sheria

  1. W

    JamiiForums Tanzania How CCM Government excludes opposition agents in elcteral processes

    In every functioning democracy, polling agents play a critical role in ensuring transparency, accountability, and integrity at polling stations. However, in Tanzania, the legal provisions permitting the deployment of polling agents by opposition parties are routinely undermined. While electoral...
  2. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu na Mapambano ya Kikatiba: Tunapojifunza Sheria, si Kusikiliza Kejeli za Mawakili wa Serikali

    Leo hii, Tundu Antiphas Lissu, mwanasheria wa kiwango cha juu, anarejea katika chombo cha haki — mahakama — si kwa ajili ya maigizo ya kisiasa, bali kwa ajili ya kuitafuta na kuisimamia constitutional justice kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hususan Ibara ya 13(6)(a)...
  3. JamiiForums Tanzania Wapagazi wa Kilimanjaro: Uhalali wa Manyanyaso au Uvunjifu wa Sheria? KIPAP, TANAPA na Wizara, Keleleni Kwenye Ukimya Wenu wa Aibu!

    Ni wakati sasa wa kuweka wazi na kwa lugha ya kisheria dhuluma inayofanywa kwa wapagazi (porters) wa Mlima Kilimanjaro. Hili si jambo la hisia tu, ni jambo la haki, ni jambo la sheria. Na ni jambo ambalo ukimya wa serikali, taasisi husika na wadau wakuu wa sekta ya utalii hauwezi tena...
  4. JamiiForums Tanzania Sheria inasemaje kuhusu mtu kujitengenezea pombe ya kunywa nyumbani?

    Wakuu Sheria yetu inasemaje kuhusu mtu kujitengenezea hombwa ya kunywa home? Nchi kama US nyumba inaruhusiwa kutengeneza hadi lita 1000 kwa mwaka. Hapa Tz muongozo ukoje? Na vipi mtu akifungua baa na kutengeneza bia yake hapo hapo?
  5. JamiiForums Tanzania CCM marekebisho ya Katiba yenu muda mnao, Sheria za uchaguzi muda haitoshi

    Kama kurekebisha Katiba yenu jambo ambalo ni kubwa Sana ndani ya mwaka mmoja mmeweza kufanya mara mbili, kwa nini hamtaki kurekebisha baadhi ya vifungu vya Katiba Tanzania pamoja na Sheria za uchaguzi? CCM inaogopa uchaguzi huru na wa haki kuliko inavyoogopa kifo.
  6. JamiiForums Tanzania GE2025 Sina tatizo na Samia kuongoza, tatizo langu ni Sheria na taratibu zifuatwe kwa Haki

    Hamjambo! Sisi wengine hatunaga shida na mtu kuongoza au chama Fulani kuongoza. Ili mradi ni mtanzania na yupo chama cha Watanzania sisi hatuna shida na hilo. Shida yetu(Mimi na Watibeli) wapigania na wapenda Haki ni kuona Sheria, haki na katiba vikikanyagwa. Hapo ndio shida yetu ilipo...
  7. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwanini kila ikikaribia au Uchaguzi ukipita huwa kuna Sheria zinapitishwa ambazo zinaminya Uhuru wa Watu kujieleza?

    Kwa nini kila ikikaribia au kila baada ya uchaguzi tunashuhudia kupitishwa kwa sheria mpya au utekelezaji wa sheria na kanuni ambazo zinaonekana kudhibiti haki ya uhuru wa kujieleza na kutoa maoni? Kwa mfano kuelekea Uchaguzi wa mwaka 2015 ilipitishwa Sheria ya Makosa ya Mtandaoni (Cybercrime...
  8. JamiiForums Tanzania Baraza la Wauguzi na Ukunga Tanzania (TNMC) yatoa ufafanuzi kuhusu hoja za Mdau aliyehoji utendaji wao

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kutoa hoja kadha akieleza kuwa haridhishwi na utendaji wa Baraza la Wauguzi na Ukunga Tanzania (TNMC) akidai halisimamii vizuri uhuishaji wa leseni na mengine kadhaa, ufafanuzi umetolewa na Baraza hilo... Hoja ya awali ya Mwananchi huyo ipo hapa - Baraza...
  9. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jaji Jacobs amesema Sheria 2 mpya zimeketa mabadiliko. Ila naona bado hazijakaa sawa

    MWENYEKITI wa Tume Huru ya Uchaguzi (INEC), Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele, amesema sheria mpya mbili za uchaguzi zimeanzisha mabadiliko muhimu, yakiwemo kuruhusu wapiga kura waliojiandikisha kupiga kura ya Rais nje ya vituo vyao vya kawaida, pamoja na kuweka utaratibu wa uchaguzi...
  10. JamiiForums Tanzania Afande muliro kusema `No reforms No election` ipo kwa sheria gani?, Inaonyesha unajibu mambo ya siasa na sio kazi yako

    Hapa afande muriro kama unasoma JF umekosea sana kujibu kitu ambacho sio sehemu yako sababu polisi kazi yake kusimamia usalama pamoja na raia na mali zao.Sasa inakuwaje mambo ya siasa ukaweza kuyajadili ambayo maneno wanayotumia CCM na wewe ndio unatumia hayo hayo. Siku mabadiliko yakija...
  11. E

