shaka

Shaka kaSenzangakhona (c. July 1787 – 22 September 1828), also known as Shaka Zulu (Zulu pronunciation: [ˈʃaːɠa]) and Sigidi kaSenzangakhona, was the King of the Zulu Kingdom from 1816 to 1828. He was one of the most influential monarchs of the Zulu Kingdom, responsible for re-organizing the Zulu military into a formidable force via a series of wide-reaching and influential reforms.
King Shaka was born in the lunar month of uNtulikazi (July) in the year of 1787 near present-day Melmoth, KwaZulu-Natal Province, the son of the Zulu chief Senzangakhona. Spurned as an illegitimate son, Shaka spent his childhood in his mother's settlements, where he was initiated into an ibutho lempi (fighting unit), serving as a warrior under Dingiswayo.Shaka further refined the ibutho military system and, with the Mthethwa empire's support over the next several years, forged alliances with his smaller neighbours to counter the growing threat from Ndwandwe raids from the north. The initial Zulu maneuvers were primarily defensive, as Shaka preferred to apply pressure diplomatically, with an occasional strategic assassination. His reforms of local society built on existing structures. Although he preferred social and propagandistic political methods, he also engaged in a number of battles.He was ultimately assassinated by his half brothers Dingane and Mhlangana. Shaka's reign coincided with the start of the Mfecane/Difaqane ("Upheaval" or "Crushing"), a period of devastating warfare and chaos in southern Africa between 1815 and about 1840 that depopulated the region. His role in the Mfecane/Difaqane is highly controversial.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    Bila shaka tumejifunza kuwapa madaraka makubwa watu kutoka kanda ya ziwa tushaona wapoje

    Bila shaka kila mtu ameona nini kitatokea Iwapo tukiwapa madaraka makubwa watu kutoka Kanda ya ziwa maana tumeona mtu kama mwendazake alipewa madaraka makubwa tumeona alichokuwa anafanya yaani hawa watu wa kutoka kanda ya ziwa hawa wasukuma ni wabinafsi Wanajificha kwenye kichaka cha upole ila...
  2. S

    Aliehoji, "who are you?" bila shaka amepata jibu la swali lake

    Naamini amejibiwa vizuri sana kwa vitendo na katika wakati sahihi. Ashukuru tu hajagusa maslahi ya Super power kwani na yeye wangemnyoosha. Hata hivyo, bado hayuko salama kwa uovu alioufanya .
  3. S

    Kuna shaka na walakini (conspiracy theory) katika kila kifo cha waliokuwa marais wa Tanzania isipokuwa Mwinyi peke yake

    1. Julius Nyerere Nyerere alimbeba sana Mkapa ili kuweza kumshinda Mrema, na kila mtu alijua bila Nyerere Mrema ndie angekuwa raisi wa Tanzania kupitia NCCR-Mageuzi. Jambo la ajabu ni kwamba baada ya kushinda uraisi Mkapa alimgeuka kabisa Nyerere, akawa hafanyi hata consultation nae, hata kwa...
  4. Nimeanza kuunganisha doti kwamba Lucas Mwashambwa ni Abdul Halim Hafidh Ameir mwenyewe au mtu alie karibu nae kumsaidia kwenye PR.

    Bado nafanya uchambuzi wangu kumhusu huyu Lucas Mwashambwa khasa baada ya kuendelea kutoa mada zake mbili baada ya kuapishwa waziri mkuu Mwigulu Nchemba na baada ya hotuba ya raisi mteule aliepatiana kwa wizi wa kura Samia Hassan. Moja ya mada zake mbili za hivi karibuni ni hii ya leo alotoa...
  5. GE2025 Hapana shaka kutakuwa na maandamano makubwa. Redcross 26 wamejipanga vibaya

