shule

  1. JamiiForums Tanzania Matokeo ya kitado cha nne 2021-mkoa wako-haumo; shule uliyosoma -haimo; wanakosoma wanao-haimo

    Shule 10 Bora Kitaifa kwenye matokeo ya Kidato cha nne yaliyotangazwa leo January 15, 2022 na NECTA 1. Kemebos - Mkoa wa Kagera 2. St. Francis - Mbeya 3. Waja Boys - Geita 4. Bright Future Girls 5. Bethel Sabs Girls - Iringa 6. Maua Seminary - Kilimanjaro 7. Feza Boys - Dsm 8. Precious Blood -...
  2. JamiiForums Tanzania Shule na wanafunzi 10 bora mwaka 2021

    Swali langu naliojiuliza sana ni kwanini inakuwa ngumu iaka nenda rudi kuzikuta shule za kiislamu na wanafunzi waisalmu kwenye kumi bora. Shule 10 bora form 4 1. Kemebos - Mkoa wa Kagera 2. St. Francis - Mbeya 3. Waja Boys - Geita 4. Bright Future Girls 5. Bethel Sabs Girls - Iringa 6. Maua...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Sisi Wakristo masikini tunanufaika vipi na shule za Kanisa?

    Leo matokeo ya Mitihani ya Darasa la nne na Form Four yametoka! Kama kawaida shule zinazoongoza nyingi ni zile zenye Uhusiano na Kanisa, iwe kwa umiliki au kwa njia nyingine! Hii bila shaka inatoka na misingi Bora iliyowekwa! Pamoja na mafanikio haya, Shule nyingi za Kanisa gharama zake za...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi tumepotea njia? Tunanunua ndege kwa Cash halafu tunakopa pesa kujenga vyoo vya shule na madarasa

    Hivi hili taifa halina wachumi au watalaamu wa mipango? Hivi waliopo madarakani hawana huruma na wananchi? Taifa bado maskini kabisa ambalo huduma za kijamii na kiuchumi bado zipo duni kabisa linakwenda kukopa Tril 1.3 na kujenga vyoo vya shule na madarasa huku likitumia Cash kununua ndege za...
  5. JamiiForums Tanzania CHADEMA waonesha umoja, wamchangia mtoto wa Lingwenya ada na pesa ya vifaa vya shule

    @bavicha_taifa wameongoza wananchi waliofika mahakamani kufuatilia kesi ya Mhe. Mbowe na wenzake kumchangia ada na vifaa vya shule mtoto Mariam Mohamed Ling'wenya, mtoto wa mshitakiwa Mohamed Ling'wenya. Aliyefika mahakamani kufuatilia kesi ya baba yake. Imechangwa sh. 545,000.
  6. JamiiForums Tanzania Prof.ndalichako amrisha watoto wote waliotimiza miaka 7 waingie shule walizo jirani nao.

    Matakwa ya rushwa ndogondogo za kipuuzi yametapakaa katika shule nyingi nchini kama njia ya kujipatia chochote Kwa wahusika, N.b,matatizo yao au mapungufu madogo madogo yatatatuliwa polepole baadae!
  7. JamiiForums Tanzania Serikali: Wanaoficha Watoto kuanza Shule wachukuliwe hatua

    Waziri wa TAMISEMI, Ummy Mwalimu ameagiza Mikoa kutosita kuwachukulia hatua Wazazi/Walezi ambao wanaficha Watoto walio na umri wa kuanza Shule Akizungumza leo Januari 06, 2022 amesema hadi kufikia Desemba 31, 2021 Wanafunzi 488,780 wa Darasa la Awali wameandikishwa katika Shule za Serikali, na...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya Temeke akabidhiwa madarasa 157 ya Shule za Sekondari

    MKUU WA WILAYA TEMEKE AKABIDHIWA MADARASA 157 YA SHULE ZA SEKONDARI Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mheshimiwa Jokate Mwegelo ameshiriki katika hafla ya makabidhiano ya Madarasa mapya 157 yaliyojengwa katika Shule 24 za Sekondari iliyofanyika leo Januari 03, 2022 katika Shule mpya ya Sekondari Dovya...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Wilaya ya Temeke kupewa shilingi bilioni 3.14 kwa ajili ya ujenzi wa madarasa

    ASANTE MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KWA KURIDHIA WILAYA YA TEMEKE KUPATA SHILINGI BILIONI 3.14 KWA UJENZI WA MADARASA 157 KATIKA SHULE 25🇹🇿 Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe. Jokate Mwegelo leo tarehe 03 Januari, 2022 amefanya Uzinduzi wa makabidhiano ya vyumba vya madarasa vilivyogharimu...
  10. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wanaandaliwa kikao na Rais, wanaamini kikao hiki kitatupa Katiba Mpya?

