sheria mpya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Uingereza yakosolewa kwa kuitenga Afrika katika Sheria mpya za Viza ya kazi nchini humo

    Uingereza imetangaza visa vya kazi kwa wahitimu kutoka vyuo vikuu bora zaidi duniani katika upanuzi wa mfumo wake wa uhamiaji, ambao umeundwa kuvutia wafanyakazi lakini hakuna vyuo vikuu vya Kiafrika vilivyojumuishwa katika orodha ya taasisi zinazostahiki. Chini ya mpango uliotangazwa Mei 30...
  2. Naomba ufafanuzi kuhusu sheria mpya

    wiki hii kuna miswada imepelekwa bungeni kufanyiwa marekebisho, ikiwemo sheria ya kwamba polisi hawaruhusiwi kumpeleka mtu mahakaman had wakamilishe upelelezi. Je na ile sheria inayowapa nguvu upande wa mashtaka na police kumkamata mtu pindi mahakama inapomuachia baada yakukaa ndani muda...
  3. M

    Serikali iwe makini na sheria mpya za kutoza kodi hasa BRELA, TRA N.K

    Kuna baadhi ya taasisi za serikali zinazokusanya mapato hivi karibuni zimepewa au kuanzaisha namna ya kuongeza mapato yao kupitia sheria mpya, Mfano BRELA wana sheria ya Kufile Beneficial Ower Details kabla 31, dec,21 kwa makampuni yote, na wanadai kutofanya ivyo faini yake ni...
  4. Shirika la Amnesty kufunga ofisi zake Hong Kong kutokana na Sheria mpya ya Usalama wa Taifa

    Shirika la Kimataifa la Amnesty limesema litafunga Ofisi zake zilizopo Hong Kong Nchini China kutokana na Sheria mpya ya Usalama wa Taifa. Amnesty ambayo imefanya kazi Jijini humo kwa zaidi ya miaka 40 imesema Sheria hiyo inafanya Mashirika ya Haki za Binadamu yaliyo Hong Kong kushindwa kufanya...
  5. Mapendekezo: Serikali irekebishe au itunge sheria mpya kabisa ya ugaidi au Terrorism Act na itoe miongozo kwa raia kuchukua tahadhari

    Kesi za ugaidi au kumtuhumu mtu kwa kupanga njama za kufanya vitendo vya kigaidi ikiwemo kuua viongozi ni jambo kubwa sana. Hata ile kuwatuhumu watu fulani katika jamii kuwa wanapanga kutekeleza vitendo vya kigaidi na pia kuua raia wengine pia ni jambo kubwa. Katika matukio makubwa ya kuleta...
  6. Raisi wa Marekani Ametia Saini Sheria mpya ya kuwa na Siku ya kusherehekea Kumalizika kwa Utumwa Marekani

    Juneteenth National Independence Day itakuwa inaadhimishwa Juni 19 ya kila mwaka. Ni siku katika mwaka 1865 wakati wanajeshi wa muungano walipoliarifu kundi la watumwa weusi kwenye jimbo la Texas juu ya uhuru wao miaka miwili na nusu baada ya Rais Abraham Lincoln kutia saini tangazo la ukombozi...
  7. Mbunge na Mwanamuziki, MwanaFA apinga sheria mpya ya BASATA ya kutaka kusikiliza nyimbo kabla ya Msanii kuipeleka redioni. Asema ni ya ‘kidwanzi’

    Mbunge wa Muheza, Hamis Mwinjuma ambaye pia ni mwanamuziki maarufu wa Bongofleva ‘MwanaFA’ ameipinga vikali sheria mpya iliyowekwa na BASATA. Sheria hiyo inamtaka msanii kupeleka kwanza nyimbo BASATA ikasikilizwe kabla ya kuipeleka kupigwa redioni. Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…