    Walahi kutachurura. Hawa redcross 26 wako mbele ya muda. Kutakuwa na delay kwa jeshi kudhibiti maandamano ili kuyapa nguvu. Kile kikosi cha watu 26 kinaingia mzigoni kesho kutwa tarehe 26. Kama hukununua chakula huu ni wakati wa kuweka ndani. Kama unajua unaduka au ofisi katikati ya mji...
  6. Sina shaka na uzalendo wa CDF General Jacob Mkunda na JWTZ yake

    Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limeendelea kuwa nguzo ya ulinzi, amani na uzalendo wa kweli kwa taifa. Ni taasisi yenye heshima kubwa, ndani na nje ya mipaka yetu. Nidhamu yake, utii kwa taifa, na msimamo wa kutanguliza maslahi ya Watanzania ni mambo yanayolifanya JWTZ kuwa taasisi ya...
  7. GE2025 Mwenezi Khamis Mbeto: Tunapeleka Mgombea asiyetiliwa shaka Uana-CCM wake

    Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo Zanzibar (CCM), Khamis Mbeto amesema chama hicho kitasimama na mgombea anayekubalika kwa jamii na sio kukubalika na wana CCM tu. Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinatarajiwa kufanya vikao vyake muhimu vya Kitaifa jijini Dodoma kuanzia Agosti 21, 2025 ambaopo...
  8. M

    Serikali ya CCM na Uhamiaji miaka 60 ya Uhuru wanashindwa kutengeneza passport , bila shaka hatuwezi kupata maendeleo CCM ikiendelea kuwa madarakani

    Wadau, Ni msiba mzito kwa Tanzania kuwa CCM priority yake ni kupambana kuendelea kuwa madarakani kwa gharama yoyote ikiwemo kupokea pesa chafu kutoka kwa watu ambao wakati mwingine inawaita mafisadi, kuua, kuteka na kulawiti wale wanaopingana nayo kwa hoja , yote hayo inaweza kuyafanya...
  9. Bila shaka mmeshawajua wenye chama chao sasa

    Kwa ujumla tumeona wanaoimiliki sisiemu na kwa nini abdueli alitumwa akamnunue Simba, walipoona hanunuliki wakahamia kwa team mwamba waliopokea wakapokea na yakatokea yaliyofuata hadi chama kilichokua kinamiliki sufuria za ubwabwa tu leo kina maviete ghafla Wamemshindwa kumbeba na kummliki...
  10. Bila Shaka wajumbe wa CCM wamefanya kazi kubwa kwa niaba ya watanzania!

    Nikiri katika mwaka huu wa kiuchaguzi wajumbe wa CCM wenye mamlaka ya kuchuja na kupendekeza majina ya wagombea ambao hatimaye ndio huchaguliwa kuwa wawakilishi wetu wamefanya kazi kubwa sana na ya kizalendo mno. Nawashukuru!
  11. GE2025 Bila shaka Balozi Polepole anatafuta shari na huenda amejiandaa kwa shari

    Naomba nimnukuu kwenye maneno yake ya leo tarehe 03 August 2025 "...........WanaCCM wenzangu naomba tumuweke Mungu mbele, 2010 ni akina nani walitembeza fomu za mgombea Urais kama haikua familia ya Mgombea? Au hiki ni kitu nakosea kusema? Nazungumza kama mwanataaluma leo...... Natumia uhuru...
  12. DC Shaka: Hakuna atakayemwaga damu ya Mwanakilosa mwenzake tena, sio damu tu hata wa kumwaga Mkojo hapa hayupo tena-VIdeo

    Mkuu wa Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro Mhe Shaka Hamdu Shaka asema hayuko tayari chini ya Uongozi wake wa Wilaya ya Kilosa kuona Wilaya hiyo ikirudia historia yake ya nyuma, Akiongea na Wananchi wa Kata ya Tumbatu mahali palipotokea mgogoro wa Kimipaka ngazi ya Vijiji na Vitongoji, DC...
  13. Wasiokubali Uteuzi wa Rais Samia, 2025,Je ni Wanapinga Mchakato au Wanateswa na Mfumo Dume Wana Shaka na Uwezo Mwanamke? Angekuwa Mwanaume Wangepinga?