    Kelele zimekuwa nyingi Sana na upinzani hasa Chadema wanaonekana kumiliki agenda nyingi kila Kona , wanaonekana Wana wafuasi wengi sana mitandaoni Jambo linalokwamisha ujumbe wa serikali na CCM kusambaa ipasavyo. Wakosoaji wamekuwa wengi mitandaoni na nje ya mitandao hii inaweza kuwa...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Naiomba serikali sikivu ya Rais Samia iongeze wiki moja kwenye ufungzuzi wa shule January 2022 mshahara utakuwa umetoka

    Kupanga ni kuchagua na maendeleo hayana vyama. Huu ni usemi maarufu alipenda kuutumia hayati John P. Magufuli mjeshi au jiwe mtu aliependa kuona kitu kinafanyika na kuonekana na sio hadithi. Kama mnavyojua hizi sikukuu mbili ni balaa tupu. Christamass na mwaka mpya watu huwa wanajiachia...
  12. F

    JamiiForums Tanzania shule vituko

    Tukiwa shule ya msingi watoto walikua wanabeba vinywaji wanaweka kwa dirisha .Ikifika wakati wa chai watoto wananywa vinywaji hivo. Kijana mmoja mtundu akaweka mkojo ndani ya chupa akawacha dirishani .Ulikaa pale mda wa wiki mbili ikaanza kutoa harufu ikatupwa
  13. JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu: Rais Samia amejenga madarasa 3,000 huko nyuma Serikali haikujali kuhusu madarasa na shule

    Huko nyuma watu hawakujali kuhusu Shule/Vituo Shikizi. Ni Serikali ya Awamu ya 6 ya Rais Samia ndio imechukua hatua mahususi na za haraka za kujenga madarasa ya kisasa 3,000 tena kwa mpigo katika Shule Shikizi 970 kwenye Halmashauri mbalimbali nchini. Niwahakikishie Watanzania kuwa TAMISEMI...
  14. JamiiForums Tanzania Tangu tupate Uhuru mwaka 1961 hatujawahi kuwa na madarasa ya Shule za Serikali ya aina hii

    == Baada ya kutazama kipande hiki kifupi cha Video hii wacha sasa nitete na wale tuliosoma Shule za Msingi na Sekondari za Serikali ya Tanzania. Naamini tutakubaliana kuwa "Tangu Tanzania iwe huru hatujawahi kuwa na shule za Serikali za Msingi na Sekondari zenye hadhi na mwonekano kama...
  15. JamiiForums Tanzania Polepole endelea na shule yako: Msingi wa maendeleo ni fikra pia

    Silaha ya mwanadamu ni fikra na katika historia ya maendeleo ni fikra mpya ndio zilizofikisha wanadamu tulipo leo katika kuelezea maendeleo yetu. Majuzi tumepeleka ‘James Webb’ telescope zaidi ya mile million 100 na sayari yetu ilipo na scientific reasoning ya hali ya juu ilitumika ili kuweza...
  16. JamiiForums Tanzania CCM Mara: Bulembo aliiuza Shule ya wazazi Isango saa 2 usiku kwa milioni 70

    Wakati mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Wazazi ukiendelea, alisimama Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mara, Mrida Marocha aliyemtaja Abdallah Bulembo kuwa yeye na kundi lake walishiriki kuiuza Sekondari ya Isango. Alisema walifanya hivyo saa mbili usiku kwa bei ya Sh70 milioni. Marocha alisema shule...
  17. B

    JamiiForums Tanzania CCM Njombe Wagomea uamuzi wenye mimba kurudi shule

    Nimeisikia
  18. B

    JamiiForums Tanzania Mhe. Ummy sare uleta usawa shule za serikali, mzazi anayekosa unifomu nivigumu Kupata nguo mbadala za mwanaye: Tupunguze free lunch Kwa wananchi

    Aliyeanzisha uniform au sare shuleni naamini alilenga kuweka usawa baina ya maskini na tajiri lakini pia alitofautisha Kati ya Mwanafunzi na watu watoto wengine. Tunaposema asiye na sare aende shule tunakosea, tulipaswa kuwabaini wasio na unifomu mapema Tena kwa kujiandikisha ikiwemo kuweka...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Mhe Rais hongera kwa madarasa na majengo ya hospitali, ila kwanini kipaombele kwanini kimekuwa makao Mijini na siyo kwenye shule za tembe?

    Mhe. Rais umeeleza madarasa yajengwe Ila waliokwenda kujenga wamekosea strategy, uwezi kujenga madarasa mawili kwenye shule zenye madarasa ya kutosha mjini ukaenda kujenga madarasa mawili kijijini kwenye nyumba za tembe. Zipo shule zilihitaji madarasa Saba yote yajengwe lakini hakuna Fedha...
  20. JamiiForums Tanzania TCRA: Kipindi cha Shule ya Uongozi cha Humphrey Polepole kinatolewa pasipo kuzingatia misingi, sheria na kanuni za huduma ya utangazaji

    Kamati ya Maudhui ya TCRA imesema kipindi cha Shule ya Uongozi cha Mbunge Humphrey Polepole kinatolewa pasipo kuzingatia misingi, sheria na kanuni za huduma ya utangazaji. Kamati imeongeza kuwa maudhui ya kipindi ni ya upotoshaji na yanayoweza kusababisha taharuki kwa wananchi. Sasa kiki ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…