Akizungumza katika Bunge la 13, Mkutano wa Pili kikao cha saba leo Februari 4, 2026, Mbunge wa Jimbo la Kinondoni Tarimba Gulam Abbas amesema ni miaka sistini ya uhuru lakini jiji la Dar es Salaam bado inachangamoto ya maji, amesisitiza katika mpango wa maendele ya serikali kuweza kuzingatia...
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Hawa wahindi wa imam Hussein dhehebu ambalo kiongozi wake ni ayatollah wanajielewa sana hawa jamaa
Kwanza hawakubali kujenga nyumba pasipo kuwawekea majiran zao Bomba la maji kwa nje
Wanachimba kisima then wanatoa maji bure kabisa
Mimi...
Hello Wakuu
Hii mitaa yetu huku Dar es Salaam tunakabiliwa na changamoto ya maji karibia wiki nzima na sio kawaida kabisa
Naomba kuuliza ni viunga vyetu tu hivi vya kimaskini au nchi nzima hili tatizo lipo?
Hii hali ikiendelea hivi mbele kutakuwa kubaya sana
Ruangwa tuna shida kubwa ya maji. Mimi nimezaliwa hapa nimekulia hapa hadi leo hii nakaribia umri wa miaka 20 miaka yote hapa tuna shida ya maji tu, tangu niko mdogo tunateseka na shida ya maji hadi leo hii bado tunaendelea kuteseka. Nothing is getting better
Huku maji yanatoka mara moja kwa...
Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA, Mhandisi Mkama Bwire, amefanya ziara ya kukagua upatikanaji wa maji katika maeneo ya Ubungo, Mburahati, Magomeni, Saranga na Kinyerezi. Ziara hiyo imelenga kubaini changamoto na kuhakikisha huduma inawafikia wananchi.
Mhandisi Bwire amesema huduma ya maji katika...
Changamoto ya upatikanaji wa maji katika eneo la Kitefure, Longuo, Kilimanjaro ni kubwa licha ya kipindi hiki cha mvua. Hata wakati wa mvua, tunapata shida kubwa ya maji, kwani maji yanapatikana mara moja tu kwa kipindi kirefuna eneo hili lina wakazi wengi sana jamii hii ni ya wanafunzi wa vyuo...
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA John Heche akiongea na viongozi pamoja na wananchama wa chama hicho katika kikao cha ndani Kyela mkoani Mbeya.
"Mbunge wako akiugua Mungu ametuweka Tanzania nchi yenye neema kuliko nchi nyingi, mimi nimezunguka duniani unakwenda nchi unakuta ina rasimali moja tu...
Wananchi zaidi elfu 10,000 wa kata ya Itezi jijini Mbeya, wameondokana na shida ya upatikanaji wa maji safi baada ya Mamlaka ya maji na usafi wa mazingira Mbeya MBEYAUWSA, kuzindua mradi wa maji wa kisima kirefu kwenye shule za msingi Gombe na Mwasote jijini humo.
Eng. Barnabas Konga ni kaimu...
Habari wakuu! Yaani kuna vyitu vingine vinatafakarisha sana! Dodoma ni makao makuu ya nchi lakini mpaka leo maji ni shida yaani ni mgao na siku za mgao huo maji yanatoka kwa matone jamani sehemu zingine ndo kabisa hayatoki! Nafikiri kama taifa hatuko serious! Hizo hela za magoli tuzielekeze...
Nawakumbusha tu wenye kipaji cha kusifia hali ya upatikanaji ya maji inazidi kuwa mbaya, kwani maji yamegeuka kuwa anasa vilory vya maji vimerudi kwa Kasi kubwa na maji hutoka mara Moja kwa wiki usiku wa manane na yenyewe mkikinga madumu kadhaa tu yanakata.
Wananchi wamekata tamaa.
Kumekuwa na shida ya maji Wilaya ya Nachingwea kwa miezi minne sasa maji yanatoka kwa kusuasua wakati huohuo Mamlaka ya Maji (MANAWASA) haijatoa sababu za msingi za uwepo wa hali hiyo au wala hawajaeleza kuhusu uwepo wa mgao.
Hii shida huwa inajirudia kila Mwaka, mwaka huu kuna uhaba wa mvua...
Wananchi wa Ruvu na vitongoji vyake tunateseka saaaana na shida ya maji aisee. Ni wiki ya tatu.mfululizo hatuna maji na tunauziwa dumu elfu moja.
Kinachoshangaza zaidi ni kwamba sisi wananchi ndo tupo jikoni kabisa yanapozalishwa maji na kusambazwa Dar es Salaam na maeneo mengine, ila kwa nini...
Maji huku Mwanza imekuwa ni kero kubwa sana, wanachuo tunaishi kwa tabu sana tunapata shida kubwa ya maji ilihal tuko karibu na ziwa Victoria
Sijui mnatusaidiaje kuepukana na hili. Tunalipia bili za maji kwa wakati lakini bado maji kuyapata ni changamoto.
Ni siku ya 4 sasa maji hayatoki
Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na usafi wa Mazingira Dar Es Salaam(DAWASA) @dawasatz Mhandisi Mkama Bwire amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kusaidia upatikanaji wa maji katika Wilaya ya Kinondoni kufikia asilimia 97%.
Akizungumza katika Kikao Kazi cha DAWASA na...
Mh Rais Samia Suluhu Hassan
Nakusalimia kwa Jina la Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Awali ya yote nianze kwa kukutakia uzima na afya katika kutekeleza majukumu yako.
Baada ya salamu hizo nije katika ujumbe ninaokusudia kukuandikia.
Ni hivi ndugu Rais, WANANCHI HATUNA MAJI YA UHAKIKA na...
Hadi leo Januari 21, 2025, maeneo ya Isyesye hapa Jijini Mbeya haujapata maji kwa wiki moja sasa, tumetoa taarifa kwa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mbeya (MBEYA UWSA) lakini hatuoaji majibu yanayoeleweka.
Hii sio mara ya kwanza, kila inapotokea kunakuwa na ugumu kwa kupata majibu...
Waziri wa Maji, Jumaa Hamidu Aweso, amewaasa wafanyakazi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA) kuacha kuzoea shida za wananchi, na badala yake kuzitafutia ufumbuzi ili wananchi wapate huduma ya Majisafi ya uhakika.
Waziri Aweso amewaasa wafanyakazi hao wakati wa Mkutano...
Sisi Wananchi wa Kijiji cha Unyianga kilichopo Kata ya Mtamaa, Manispaa ya Singida tunalia kukosa huduma ya maji safi, ni miaka kadhaa sasa tangu ‘Danganya Toto’ ya kujengewa Tenki la Maji na kuwekwa mabomba ifanyike lakini hadi leo hatujawahi ona maji yakitoka.
Tulijengewa tenki la maji na...
Ni karibu mwezi sasa maji ya dawasa yanatoka kwa machale maeneo ya kimara.
Yaani, yanatoka kwa masaa 24, baada ya hapo hayapo mpka baada ya siku tatu ndio yanatoka tena.
Mfano mara ya mwisho mabomba kutiririsha maji ni siku ya jumanne, hadi leo hakuna kitu.
Na hii hali ina karibia mwezi sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.