    Wanabodi Huu ni uzi wa swali, hawa watu haswa humu mitandaoni, ambao hawakubaliani na uamuzi wa Mkutano Mkuu wa CCM kuwapitisha Rais Samia na rais Mwinyi kuwa wagombea wa urais wa CCM kwa uchaguzi wa 2025 kwa Tanzania Bara na Visiwani, je wanachopinga ni mchakato ulioikiuka katiba ya CCM au...
  14. Bila shaka hizi social media zimefungwa Tanzania? (Facebook, Whatsapp & Instagram), au lah!! Basi ni tatizo la kiufundi

    WanaJF habari za wakati? Nimeamka Leo tangu asubuhi kwa ajili ya harakati za hapa na pale , ghafura nashangaa Simu yangu inakua nzito kwenye upande wa mtandao, Whatsapp nikituma message haziendi, Facebook same to Instagram hili jambo limenishangaza sana mpaka nimejiuliza labda bando limeisha...
  15. Farid Hadi asema "Bila Shaka Sheikh Jabir amedhulumiwa kifo chake ni funzo kwetu tuzingatie sana", atuma ujumbe kwa Rais

    Chanzo: Zanzibar Today Sheikh Jabir Haidar Pia Soma ~ Sheikh Jabir Haidar akutwa amefariki Bumbwisudi, chanzo cha Kifo bado kitendawili ~ Utata kifo cha Sheikh Jabir, inasemekana alichukuliwa na watu waliojitambulisha kama polisi. Ukweli ni upi?
  16. Leo nimethibitisha unafiki wa Watanzania Pasina Shaka

    Miezi kadhaa iliyopita niliweza kuhamia sehemu X kwa ajili ya utafutaji nilifanikiwa kupata site nikaanza shughuli zangu. Wenyeji wangu wachache walijua Mimi ni msomi niliyehitimu chuo japo sikutaka kujionesha sana kuwa nimesoma. Walipokuwa wakiniuliza kuhusu ajira nawambia nangoja serikali...
  17. M

    Ukimya wa Mkuu wa KKKT, Askofu Alex Malasusa tukio la Padri Kitima unatia shaka

    Ukimya wa Mkuu wa KKKT,Askofu Alex Malasusa kukaa kimya hadi sasa tangu kutokea tukio lililomkumba Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima, unaweza kuibua maswali mengi, hasa ikizingatiwa kuwa viongozi wa dini mara nyingi huonyesha mshikamano wanapokumbwa...
  18. S

    Mazingira ya ajali ya Mkurugenzi wa TANESCO hata katika picha yanatia shaka sana. Polisi wajibu haya maswali

    Tanzania lazima tujenge utamaduni wa kuhoji, sio kukubali kila tunachoambiwa, na Polisi au hata na serikali. Niliposikia juu ya hii ajali kwanza nilihoji ikiwa ajali ilitokea saa nane usiku na Mkurugenzi na dereva wote wamekufa, Polisi walijuaje dereva alikuwa anamkwepa mtu wa baiskeli? Sasa...
  19. W

    Taarifa gani umewahi kusikia kuhusu Saratani ikakupa shaka?

    Kila mwaka Februari 04 huwa ni siku ya kuadhimisha saratani duniani kwa lengo la kutoa elimu, takwimu na uelewa kuhusu Saratani. Na kwa takwimu za mwaka 2024 zimeonesha kuwa bara la Asia ndo linaongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya waangaa wa Saratani ya shingo ya kizazi SARATANI NI NINI Miili...
  20. Sina shaka nae katika Hotuba zake nzuri zenye Maneno ya Matuamini, ila nimemuangalia kwa Jicho langu la Kiyahudi Jamaa kaumia mno na atawahama

    Macho yangu ya Kiyahudi ambayo huwa yananipa hadi Hisia za Mtu kamwe hayajawahi Kukosea. Kaumia atahama.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…