serikali

  1. Je, ni kwamba wananchi wameichoka Serikali au wamewachoka viongozi wa Serikali?

    Wakuu, Najiuliza hivi nu kwamba wananchi wamewachoka viongozi wa serikali au wameichoka serikali maana yanayotokea kwa sasa ningekuwa kaka Luka ningebubujikwa na machozi. Yani imefikia kipindi viongozi wanapata majanga badala wananchi wasikitike wanafurahi na kutaka kujua wangapi wametangulia...
  2. F

    LGE2024 Pius Msekwa aeleza kutofurahia ushindi wa 99% wa CCM, asema anafurahia tu pale uchaguzi unapomalizika na pande zote zinaridhika

    Spika mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mheshimiwa Pius Msekwa amesema hafurahii ushindi wa 99% wa CCM katika uchaguzi wa serikali za mitaa uliomalizika kwani kuna mapungufu mengi. Pia amesema mtu mwenye akili timamu hawezi kufurahia ushindi huo. Spika mstaafu ameyasema hayo...
  3. DOKEZO Serikali imulikeni Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema pesa zinazotokana na 10% ya mapato ya ndani

    Kumekuwa na simtofaham kuhusiana na pesa zinatolewa na serikali kwa ajili ya kuinua uchumi wa vijana, akina mama , wazee na walemavu katika halmashaur ya wilaya ya Sengerema. Awali kulikuwa na tetes ya kwamba pesa hizo zingetoka kabla ya uchaguzi wa serikali za mitaa lakini mpaka sasa hivi...
  4. LGE2024 Wagombea wangapi wa serikali za mitaa walikataliwa kwa kura za HAPANA?

    Wakati Mchengerwa anatoa taarifa ya matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa alisema kati ya wagombea wa waliopitishwa bila kupingwa ni wangapi walishinda kwa kupigiwa kura nyingi za NDIYO na wangapi walikatiliwa na wapiga kura kwa kura za HAPANA?
  5. Malecela apongeza uimara wa CCM na Serikali zake kutumikia Watanzania

    Ataka uzalendo zaidi sambamba na utekelezaji wa Ilani ya CCM Na Mwandishi Maalum, Dar es Salaam Makamu wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu, Mzee John Malecela, amewataka wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuendelea kuwa na moyo wa kizalendo na kujituma kwa ajili ya maslahi ya taifa...
  6. Serikali ichunguze vikundi vya dini vya wanafunzi shule za Advance

    Napata alarm hapa kuwa kuna vijana radical wanazalishwa mashuleni hasa advance. Hawa vijana wanazalishana wenyewe kwa wenyewe kwa hisani ya watu wazima ambao wako nje ya mfumo. Usipoziba ufa utajenga kuta. Miaka 30 iliyopita Nigeria ilikuwa shwari kabisa lakini sasa serikali ya Nigeria...
  7. N

    LGE2024 Sababu za CCM kushinda kwa kishindo katika uchaguzi wa serikali za mitaa ya mwaka 2024

    1. Utekelezaji wa ilani ya ccm ya 2020-2025. Wananchi waliridhishwa na miradi iliyotokelezwa ,kama vile barabara,huduma za afya,na elimu.M afanikio haya yalijenga imani na kuimarisha uungwaji mkono wa ccm. 2. Maandalizi ya mapema. ccm ilifanya tathmini ya viongozi waliopo na kuandaa wagombea...
  8. Jaji Warioba afunguka kasoro za Uchaguzi Serikali za Mitaa, atahadharisha vyombo vya usalama kujihusisha na Siasa

    Waziri Mkuu na Makamu wa Pili wa Rais Mstaafu, Jaji Joseph Sinde Warioba anazungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, huhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa https://www.youtube.com/watch?v=DRuPxvMW3Fk Mchakato tulioumaliza sasa hivi (Uchaguzi wa Serikali za Mitaa) yametokea yale yale ya...
  9. LGE2024 Tamko la Umoja wa Wazee kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Umoja wa Wazee kutoka Taasisi ya TAFEYOCO Tanzania wamewataka Wananchi na Jamii mbalimbali Nchini kuhakikisha wanapuuza matamko yanayotolewa kuhusu Uchaguzi wa Serikali za mitaa ambayo yanalenga kuleta uchochezi machafuko na machafuko Nchini. Wamesema hayo leo Dec 03, 2024 Jijini Dar es Salaam...
  10. Ustaarabu: Jinsi tabia nzuri zinavyoweza kupunguza gharama za Serikali na Jamii

