shule ya msingi

  1. JamiiForums Tanzania DOKEZO Taharuki yazuka, Wazazi wajaa Shule ya Msingi Ubungo NHC baada ya taarifa kuwa shule inauzwa

    Wiki iliyopita siku ya Jumamosi, Watoto waliporudi nyumbani walileta taarifa ya kushtua kuwa Shule ya Msingi Ubungo National Housing (NHC) inauzwa, na wazazi tunahitajika kufika shuleni leo Jumanne kwa ajili ya kikao kilichopangwa. Hali hii ilisababisha taharuki miongoni mwa wazazi. Tulipofika...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ukosefu wa Madawati katika Shule ya Msingi Sabaga - Kasulu, Kigoma

    Shule ya msingi Sabaga ipo Mkoa wa Kigoma wilaya ya Kasulu vijijini, Shule hii ina zaidi ya wanafunzi 1,567 na kuna vyumba 8 tu ya madarasa, Licha ya uhaba wa madarasa pia kuna uhaba mkubwa wa madawati licha ya viongozi mbalimbali kufika na kujionea hali halisi lkn hakuna hatua madhubuti ambayo...
  3. N

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Shule ya Msingi Irunda (Sengerema - Mwanza) ina Wanafunzi 900 ila madawati yapo 60

    Kuna Shule ya Msingi Irunda ipo Kata ya Ngoma Wilayani Sengerema Mkoani Mwanza inakabiliwa na upungufu wa madawati ambapo karibu nusu ya Wanafunzi hulazimika kusoma wakiwa wameketi sakafuni. Shule hiyo yenye Wanafunzi wapatao 900 ina madawati yasiyozidi 60, inapofika nyakati za Mitihani...
  4. JamiiForums Tanzania Dodoma: Wazazi Wamshukuru Mbunge Mavunde kwa Ujenzi wa Uzio Shule ya Msingi Uhuru

    Wananchi na wazazi wa Wanafunzi wa Shule ya Msingi Uhuru Jijini Dodoma, wamempongeza na kumshukuru Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mh. Anthony Mavunde kwa ufadhili wa ujenzi wa uzio wa shule hiyo ili kuboresha mazingira rafiki ya wanafunzi kusomea tofauti na awali ambapo muingiliano ulikuwa...
  5. JamiiForums Tanzania Shule ya Msingi ya Ubungo Makuburi, Yalamba Bingo ya TotalEnergies Tanzania, kwa Kujengewa Ukuta Kama Zawadi ya Ushindi wa Shindano la VIA!.

    Wanabodi, Hili Kampuni kubwa la Mafuta nchini Tanzania kuliko makampuni yote, linaendelea kutandaza wema wake kwa Watanzania, sasa linajenga ukuta kuizunguka shule ya Ubungo Makuburi. Dar es Salaam, Octoba 30, 2024 Na Mwandishi wetu Shule ya Msingi Ubungo Makuburi, Kujengewa Uzio Na...
  6. JamiiForums Tanzania LGE2024 Dkt. Charles Kitima: Wameandikisha Watoto wa Shule ya Msingi na Sekondari kupiga Kura, mnawaharibu Watoto

    Kanisa Katokili Nchini kupitia Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Nchini Dkt. Charles Kitima limelaani kitendo cha watoto wadogo kuandikishwa kwa ajili ya kupiga kura kitendo ambacho ni kibaya kufundisha watoto matendo maovu
  7. N

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto shule ya msingi Kimandafu Halmashauri ya Meru mkoa wa Arusha

    Pale Arusha wilaya ya Arumeru hasa Halmashauri ya Meru shule ya msingi Kimandafu kuna mzungu anaitwa Birgita sijui ametokea nchi gani. Huyu mama anatoa vifaa kadhaa vikiwemo vitabu, chakula km unga, chereko, mchele, mafuta ya kupikia. Jambo la kwanza huyu Birgita serikali inamfahamu? Pili...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Chuo cha SAUT badilikeni, Chuo kama shule ya msingi

    Lengo la huu Uzi sio kubeza wala kudharau taasisi muhimu hii ya Elimu ya juu nchini, bali kutoa ushauri kwa lengo la kuboresha mazingira ya chuo,ambayo kimsingi hayavuti Sawa na hadhi ya Chuo Kikuu. Ni mambo ya ajabu chuo kuwa kinakusanya mabilioni ya fedha na Kuna kipindi kilitoa gawio kwa...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia achangia shilingi milioni 50, ujenzi wa shule ya Msingi na ujenzi wa majengo ya Zahanati inayomilikiwa na Bakwata Simiyu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amechangia kiasi cha shilingi milioni 50, katika harambee ya ujenzi wa shule ya msingi na uchangiaji wa majengo ya zahanati unamilikiwa na Baraza Kuu la Waislamu Tanzania - BAKWATA mkoa wa Simiyu. Harambee hiyo iliyoendeshwa na Waziri...
  10. JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu halisi kwanini watu wengi sana siku hizi wanaota ndoto wapo shule ya msingi au sekondari

    Wakati wewe mtanzania ukiwa unaendelea na mchakato wa kuwahamisha watoto wako kutoka kwenye shule za kiingereza ( English Mediums) na kuwarejesha kwenye shule za Kayumba, wacha nikuambie kwanini umekuwa ukiota ndoto upo shule ya msingi au sekondari unafanya mitihani etc. Wanao jiita mitume na...
  11. JamiiForums Tanzania DOKEZO Shule ya Msingi Kambarage - Dodoma haina Ofisi ya Mwalimu Mkuu na Walimu wengine, wanabanana kwenye chumba kidogo

