Punguzeni jazba, waelemisheni wafanyabiashara watalipa kwa upendo, kulazimisha na kutishana kumepitwa na wakati,
Leo nimekuta hiyo kesi kwenye duka moja kariakoo, mdai service levy analazimisha mfanyabiashara afunge duka au alipe, wakati mfanyabiashara anaomba muda wa wiki mbili ndio alipe...