwa kwa padre huyo na kueleza kuwa uchunguzi wa...
Nikiona Account inazungumzia mambo ya siasa na dini naiblock. Muda wote siasa, Wataalamu kama Wa afya, biashara ujenzi, teknolojia wanapotea kila.
Unadhani akingia tundu Lissu atakuletea ugali mezani fanya Kaz, ulevi tu
Rais Samia amekuwa akisisitiza Watanzania kudumisha amani na mshikamano, akiwahimiza kutanguliza utaifa mbele ya tofauti za kikabila, kisiasa na kidini,Katika hotuba zake nyingi, amekuwa akisisitiza kauli mbiu ya Kazi iendelee kwa mshikamano wa Watanzania wote,akimaanisha kila mmoja ana nafasi...
Sheikh Ibrahim Kaniki amesema hakuna utengano kati ya dini na siasa, akisisitiza kuwa masuala ya kisiasa huathiri moja kwa moja maisha ya waumini wa dini, hivyo ni muhimu viongozi wa dini kushiriki katika kuombea amani, haki na viongozi wanaokumbwa na changamoto.
Akizungumza siku ya Jumamosi...
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali, Steven Katemba, alipewa heshima ya kutoa salamu za rambirambi wakati wa ibada ya mazishi ya Padre Vitalis Bamuhiga wa Jimbo Katoliki la Kayanga.
Hata hivyo, baada ya kutoa salamu, alijaribu kuzungumzia masuala ya kisiasa, kinyume na msimamo wa...
Wakuu nileo tena.
Napatwa na ukakasi nikisikiliza na kuangalia hawa mashekh wanapotoa maneno yao hususani kwenye kutumika kwao na watawala.
Nimejiuliza hawa wenzetu wana fikra kama.za ma padree na wachungaji ..?
Ni dhahiri huwezi kumweka shekh na mwinjilisti tu katika kudadavua mambo...
Gwajima anasema sasa hivi ameanza kuongelewa nchi nzima, badala ya watu kujibu kama wamechukua ushauri au lah.
Anasema kwa press inayofuata atakuja na list ya wanaonaofanya vitendo hivyo.
Gwajina kasema kwenye hili swala hatayumba mpaka kila aliyetekwa ajulikane yuko wapi na anafanya nini.
Lakini pia kila aliyepotea "missing person" wapatikana na kujulikana walipo, kwa msisitizo Gwajima kaongea na kizungu.
Gwajima anasema wiki iliyopita alitoa mfano wa mtoto wa Samia kutolewa macho leo kaongeza wengine kwenye mfano huo.
Kasema vipi kama akichukuliwa mtoto wa Jakaya Kikwete, Mwinyi, Majaliwa au Magufuli wakaokotwa keaho yake wakiwa hawana macho au amekufa watajiskiaje?
Sasa kwanini yasithamiwe...
Wakuu,
Tusubirie kusikia na huyu ameshambuliwa kwa sababu ya kusema ukweli? Tusubiri kusikia na huyu amepigwa vibaya na kuchukuliwa na watu wasiyojulikana sababu amesema ukweli?
Wataumiza na kuua wangapi mpaka wajue hawawezi kunyamazisha watu kusema kweli isipokuwa tu kwa kubadilisha mienendo...
agenda
father
kuelekea 2025
kusema
mama samia
mungu
padri muchunguzi
padri samwel muchunguzi
samia
siasasiasanadinisiasa za tanzania
watumishi
watumishi wa mungu
Wakuu sasa naona wameamua kuwatumia na wasanii ili kuwananga viongozi wa dini, juzi tulimsikia Sheikh Mwaipopo na sasa ni wasanii. Vita dhidi ya haki ni nzito
===
Msanii wa filamu Tanzania Jimmy Mafufu ambaye pia hivi karibuni alitangaza kurudi CCM akitokea CHADEMA amehoji kauli zinazotolew...
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dodoma, Abduhabib Mwanyemba, amewataka viongozi wa dini na baadhi ya taasisi nchini kuacha kuingilia masuala ya siasa, akisisitiza kuwa Tanzania inaongozwa kwa misingi ya sheria na si kwa presha ya mitandao ya kijamii...
Ndugu zangu Watanzania,
Dkt Slaa Alipoona kuwa Amechoka na kuondokewa na Wito wa kuhubiri Neno la Mungu pamoja na Kuchunga Kondoo wa Bwana . Aliamua kujiweka pembeni na kuvua Majoho au Mavazi ya Upadri na Kisha kuamua kujiingiza Rasmi katika Siasa.
Hili jambo lililkuwa ni jema na ilikuwa ni...
Kwa unyenyekevu mkubwa nawaomba viongozi wangu wa dini wasitumie madhabahu kama majukwaa ya kisiasa kwani waumini tunao Sali ni wafuasi wa vyama mbalimbali hivyo matamko na misimamo ya kivyama yanatugawa na kutuchanganya sisi waamini.
Chondechonde nawaomba viongozi wangu wa kidini waendee...
Nilisikia zaidi ya mara moja baadhi ya viongozi wa serikali kwa nyakati tofauti tofauti ikiwemo makonda wakiwakemea viongozi wa dini kuto kujihusisha na siasa au kuongelea masuala hayo kwenye makanisa au misikiti.
itambulike kwamba Viongozi wa dini kwenye makanisa na misikiti ni watanzania na...
Watu wa dini wafanye ajenda ya dini zao badala ya kutumikia ajenda za Wanasiasa kwa mgongo wa dini au kusema Mungu amewatuma wakati wanajua hatuwezi thibitisha.
Ieleweke vyema kwamba kuchanganya dini na siasa kumeleta maafa Nchi mbalimbali and so Rais alikuwa na Nia ya kuzuia hilo Kwa mujibu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.