    Kati ya mambo yanastaajabisha nchi hii ni viongozi kuendekeza mambo yasikuwa na tija kwa wananchi na jamii, Serikali imeshindwa kujenga jengo la Ofisi ya Mwalimu Mkuu na Waalimu katika Shule ya Kambarage inayopatika ndani hya Jiji la Dodoma maeneo Vyeyula. Shule hii yenye Walimu 12...
  12. JamiiForums Tanzania Mbunge Aloyce Kwezi Atoa Milioni 2 Kujenga Choo cha Kisasa Shule ya Msingi Mwamanshimba, Kaliua

    MBUNGE ALOYCE KWEZI ATOA MILIONI 2 KUJENGA CHOO CHA KISASA SHULE YA MSINGI MWAMANSHIMBA Mbunge wa Jimbo la Kaliua, Mhe. Aloyce Kwezi tarehe 04 Oktoba, 2024 akiwa kwenye mahafali iliyofanyika katika Shule ya Msingi Mwamanshimba, Kata ya Ushokola Wilayani Kaliua. Mhe. Aloyce Kwezi akiwa katika...
  13. JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Shule ya Msingi Kasirwa ya Rombo wanazurura tu mtaani kwa sasa

    Hii ni Shule ya Msingi Kasirwa ipo Rombo, kwa sasa asilimia kubwa ya Wanafunzi wanashinda nje ya Madarasa, wanazurura tu nje kwa kuwa madarasa yao yapo kwenye maboresho. Hivi tunajiuliza uongozi wa Shule, Wilaya na Mkoa wa Kilimanjaro ulikuwa wapi muda wote hadi madarasa yanakuwa katika hali...
  14. JamiiForums Tanzania Serikali irejeshe saikolojia ya wanafunzi wa shule ya msingi Mbezi Juu ili wendelee vyema na masomo yao

    Siku ya alhamisi tarehe 19.09.2024 katika shule ya msingi ya Mbezi juu palitokea tukio la mwanafunzi mmoja wa kiume wa darasa la tatu kutumbukia ndani ya shimo la choo wakati alipokwenda kujisaidia majira ya mchana. Shule ya msingi Mbezi juu ipo katika kata ya Ndumbi mtaa wa Mbezi mtoni ndani...
  15. JamiiForums Tanzania INAUZWA Kibamba: Shule ya Msingi Inauzwa - Dar

    • Ipo Kibamba Mwisho • Ukubwa wa eneo ni ekari 4 • Ina hati miliki • Imesajiliwa • Inauzwa TZS bilioni 1.2 . ✓ darasa 1-7 ✓ inatoa huduma ✓ ni ya kutwa ✓ ina maabara na jengo la ofisi ✓ ina kiwanja cha michezo ✓ eneo kubwa limebaki linaweza kutumika kwa maendeleo mengine . • In Real...
  16. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Viwanja vinauzwa Kibaha Mpiji karibu na shule ya msingi Muheza

    Miguu 20*20 bei million tano Vipo eneo zuri barabara kubwa ya mtaa Piga: 0789 149 581
  17. A

    JamiiForums Tanzania Serikali ya kata ya Kalobe jijini Mbeya imeshindwa kuwajali wananchi wake wanaotumia uwanja wa Kalobe shule ya msingi kufanya mazoezi

    Mnamo tarehe 14/2/2024 wananchi wa mtaa wa Kalobe wanaotumia uwanja wa Kalobe walipeleka malalamiko kuhusiana na uwanja wao kuaribiwa na watu wanaotumia barabara ya Kalobe kuenda itende kupita uwanjani kwao. Na kuaribu mazingira ya uwanja huo mmoja unaotumiwa na mtaa mzima vijana waliongea na...
  18. D

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Waziri Gwajima chukua hatua kwa ukatili huu aliofanywa mtoto shule ya Msingi Kitefu, Halmashauri ya Meru

    Shule ya msingi Kitefu iko Halmashauri ya Wilaya Meru mkoa wa Arusha. Kuna mtoto amefanyiwa ukatili na anadaiwa ni baba yake kwa kumchoma na nyaya za umeme, huyu bwana alikuwepo leo shuleni baada ya kuitwa na Mwalimu Mkuu Mdee. Kinachokatisha tamaa ni kwamba badala ya huyu bwana kujutia kitendo...
  19. JamiiForums Tanzania Mbunge Martha Mariki achangia Mifuko Ishirini ya Saruji kwaajili ya Ujenzi wa Miundombinu ya Shule ya Msingi

    MBUNGE MARTHA FESTO MARIKI, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Katavi Atimiza Ahadi yake ya kuchangia Mifuko ya Saruji Ishirini (20) kwaajili ya Ujenzi wa Miundombinu ya Shule ya Msingi Majengo. Mbunge Martha Mariki aliambatana na viongozi waandamizi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Jumuiya ya Umoja...
  20. JamiiForums Tanzania Elimu ya shule ya msingi ndio imeleta matokeo makubwa kwa watanzania wengi kujiajiri

    Nimekuletea kitabu hichi Cha darasa la saba utakubaliana na mimi shughuli nyingi zinazofanywa na watanzania wengi kwa sasa Napendekeza somo hili lingeanza kufundishwa wanafunzi wa secondary ingeleta tija sana
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…