sheria

  1. JamiiForums Tanzania Dkt. Damas Ndumbaro amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Baraza Maalum la Mawaziri wa Sheria la Umoja wa Afrika

    Wakuu! Ndiyo tuseme jamaa nyota yake inangara au kazi yake ni bora sana? Maana hata miezi ajamaliza tangu ameteuliwa tena kwenye nafasi ya kuwa waziri wa Katiba na Sheria au rekodi zake za nyuma ndizo zimempa nafasi hii? ================== Waziri wa Katiba na Sheria Nchini Tanzania Mhe. Dkt...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali inapaswa kuona umuhimu wa kuweka sheria na utaratibu mzuri kwaajili ya watanzania wote wanaofanya kazi viwandani ili kuwalinda na ukatili

    Watanzania maskini wengi wao wamekuwa wakipitia wakati mgumu na manyanyaso wengi wao wakiwa ni wanawake na watoto wanaofanya kazi viwandani hali hii haikubaliki na inaminya haki za msingi za binadamu. kuna ushahidi mkubwa kuwa kuna watanzania wengi wananyanyasika viwandani na kufanyishwa kazi...
  3. JamiiForums Tanzania Sheria kumi za maisha

    Mwongozo wa Wanaoanza Kujichukia; Hapa chini kuna sheria 10 ambazo unaweza kutumia ili kuwa mtaalamu wa kujichukia kwa haraka. Mwongozo huu umeelekezwa kwa wanaoanza na hauhitaji ujuzi au uzoefu wa awali. Tunashauri sana kuepuka vitu vyenye ncha kali na kingo za majengo. Hakuna mtu anayetaka...
  4. JamiiForums Tanzania Mimi Bibi Yenu Mpambanaji nimedhulumiwa kwa kutokujua sheria

    Kuna mtu mmoja yuko kwenye taasisi fulani nyeti ya serikali. NI MTU mzito sana, Akaniambia Bibi, kazini kwangu kuna fursa ya kupiga, ambayo itakunufaisha na wewe. Nikamwambia ni fursa gani hiyo? Akanipa mpango mzima. Akasema tuanzishe kampuni, yeye na jamaa zake, Ila kwasababu ya conflict of...
  5. JamiiForums Tanzania Wananchi wapinga sheria kibali cha sherehe Moshi

    Kufuatia Halmashauri ya Wilaya ya Moshi kutoa tangazo la kulipia matukio ya sherehe na kisha tangazo hilo kusitishwa kwa muda, mjadala umekuwa mkubwa baada ya wananchi nao kupinga sheria hiyo wanayodai ni kandamizi. Akizungumza na Jambo TV Frank Maro mkazi wa Moshi ameeleza kuwa sheria hiyo ni...
  6. JamiiForums Tanzania Mchengerwa: Maelekezo ya Makonda kuhusu Wananchi kumtembeza Diwani kwenye matope sio maelekezo ya Serikali

    Waziri Mchengerwa amethibitisha kwamba yeye ni mwanasheria. Ameiletea sifa kubwa taaluma yake ya Sheria. Baada ya Makonda kuwapomgeza wananchi waliokuwa wanawadhalilisha viongozi wao, Mchengerwa amesema wananchi wakatazwe kujichukua sheria mkononi. ==================== "Sasa niliona ile...
  7. JamiiForums Tanzania Kigoma: Polisi wafafanua kukamatwa wanaodaiwa kuwa viongozi wa CHADEMA, wamesema wamekamata wahalifu

    Polisi Kigoma wametoa ufafanuzi kuhusu taarifa za upotoshaji zinazozungumzia kukamatwa kwa wanaodaiwa kuwa viongozi wa CHADEMA. Polisi wamesema wanashikilia wahalifu wanne kwa tuhuma za mauaji, na kwamba hakuna mtu yeyote aliye juu ya sheria.
  8. JamiiForums Tanzania Logically, Ikiwa Rais hashtakiwi hiyo itamaanisha Hafuati na hayupo chini ya Sheria.

    Kwema Wakuu! Logically, Ikiwa Rais hashtakiwi hiyo itamaanisha Hafuati na hayupo chini ya Sheria. Ikiwa mtu hayupo chini ya Sheria hiyo itamaanisha hatokani na Sheria. Hii ni kusema, ikiwa watu watamchagua mtu awe Rais au kiongozi ambaye hatashtakiwa kwa Sheria itamaanisha hawakufuata Sheria...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kuelekea kutafuta Katiba mpya na Sheria bora za Uchaguzi, maoni yangu ni haya

    Ndugu zangu Watanzania, nimeona nitoe maoni yangu machache tunapoelekea kutafuta Katiba mpya na Sheria bora za Uchaguzi. Mimi nilidhani tufanye yafuatayo:- 1. Kiundwe chombo cha kitaifa kitakachoongoza na kuratibu hii movement. - Chombo hiki kitokane na angalau Watanzania wa makundi...
  10. J

    JamiiForums Tanzania JamiiForums kwa kushirikiana na StarTV inafanya mjadala kuhusu hali ya siasa Nchini na utawala wa sheria

    Fuatilia moja kwa moja mjadala unaofanywa na JamiiForums kwa kushirikiana na StarTV kuhusu hali ya siasa Nchini, na utawala wa sheria kuanzia saa 3:30 Usiku mpaka saa 5:30 Usiku. Washiriki ni; 1: Wakili, Boniface Mwabukusi - Rais wa TLS. 2: Ado Shaibu - Katibu Mkuu ACT WAZALENDO. 3: Benson...
  11. K