    JamiiForums Tanzania Anayetaka kulisaidia Taifa ahakikishe Sheria zinazoipendelea ccm zinafutwa

    Taifa litapona endapo zitasimikwa sheria za haki nchini ambazo hazionei chama chochote,,, Rais asiwe m/kiti wa chama cha siasa,,, Mahakama zihakikishiwe Uhuru kwa kupewa vyanzo vya fedha kikatiba na bunge vilevile, hii ndiyo kansa inayosumbua Nchi , mahakama na bunge kutwa kucha kuipigia...
  12. JamiiForums Tanzania Mwanaharakati Boniface Mwangi aondolewa mashitaka ya ugaidi, sasa akabiliwa na kosa la kumiliki risasi kinyume cha sheria

    Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI) nchini Kenya imeondoa mashitaka ya ugaidi dhidi ya Mwanaharakati Boniface Mwangi, ambaye sasa anakabiliwa na mashitaka ya kumiliki risasi kinyume cha sheria. Mwangi, ambaye ameachiwa kwa dhamana, awali alishtakiwa kwa kusaidia shughuli za kigaidi kufuatia...
  13. JamiiForums Tanzania INEC iliundwa ili kuhakikisha chaguzi zetu zinakuwa za Haki, Huru na zakuaminika

    Rais Samia ametunga sheria mbalimbali kuimarisha demokrasia nchini ikiwemo sheria ya tume huru ya uchaguzi ili kuhakikisha chaguzi zinakuwa za haki,huru na za kuaminika. Dira ya Taifa ya Maendeleo ya 2050 imeitambua demokrasia na haki kama nguzo muhimu na ya msingi katika utekelezaji wa maono...
  14. JamiiForums Tanzania KERO Malalamiko kwa Gaming Board of Tanzania Kushindwa Kisimamia Sheria!

    Ninawasilisha andiko hili kwa nia ya kuonesha kukatishwa tamaa kutokana na uzembe wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania (Gaming Board of Tanzania) katika kusimamia kwa ufanisi utekelezaji wa sheria na kanuni zinazoongoza sekta ya michezo ya kubahatisha nchini. Kwa mujibu wa Kifungu cha...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Sheria yetu ya uchaguzi, inaruhusu mgombea uraisi kugombea bila kuwa na wadhamini wa ndani ya chama chake?

    Naomba wanasheria na wadau wengine wa mambo ya uchaguzi watusaidie kutupa ufafanuzi juu ya hiili. Pia, nini maana na wajibu wa kisheria wa wanaoitwa wadhamini ili tuone implication yake katika sheria na zoezi zima la uchaguzi wa Raisi. Na je, kisheria, kuna uhusiano gani kati ya sheria ya...
  16. JamiiForums Tanzania Ni UWENDAWAZIMU kutaka taifa la Tanzania liandaliwe kutawaliwa kwa sheria za dini fulani

    Asije akajitokeza mtu kufanya uwendawazimu huu. Vyombo vya ulinzi na usalama mkiona viashiria tu mtimueni haraka sana mwenye fikra za KIPUMBAVU kama hizi.
  17. JamiiForums Tanzania Mshtakiwa Lissu anapo geuka Professor wa Sheria Mahakamani

    https://youtu.be/CgyBs9twems?si=zmVMyhWhW6u4JAPf Tundu Antipasi Lissu amethibitisha kuwa ni mwana sheria nguli aliyebobea katika maswala ya sheria za Kitaifa na Kimataifa. Msikilize hapa. Utapenda 😁🤣
  18. U

    JamiiForums Tanzania Balozi Polepole kwa mujibu wa Sheria unapaswa kukabidhi rasmi ofisi ya ubalozi, unajua ni kosa kubwa kisheria ukishindwa kufanya hivyo

    Ni ushauri wa bure kwa mujibu wa Sheria na kanuni za umma. Kushindwa kufanya hivyo kunaweza kuhesabiwa ni jinai na hivyo waweza ingia kwenye shida
  19. T

    JamiiForums Tanzania Naona ikitungwa sheria ya serikali kujimilikisha account za mitandao ya kijamii ya viongozi na social influencers wote

    Kwa mambo yanayoendelea Kuna uwezekano kuna sheria zinatungwa serikali kujimilikisha account za viongozi na social influencers, maana yake hata kama account ni yako binafsi, as long as we ni public figure au kiongozi, utatakiwa ku handle credentials kwa serikali Ili ukija kuhasi, basi usipate...
  20. JamiiForums Tanzania GE2025 Kigaila awajia juu wanaosema 'no reforms no election' asema walikuwa wabunge kwa sheria hizi hizi

    "Sheria hizihizi zimetupeleka bungeni, wote wanaosema 'no reforms no election' wamekuwa wabunge miaka 10, miaka mitano na sheria hizihizi, zilitufanya tukiwa CHADEMA tukafika wabunge 72, na madiwani 1108 sheria hizihizi. Kinachotakiwa, kuwe na sheria mbaya, kuwe na sheria nzuri, kushinda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…