Ndio tatizo la kuwa na serikali ambayo iko so disorganized, kila Mtu anaongea lake, tumejenga nyumba za kujifukiza, tukaharibu na mimea lakini vyote vimeachwa.
Leo hii Wizara imetoa tamko la kuzuia mikusanyiko na kuchukua tahadhari dhidi ya Covid 19 ila cha kushangaza Shughuli za mwenge...
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Selemani Jafo amesitisha shughuli za uchenjuaji dhahabu katika mtambo wa Double F katika kijiji cha Nyakisya, wilayani Tarime kutokana na uchafuzi wa mazingira.
Alitoa agizo hilo jana mkoani Mara baada ya kupokea malalamiko ya...
Habari Wanabodi!
Ukisoma Sera ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 2014 ukurasa wa 5 kuhusu Utekelezaji wa Ibara ya 146(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (1977) inayohusu ugatuaji. Katiba inatamka katika Sura ya Nane (kuhusu madaraka kwa umma), kwamba...
Hii ni baada ya Polisi kuruhusu Bawacha wakutane kwa dk 30 tu huku polisi nao wakitaka kuwemo ndani ya ukumbi ili kusikia yanayozungumzwa , kabla ya ruhusa hiyo zimepigwa danadana kuanzia polisi kinondoni , DC hadi RC wakipiga danadana huku kila mmoja akijitoa asionekane kuruhusu jambo hilo ...
Chombo cha “Shenzhou” No.12 cha China hivi karibuni kilifanikiwa kuwapeleka wanaanga watatu kwenye anga ya juu. Baada ya kuunganisha chombo hicho na behewa la Tianhe lililorushwa angani mapema, wanaanga hao waliingia kwenye behewa hilo. Hii ni mara ya kwanza kwa Wachina kuingia kwenye kituo cha...
Nimekuwa naona mara nyingi kunapokuwa na ziara ya rais wale viongozi wa dini wanaokaribishwa kufungua shughuli kwa sala/swala wanakuwa na vikaratasi wanakuwa wanavisoma, najua ntaambiwa eti ili wasikosee wakatamka visivyo, mara protokali n.k,
Hivi kwenye sala/swala kiongozi anaweza kuteleza...