Serikali ya Marekani, chini ya utawala wa Rais Trump, imetangaza rasmi kukamilisha mchakato wa kujiondoa katika Shirika la Afya Duniani (WHO) siku ya Alhamisi. Hatua hii inakuja ikiwa ni mwaka mmoja kamili tangu Rais Trump aliposaini amri ya mtendaji kuanza mchakato huo, ikiashiria mabadiliko...
Marekani imejiondoa rasmi kutoka Shirika la Afya Duniani (WHO), ikiwa ni mwaka mmoja baada ya Rais Donald Trump kutangaza kusitisha ushiriki wa nchi hiyo katika shirika hilo la afya lenye historia ya miaka 78.
Trump aliarifu shirika hilo la Umoja wa Mataifa baada ya kusaini amri ya kiutendaji...
Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa watu 31 wamefariki dunia kutokana na mlipuko wa Ebola nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Spetmeba 2025. Mkurugenzi Mkuu wa WHO, Tedros Adhanom Ghebreyesus, akizungumza jana Septemba 18, 2025 mjini Geneva alitoa taarifa kuwa kuna jumla ya...
Nchi wanachama wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika wamekutana Lusaka Zambia kujadili masuala mbalimbali yenye lengo la kuboresha afya kwa nchi wanachama na agenda mojawapo ikiwa ni uimarishaji wa viwanda vinavyozalisha dawa ili nchi hizo zijitosheleze kwa dawa na kupunguza...
Shirika la Afya Duniani (WHO) limelaani vikali mashambulizi dhidi ya jengo lililokuwa na wafanyakazi wake mjini Deir al Balah, Gaza. Mashambulizi hayo yalifanyika baada ya jeshi la Israel kutoa amri mpya ya uhamishaji. WHO imesema wafanyakazi na familia zao, wakiwemo watoto, walikumbwa na hatari...
Prof. Mohammed Janabi, mgombea kutoka Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye uchaguzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika unaofanyika leo Jumapili Mei 18, 2025 akijinadi mbele ya Mawaziri wa Afya kutoka nchi za Bara la Afrika na kuwaomba kumuunga mkono
afrika
afyaduniani
jamhuri
jamhuri ya muungano
janabi
kanda
kutoka
mgombea
mkurugenzi
mkurugenzi mkuu
mkuu
mohammed
mohammed janabi
muungano
shirikashirikalaafyashirikalaafyaduniani
tanzania
uchaguzi
Wawakilishi wa Shirika la Afya duniani waingilie sakata la mama aliyeibiwa mtoto Hospital ya Mount Meru kwasababu vipimo vya DNA vimebatilishwa
Ikumbwe mama aliyeibiwa mtoto alijifungua kwa Operation, anauguza vidonda kwa maumivu makali huku akihangaika kutafuta mtoto wake...
Rais Donald J. Trump ametia saini agizo la kuiondoa Marekani kutoka Shirika la Afya Duniani(WHO) 20 Januari 2025, muda mfupi baada ya kuapishwa kwake
Uamuzi huu umezua mjadala na wasiwasi mkubwa miongoni mwa wataalam wa Afya duniani.
Rais Donald Trump alitaja sababu kadhaa za Marekani...
https://www.youtube.com/watch?v=TUrJvSaBNEQ
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani Dkt. Tedros Adhanom Ghebreyesus, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 20 Januari, 2025.
Soma pia: Wizara ya Afya...
Baada ya Dr. Faustine Engelbert Ndugulile kuchaguliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Dunia (WHO) hapo jana jimbo la Kigamboni ambalo alikuwa anahudumu yeye kama mbunge lipo wazi kwani kwa kuchaguliwa katika nafasi hiyo hastahili kuendelea na majukuhu hayo ya kisiasa.
Pia soma: Dkt...
Mbunge wa Kigamboni na Naibu Waziri wa Afya wa zamani Dkt. Faustine Ndugulile, ameshinda uchaguzi wa kiti cha Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika.
Katika Uchaguzi uliofanyika leo jijini Brazzaville nchini Congo, wajumbe 25 kati ya 46 wa Mkutano Mkuu wa 74 wa WHO...
Mkutano wa Afya wa 74 wa Shirika la Afya Duniani (WHO) unaoendelea Brazzaville, Congo leo Jumanne, Agosti 27, 2024 unatarajiwa kumpitisha Mkuu wa WHO Kanda ya Afrika ambapo miongoni mwa wagombea watano Tanzania inawakilishwa na Dk Faustine Ndugulile.
Wagombea wengine ni pamoja na Dk Boureima...
Shirika la Afya Duniani (WHO) limeitisha Mkutano wa Dharura kujadili hali ya usambaaji wa Homa ya Nyani (Mpox) ambapo Takwimu kutoka kwa Kituo cha Kudhibiti Magonjwa cha Afrika (CDC) zinaonesha ongezeko la 160% Homa hiyo ikilinganishwa na 2023.
Takwimu zimeonesha tangu Januari 2024 hadi Julai...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.