shahidi

Shahidi (Persian: شهیدی‎) is a common surname in Iran, Afghanistan and Tajikistan. Like the given name Shahid, it is a Muslim theophoric name, from Aš-Šāhid (الشهيد), one of the 99 names of God in the Qur'an.
It is derived from šāhid شاهد, the Arabic word for "witness" or "martyr".

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Shahidi wa kupangwa hakubaliki katika uislam

    Katika Uislamu, kupanga au kuandaa shahidi wa uongo kwa makusudi ili kumkandamiza au kumuadhibu mtu mwingine ni dhambi kubwa sana (kabira) na ni aina ya dhulma (udhalimu). 1. Hukumu ya Shahidi wa Uongo Qur’ani Qur’ani Tukufu inakataza vikali ushahidi wa uongo: Surah Al-Hajj (22:30) –...
  2. JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu: Shahidi anasema hajui kama kuzuia uchaguzi, kuandamana ni kosa sasa mtu kama huyu ameendaje mwenyewe polisi kushtaki kosa?

    Kesi ya Lissu: Shahidi anasema hajui kama kuzuia uchaguzi, kuandamana ni kosa sasa mtu kama huyu ameendaje mwenyewe polisi kushtaki kosa? Kuna upumbavu mwingi sana kwenye jeshi la polisi lazima wahusika wa upumbavu huu watawajibishwa. kijana ameshinikizwa na polisi kuja kuongea vitu asivyo...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini ya Lissu: Serikali hii ni ya laana, imewatafuta watu wenye dhiki ya maisha na kuwafanya mashahidi wa kificho

    Kwenye kesi bandia iliyotengenezwa na watawala dhidi ya Lisu, kila mmoja alishangaa kuona wale mawakili wa mchongo wa serika wakikazania kuwa na mashahidi wa kificho. Watu mbalimbali walitoka na hisia tofauti tofauti. Baadhi mpaka walifikia kusema kuwa labda wale waliokuwa viongozi wa CHADEMA na...
  4. Q

    JamiiForums Tanzania Ni kosa kisheria kumhonga au kumshawishi shahidi kwa zawadi ili atoe ushahidi

    Kitendo cha CCM kutangaza kuwa kitawalipa watakaokwenda kutoa ushahidi kwenye tume ya Chande hiyo ni rushwa ya wazi, na kumshawishi shahidi kwa njia yeyote bila ridhaa yake ni sawa na kumlazimisa. Haikubaliki iwe mahakamani au kwenye tume ni kosa kwa mujibu wa sheria za Tanzania. Takukuru...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Lissu aendelea kummbana shahidi mahakamani -16.10.2025

    #UPDATES_KESI_YA_UHAINI Leo Oktoba 16, 2025 Jana tuliishia part 105 so leo tunaendelea na-; Part 106 Muda huu ni saa tatu asubuhi. Tumefika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es salaam. Hali ya Mahakama ni nzuri. Tunawashuhudia Waandishi wakichukua picha mgando na mnato...
  6. JamiiForums Tanzania Shahidi kesi ya Lissu asema ana degree ya Refrigerator ana air conditioner

    Dunia ina mengi Leo nimeshangaa Shahidi ambaye ni Afisa wa Police kusema alipata Elimu ya Degree mambo ya Mafriji huko Nairobi Hivi chuo kikuu kitaamua kudahili na kutoa elimu ya mafundi fridge Police mbona mnaajiri mabunda. Sasa Kwa jitu ujinga kama hili mtashinda kesi Gani?
  7. JamiiForums Tanzania Evarist Chahali apuuzwe kwa kumsingizia Yericko kuwa shahidi wa siri kwenye kesi ya Lissu

    Huu uzandiki unaofanywa na Chahali ni wa kupuuzwa. Shahidi wa siri kwenye kesi ya Lissu hajulikani kwahiyo kumtaja mtu ni kutaka kumharibia hadhi yake na hata kumhatarishia usalama wake. Ninampongeza Yericko Nyerere kwa kujitokeza hadharani na kupinga. Uongo sio wa kuuchekea...
  8. JamiiForums Tanzania Hakuna Shahidi Anayeweza Kutoa Ushahidi Kwa Kificho Halafu Asijulikane Milele

    Uamuzi wa Mahakama wa kuruhusu mashahidi wa kificho, kwa kweli ni uamuzi wa kishetani, unaolenga kudhulumu haki. Hii ni njia ya waliombambikizia Lisu kesi ya uhaini, kuwatafuta mashahidi wa kutengenezwa. Hakuna msema ukweli anayeweza kuogopa kujulikana. Hakuna mtu yeyote ambaye anaweza kuleta...
  9. JamiiForums Tanzania Shahidi wa Siri Bila Msingi: Uvunjifu wa Katiba, Sheria na Akili ya Haki

    Ni lazima tuseme kwa uwazi na kwa msisitizo: hakuna ushahidi wa ‘siri’ uliowahi kuwepo katika muktadha halali wa kisheria wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni uhalisia wa legal fact, na kinyume chake ni manufactured narrative inayokiuka misingi ya Katiba ya JMT, hususan Ibara ya 13(6)(a)...
  10. JamiiForums Tanzania Anaweza kuwa shahidi wa Siri?

