shutdown

  1. muqawama

    Siasa za Marekani: Je, unajua maana ya Serikali kufungwa(Government Shutdown)?

    KWENYE SIASA ZA MAREKANI: JE UNAJUA MAANA YA SERIKALI KUFUNGWA (Government Shutdown) ? 🔍 Swali 1: Nini maana ya Serikali kufungiwa? Jibu: Siasa za Marekani, Serikali kufungwa hutokea pale mambo mawili yanapotokea. Bunge la Kongress linaposhindwa kupasisha mswada wa Matumizi ya serikali...
Top