    Tuanzie na mifano michache kabla ya kuelimishana juu ya USTAARABU: Mfano wa matumizi ya kifungashio:Mtu ananunua bidhaa, akisha kuitumia, kifungashio chake anakitupa sehemu yoyote ile, mfano maji, vyakula, n.k. Hii ni tabia isiyo na ustaarabu, kwani kifungashio kinachotupwa ovyo kinachafua...
  11. Wazo kwa serikali; Daraja la Busisi likianza kazi tulipie magari na waenda kwa miguu bure

    Hili ni wazo tu kwa serikali yangu kuhusu daraja la busisi kwanza nipongeze serikali pili naomba hili daraja liwe la kulipia ila isiwe hela nyingi kiwekwe kiwango kiasi kama kuchangia maendeleo ya serikali yetu Ila iwe kwa magari tu baskeli pikipiki na waenda kwa miguu iwe bureeeeee Mfano gari...
  12. Ujumbe wa Mungu kwa Serikali ya Tanzania

    Hapa kuna aya za Biblia zinazokemea tawala dhalimu zinazofanya mauaji, unyanyasaji, au kuteka watu wasio na hatia: 1. Kutoka 20:13 "Usiue." Hii ni mojawapo ya Amri Kumi ambayo inakemea waziwazi mauaji ya watu wasio na hatia. 2. Mhubiri 3:16-17 "Tena nikaona chini ya jua mahali pa hukumu...
  13. Kadhia ya utekaji kwanini Serikali imeshindwa?

    Wapo wengi kama mimi wanaoshangaa ni kwanini utekaji unazidi kuongezeka na kugeuka donda ndugu. Je, serikali imeshindwa kweli au kuna namna? Je, huyu mbeba moano ameshindwa kuona namna wananchi wasio na hatia wanavyoteswa na kudhulumiwa hata uhai wao? Je, hawa watekaji wamegeuka serikali...
  14. Trump amteua mkwe wake mwingine kama mshauri kwenye utawala wake mpya!

    Wakuu. Hata baada ya kusema kuwa this time around hatohusisha wanae kwenye uongozi wake, Trump inaonekana ameendelea kuteua watu wake wa karibu. Hivi karibuni Donald Trump amemteua Massad Boulos, baba mkwe wa binti yake Tiffany, kuwa mshauri wa masuala ya Waarabu na Mashariki ya Kati...
  15. Je Vyombo vya Habari Viliwatendea Haki Watanzania Kuwaelimisha Kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa?. Mimi na PPR Yangu, Tulijitolea Vipindi 6 vya TV.

    Wanabodi, Makala yangu Gazeti la Nipashe la 24/11/2024 Vipindi 6 vya TV vya PPR Kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. 1. Prog. 1 - Ufunguzi wa Waziri wa Habari, Jerry William Slaa - https://youtu.be/bTs3S76UuoY 2. Prog. 2 - Mada Kuu-1 -Wajibu wa Media kwenye Uchaguzi wa Serikali za...
  16. Pongezi CCM, kwa Ushindi wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Pongezi Pia Upinzani kwa kidogo mlichokipata, muwe na shukrani ili 2025 mpatiwe kikubwa!

    Wanabodi, Makala yangu gazeti la Nipashe ya leo 01/12/2024. Paskali
  17. KERO Ubabe huu wa Kampuni ya Pepsi unalindwa na serikali?

    Kwa wauzaji wa reja reja wa soda hulazimishwa na Kampuni ya Pepsi, kununua soda wasizotaka kununua wala wasizo na wateja nazo Ili wapewe soda aina ya Pepsi. Huu ubabe wa Kampuni ya Pepsi unakera sana Lakini wauzaji wa soda kwa reja reja hawana ubavu wa kupambana nao. Kwa nini Pepsi walazimishe...
  18. J

    Kwanini Serikali haijatoa rambirambi kwa wanachadema waliowawa ktk ghasia za Uchaguzi Dsm, Singida, na Songwe?

    ..Kwanini Raisi hajatoa mchango wa rambirambi kwa wanachadema waliofariki Dsm, Singida, na Songwe? ..Kwanini Katibu Mkuu wa CCM hajatuma salamu za rambirambi kwa Katibu Mkuu mwenzake, au washindani wao? https://www.youtube.com/watch?v=FI4sAGtsqNY
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…