    Wakuu hao mashahidi wa siri ni kina nani? 🐍
  11. JamiiForums Tanzania Wakili Peter Kibatala: Tumejiandaa kushughulika na Shahidi katika mashtaka ya Lissu

    Akizungumza kwaniaba ya jopo la Mawakili wanaomtetea Mwenyekiti wa Chadema Taifa Tundu Lissu baada ya Kesi ya kuchapisha taarifa za uongo mtandaoni kuahirishwa mpaka Julai 1, 2025, Wakili Peter Kibatala amesema kwamba walikuwa wamejipanga kwa ajili ya Shahidi ambaye ameanza kutoa ushahidi leo...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Tuelimishane: Kibatala alikuwa anapinga shahidi kuwa deferred. Kwangu mimi naona ni advantage kwa Kibatala. Kwanini?

    Kama ulikuwa ushahidi wa kutunga, ushahidi alioutoa akija on a latter date for cross examination , atakuwa amesahau! na hivyo unamkanyaga kisawasawa. Sasa kwanini Kibatala alikuwa nakataa?
  13. JamiiForums Tanzania 'Nyaraka yenye utata' yaibuka Mahakamani wakati shahidi akitoa ushahidi katika Kesi ya Mwalimu kutuhumiwa kumlawiti Mwanafunzi wake

    Shahidi wa tatu upande wa Jamhuri katika Kesi Namba Cc 32444/24 inayomkabili Saleh Ayoub (39), Mwalimu wa Shule ya Msingi Green Acres iliyopo Mbezi Africana, anayetuhumiwa kumlawiti Mwanafunzi (11) ametoa ushahidi Aprili 15, 2025. Katika ushahidi huo ambao ulitumia takribani saa tano...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Shahidi wa mwajiri agoma kutokea kwenye hearing

    Habari wakuu wa sheria, nimekuja mbele yenu kwa unyenyekevu kuomba msaada wa kisheria. Nitajitahidi kuifupisha kadri iwezekanapo lakini mtaelewa ninachoomba kutoka kwenu. Mimi nilikuwa ni mtumishi kwenye taasisi moja binafsi, nimefanya kazi kwa miaka zaidi ya ishirini kwenye hio taasisi. Hivi...
  15. JamiiForums Tanzania Shahidi: Mwalimu Mkuu anayedaiwa kumlawiti Mwanangu alimwambia 'ukisema nitakupiga nikuvunjevunje'

    Kesi Namba Cc 32444/24 inayomkabili Mwalimu Saleh Ayoub (39) mkazi wa Salasala Jijini Dar es Salaam kutoka Shule ya Msingi Green Acres iliyopo Mbezi Africana, anayedaiwa kumlawiti Mwanafunzi wake (11) imeendelea Februari 17, 2025, ambapo shahidi mmoja kati ya sita upande wa Jamhuri amekamilisha...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu Shahidi wa kwanza kamaliza kesi ya Gachagua

    Huyu Shahidi wa kwanza upande wa Bunge la Taifa , Mh Mwenge Mutuse ameshamaliza kesi. Inaonekana alitoa lawama bila kuwa na ushahidi Maalum. Yani anaulizwa maswali na wakili wa Gachagua amebakia kushangaa. Kama yeye aliyeleta Muswada wa kumuindoa Gachagua madarakani anashindwa kujibu maswali...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Shahidi kutoa Ushahidi wa uongo

    Msaada wajuzi wa sheria. Nina kesi mahakamani ilikua zamu ya kutoa ushahidi upande wa (A) mlalamikaji kaleta shahidi ambae amesema uongo mahakamani na kala kiapo. Ushahidi wa yeye kusema uongo ninao na anakili kuwa kapewa pesa. Nichukue hatua gani msaada tafadhari?
  18. JamiiForums Tanzania Askari Shahidi ashindwa kueleza maana ya Kahaba na Malaya katika Kesi ya Wanawake waliokamatwa Riverside wakidaiwa kujiuza

    Shahidi wa pili katika kesi ya ukahaba inayowakabili washtakiwa watano katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Sokoine Drive, ameileza mahakama hiyo kuwa waliwakamata washtakiwa hao kwa tuhuma za ukahaba kutokana na viashiria vya aina ya mavazi waliyokuwa wameyavaa na muda na mahali walikokutwa na...
  19. JamiiForums Tanzania Spika Tulia, Kanuni zako haziondoi Uhalali wa shahidi za Ushahidi wa Mpina dhidi ya uongo wa Waziri Bashe !!.

    Katika kosa kubwa ulolifanya siku ya Leo 18/6/2024, ni ku Overlook nini hasa kiini kilicholifikisha Taifa hili Mahali hapa . Umetumia muda mwingi sana Toka tarehe 14/6/2024, kutafuta ni wapi na kanuni gani Mpina kavunja !!. Kwa Namna ulivyowasilisha suala hili la MPINA, umetumia Muda mwingi...
  20. O

    JamiiForums Tanzania Kesi ya polisi wanaodaiwa kumuua muuza madini: Shahidi adai washtakiwa walitumia gari la OCD

    Gari la Polisi lililodaiwa kutumiwa na washtakiwa wa kesi ya mauaji ya mfanyabiashara wa madini, Mussa Hamis kwenda katika kituo cha Polisi Mitengo Mtwara na kisha kuondoka na mtu aliyebebwa kwenye machela limetajwa kuwa lilikuwa ni la Mkuu wa Polisi Wilaya (OCD) ya Mtwara. Hayo yamebainishwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…