Agosti 10, 2023, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, alimtaka Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuhakikisha kuwa mifumo yote ya Tehama serikalini inasomana ili kufahamu vyema raia na wageni wa nchi.
Kauli hiyo aliitoa jijini Dar es Salaam, wakati wa hafla ya uzinduzi wa...