shule za msingi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. E

    Ludewa kujengewa maktaba 45 kwa shule za msingi

    Wilaya ya Ludewa mkoani Njombe imefaidika na mpango madhubuti wa maktaba za shule unaoanza katika shule za msingi 45 wilayani humo kwa lengo la kuboresha upatikanaji wa vitabu na vifaa vya kujifunzia vinavyolingana na mtaala mpya wa Taifa. Mkurugenzi Mtendaji wa Uwezo Tanzania, Baraka...
  2. Masalu Jacob

    DOKEZO Shule za Msingi ziwekwe kwenye haya makundi: Biashara, Sayansi na Sanaa

    Habari Tanzania ! Nawaomba Wenye mamlaka na usimamizi wa Elimu pamoja na wadau wa elimu hapa Tanzania. Ikiwapendeza; nawaomba mfanye mabadiliko tena kwenye Shule za Msingi kila Kata - Shule zigawanywe kwenye Makundi makuu 3. 1. Shule - Biashara 2. Shule - Sayansi 3. Shule - Sanaa Kila Wilaya...
  3. boufer

    Msaada wa shule za msingi za serikali za kulipia zilizopo manispaa ya Temeke

    Km tittle inavyojieleza wakuu, naomba majina ya shule za msingi za kulipia zinazopatikana Manispaa ya Tmk! Nawasilisha
  4. Fbn

    Shule za msingi kuwa eneo moja na sekondari sawa na sekondari kuwa eneo la chuo unategemea nini?

    Kwa miaka 90 kurudi chini ilikuwa ngumu kuona shule za msingi zikiwa karibu na sekondari hii iliwapa watoto kutamani kufika sekondari wakimaliza shule ya msingi wanapokutana na wakubwa wao. Kwa sasa ni mambo ya ajabu yani sekondari kuwekwa kwenye shule ya msingi na tunajua sekondari ni watu...
  5. N

    Kwanini serikali haiwathamini wanafunzi wa shule za msingi Tanzania?

    Mimi ni mkazi wa majiji mawili Tanzania. Dar es salaam na Arusha. Wanangu ambao wote ni wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wanapitia matatizo makubwa sana ya usafiri wa kwenda na kutoka shule. Dar- mwanangu anaondoka saa 11 asubuhi na mpaka sa Moja hajapata mwendokasi kituoni na...
  6. P

    Miaka Minne Ya Mama Nyumba 159 za walimu wa shule za msingi zimejengwa.

    Miaka Minne Ya Mama Nyumba 159 za walimu wa shule za msingi zimejengwa katika Mkoa wa Songwe. Ujenzi wa nyumba hizo umewezesha walimu kukaa karibu na shuleni hivyo kutumia muda mwingi kufundisha wanafunzi. #kurayakwanzakwasamia #haijapatakutokea
  7. E

    Ukarabati wa madarasa shule za msingi na sekondari

    Serikali chini ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imefanya maboresho ya miundombinu ya madarasa katika shule za msingi na sekondari ambapo hadi sasa kiasi cha shilingi Bilioni 104.5 zimetumika kuboresha shule ya sekondari Kongwe kwapakacha katika mwaka wa fedha wa 2023/2024 katika Ujenzi wa...
  8. Isenye

    Hivi kwa nini walimu wa shule za msingi za serikali ni wagumu sana kulipa madeni ya watu?

    Mtu namdai laki 1 tu,lakini huu unaenda mwezi wa 2 sasa,kila mshahara ukitoka jamaa anasema ana vipengele vingi hivyo nimvumilie. Huu sio uungwana kabisa
  9. A

    DOKEZO Shule za msingi Njombe Mjini zinatoza Tsh. 10,000 ya mitihani kila wiki kwa maelekezo ya Halmashauri

    Shule za msingi Njombe Mjini (sio zote) zimekuwa zikitoza hela ya mitihani kwa wanafunzi wake elfu 5 hadi elfu 10 kwa mtihani mmoja kila wiki na kwa wale wanaochelewa kulipa walimu na wakuu wao husema hela inahitajika maana hata wao wanadaiwa na halmashauri hela za mitihani ndio maana na wao...
  10. McLaren

    GE2025 Mchengerwa: 2015 nilikuta shule za msingi zipo 19 tu, sasa hivi zipo 63

    Wakuu, Hizi shule anazosemea Mchengerwa amezijenga kwa hela zake za mfukoni au ni kodi zenu ambazo mnakatwa kwenye mishahara na biashara zenu? Pia kama ameingia 2015 maana yake in a span of 10 years "amejenga" shule 48 tu kwa wastani wa kila mwaka ni kwamba kuna shule 4 zinajengwa...
  11. ahmedjuma4

