sheria za kodi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Baba levo alikua hajui mswada na hata sheria za kodi hazijui na ni mbunge

    Kuna video baba levo amepost akisema amepewa elimu ya kodi baada ya sintofahamu kutokea kati ya ommy dimpoz na afisa TRA yaani amekuwa mbunge ilihali hajui sheria za kodi usishangae hata alipokuwa kwenye kampeni alisema waziwazi hajui mswada ni nini Ukipelekwa mswada wa kodi kwa mtu ambaye ni...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Kumbe TRA hawatungi Sheria za Kodi

    Nimesikiliza clip mbili za Waziri wa fedha Mwigulu Lameck Nchemba akizungumzia kuhusu ukusanyaji wa kodi na ingine akiongelea madeni ya kodi bungeni leo. Kuna ujumbe naona kama waziri alikuwa anamjulisha mtu bungeni leo sijajua ni nani hasa. PIA SOMA - Serikali yasisitiza matumizi ya mashine za...
  3. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Kabla ya kuwaleta DP World turekebishe kwanza sheria za kodi

    Toka hili sakata la Bandari liibuke nilikaa kimya kwanza nitafute facts za kutosha ndo nitoe maoni yangu. Wengi wenu mmekuwa mkinisumbua kutaka kujua msimamo wangu kuhusu hili lakini sikujibu chochote hadi leo nilipoona ni muda sahihi. Niwakumbushe tu kuwa baadhi ya maoni yangu huwa yanakuwa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Sheria za Kodi kwa Tanzania sijui aliwekewa Mtanzania gani

    Habarini Kiufupi kodi sio rafiki kwa Mtanzania leo ukitaga kuagiza ka gari used mfano ist ni mil 16,wakati ilikua mil 10 sawa rates imepanda na mafuta yamepanda je mlichukua hatua gani ku balance isifike kiasi hicho? Import duty %25 Excise duty for aged vehicles %30 Vat %18 Railway...
Back
Top Bottom