    JamiiForums Tanzania SHERIA NA MIFUMO

    SHERIA NA TARATIBU ZA KIMFUMO HAZIANGALII MTU KWA KIGEZO CHA HALI YAKE YA KIUCHUMI AU KICHEO TUKO SAWA Nilisikika huko ndotoni nikiwa nakoroma kukemea maovu na uonevu wa kuwachukulia hatua Mafukara na Watumishi wa Umma huku baadhi ya watu wakilindwa kwenye Vyeo vyao kwa Rushwa zinazonuka...
  12. JamiiForums Tanzania ACT: SMZ Isimamie Sheria ya Ukatili na Unyanyasaji (Gender Based Violence) ili kuondosha matukio ya udhalilishaji na Ukatili wa Kijinsia

    SMZ IHAKIKISHE INASIMAMIA SHERIA YA UKATILI NA UNYANYASAJI (GENDER BASED VIOLENCE) Ndugu wanahabari, awali ya yote nichukue fursa hii kumshukuru, Mwenyezi Mungu, kwa kutujaalia hali ya uzima wa afya, lakini pia niwashukuru nyinyi wanahabari, kwa kuitikia wito wetu wakuja katika mkutano huu leo...
  13. JamiiForums Tanzania Hivi unaweza kusoma sheria ukiwa na elimu ya Form Four?

    Kichwa cha habari chahusika, Nina kaka angu alimaliza form four miaka ya nyuma na hakuweza kufaulu kuendelea na form five, sasa hivi anawaza kuingia chuo asome sheria ila matokeo yake ana C ya Historia na C ya Civic, Masomo mengine alipata yote D. Je, anaweza kuingia Chuo matokeo hayo?
  14. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kuelekea kutafuta Katiba mpya na Sheria mpya za Uchaguzi 2025

    Tunapojiandaa kuanza kudai Katiba mpya na Sheria mpya za Uchaguzi napendekeza yafuatayo yafanyike kwanza:- 1. Kiandaliwe kikosi cha utoaji Elimu na uhamasishaji wa umuhimu wa Katiba mpya na Sheria mpya za Uchaguzi. 2. Kiandaliwe kikosi kitakachorekodi matukio yote ya kihalifu yatakayotokea...
  15. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kuhusu Katiba mpya/ Sheria mpya za Uchaguzi, mimi nitakuwa mstari wa mbele

    Ndugu zangu Maaskofu, Masheikh, Mapadre, Wachungaji, Manabii, Mitume na Watanzania wote, suala la Katiba mpya na Sheria mpya za Uchaguzi linatuhusu sisi sote. Katiba mpya na Sheria mpya za Uchaguzi si kwa ajili ya chama/ vyama vya siasa tu, bali ni kwa ajili ya Watanzania wote. Katiba mbovu...
  16. JamiiForums Tanzania Kamanda Muliro please trade carefully na wananchi. Polisi waishi ndani ya Katiba, Sheria na PGO imani irudi

    Kamanda Muliro nafahamu unasoma hapa jukwaani. Inawezekana mmejiundia ama kujijengea kasumba kwamba wanasiasa wanafurahia kazi yenu ya kutumia nguvu bila mizania. Mmekuwa mkiwakandamiza na kuwadharau sana wananchi wanapoonewa na askari wa chini yenu. Mmejipa majukumu ya kisiasa kinyume na...
  17. JamiiForums Tanzania Msomi Nguli wa Sheria Prof. Palamagamba anaenda kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo? Atakataa!

    huyu anaenda kupigizana kelele na akina Stive Mingele, akina Kingwendu, Bambo, wanamichezo kama akina Mkude na wengineo . Akina Shilole, ,sijui nani na nani. Msomi ambaye alipaswa arudi Chuo alipwe vizuri afundishe sheria. Aandike vitabu na vitabu. atoe ushauri wa kisheria. aisaidie nchi kwenye...
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini Sheria za Tanzania zinalenga zaidi kulinda uovu badala ya kutetea Haki?

    Nchi yetu kadiri siku zinavyoenda mbele, imeshuhudia zikitungwa sheria nyingi za kuirudisha nchi nyuma, yaani sheria nyingi zimekuwa za kuwatesa na kuwaonea wananchi. Ni sheria za kuhalalisha uovu dhidi ya wananchi: 1. Tulikuwa na sheria ya vyama vya siasa, lakini baadaye ikabadilishwa hiyo...
  19. JamiiForums Tanzania Mtumishi yoyote wa serikali au polisi atakapotaka kumkamata mtu bila kufuata utaratibu wa sheria, Watanzania msikubali kukamatwa

    Kulingana na kuongezeka kwa matukio ya utekaji nyara nchini, nitoe wito kwa watanzania wenzangu kwamba sisi kama nchi tunasheria za ukamataji na hakuna aliye juu ya sheria Endapo ukiona mtu yoyote asiejulikana au mtumishi yoyote au polisi anafanya ukamataji bila kufuata utaratibu uliowekwa wa...
  20. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Sheria ya Mikopo ya Mtandaoni bado inavunjwa kwa kutoa siri za mteja

    Pamoja na sheria ya mikopo ya mitandaoni kusainiwa, lakini bado kuna baadhi ya vijikampuni vinatoa siri za wateja wanapochelewa kulipa kwa kutuma msg za kumdhalilisha mkopaji, kwa watu ambao wapo kwenye simu yake hii ni kinyume na sheria ilisainiwa. Tungependa kupata muongozo sahihi kwa watu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…