    Wanafunzi wa kiume wa shule za msingi za serikali kuvaa kaptula

    Habarini wadau Mimi nimejiuliza sana , kwann wavulana katika shule za serikali wavae kaptula? Mbona wasichana wanavaa sketi kuanzia chekechea mpk high school? Mimi upande wangu naona kama kuna udharirishaji kwa wavulana wanafunz kwenye upande huo, na endapo wakavaa suruali kuanzia darasa la...
  12. A

    DOKEZO Uwiano usio sawa wa walimu shule za msingi Moshi manispaa

    Katika manispaa ya Moshi Kuna upendeleo mkubwa wa upangaji walimu katika shule za msingi Kwa kile kinachodaiwa walimu wakuu kutotoa "bahasha ya kaki" Kwa afisa elimu na maafisa taaluma msingi. Kuna shule Zina idadi ndogo ya wanafunzi lakini walimu ni wengi kuliko shule zenye idadi kubwa ya...
  13. Roving Journalist

    Taasisi ya Elimu (TET) yawatuza Walimu waliofanya vizuri Stadi za Ufundishaji Shule za Msingi na Sekondari

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, ameipongeza Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) kwa kubuni na kuandaa shindano la stadi za ufundishaji kwa walimu wa shule za msingi na sekondari, akisema kuwa tuzo zinazotolewa kwa washindi zinaleta motisha na kuwatia hamasa walimu...
  14. Masalu Jacob

    Utalii wa ndani kwa watoto hasa hawa wa shule za Msingi na Sekondari

    Habari Tanzania ! Naomba kuuliza kwa kukaribisha hoja ya Utalii hapa nchini. Je, hatuwezi kuwa na Utalii wa ndani (Domestic Tourism) kwa kuwapatia watoto wa Shule za Msingi na Sekondari (Serikali na Binafsi) haki ya kuona vivutio vya nchi yao na hii kitu iwekwe kwenye mitaala ya Elimu yao...
  15. Dennis Robert Shughuru

    Kutatengwa budget kati ya sh billion 500 mpaka Trillion 1 kwa ajili ya kuboreshwa mazingira ya shule za msingi, secondary na vyuo vya ufundi

    Kwa Tanzania Bara kumekuwa na ongezeko la Idadi ya shule za msingi kutoka shule 3,270 mwaka 1961 hadi shule 20,384 mwaka 2024.Shule za sekondari zimeongezeka kutoka 41 mwaka 1961 hadi kufikia shule 6,263 mwaka 2021. Kwa mfano kila shule ikatengèwa billion 5 ili iwe katika kiwango kinachotakiwa...
  16. Dennis Robert Shughuru

    Syllabus ya shule za msingi za serikali na private inatakiwa iwe sawa na mtihani uwe mmoja kama ilivyo form four

    Nikiwa Rais shule zote ambazo zinafanya mitihani inayosimamiwa na baraza la mtihani necta kuanzia primary mtihani utakuwa ni wa lugha moja kama ni English wote ni English Sio sawa hata kidogo mtoto wa maskini anamaliza shule ya msingi hana msingi wa lugha ya kingereza ilihali watoto wa wenye...
  17. Dennis Robert Shughuru

    Walimu wa shule za msingi wanatakiwa waajiriwe wenye degree na sio waliofeli form 4 kama ilivyo sasa

    Zipo changamoto nyingi katika elimu yetu ya shule za msingi za serikali ambapo watoto wengi wa maskini na kipato cha chini ndo wanaposoma zinachangamoto ya uhaba wa ualimu, wanafunzi kukaa chini, kutokua na maabara n.k Ila changamoto nayotaka kuongelea kwenye huu uzi ni swala zima la kiwango...
  18. Mkoba wa Mama

    Badala ya elimu bure, serikali igharamie chakula cha mchana kwa shule zote za sekondari za kutwa na shule za msingi

    Suala la lishe ni muhimu sana, lakini naona mpango wa chakula cha mchana kutolewa kwa wanafunzi inaendelea kubaki kuwa changamoto. Mtoto anatoka nyumbani saa 12/1 asubuhi anarudi saa 10/11 jioni ndio anapata chakula cha mchana, kwa tafsiri ya haraka haraka ni kwamba; watoto wa shule huwa wako...
  19. G

    SHULE ZA MSINGI ZAIDI YA 468 ZIMEJENGWA TANGU RAIS SAMIA ALIPOINGIA MADARAKANI

    Tangu kuingia madarakani Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan mwaka 2021, shule za msingi mpya zaidi ya 468 zimejengwa huku vyumba vya madarasa zaidi ya 15,000 vipya vya msingi na Sekondari vimejengwa, lakini kama haitoshi kumejengwa shule za awali 1,600 ambazo...
Back
Top Bottom