Napenda kujua
Naomba kujua favor anzopata mtu mwenye ulemavu kwenye ajira za utumishi ikiwa labda kafeli oral au hata written wanamsaidiaje hapo? Nina ndugu yangu Kaomba Hz kazi za ualimu masomo ya biashara yeye kakatika mkono
Ningependa kujua
Naomba kujua favor anzopata mtu mwenye ulemavu kwenye ajira za utumishi ikiwa labda kafeli oral au hata written wanamsaidiaje hapo? Nina ndugu yangu Kaomba Hz kazi za ualimu masomo ya biashara yeye kakatika mkono
Viongozi wa dini, kwa dini zote, huchukuliwa kama wazazi na walezi wa waumini wao. Ni kwa sababu hiyo, viongozi wa dinni kwa kutambua wajibu wao, wametoa ujumbe kwa Serikali juu ya umuhimu wa kuwa na marekebisho ya sheria, kanuni na mifumo yetu ya uchaguzi, ili uchaguzi mkuu kuwa wa haki na...
Ni neema na baraka za Mungu Tanzania imebarikiwa kua na kiongozi mbeba maono ya waTanzania wo ambae mstahimilivu na mwenye subra kama Dr.Samia Suluhu Hassn, licha ya chuki na upotoshaji unaoelekezwa dhidi yake na wanasiasa waliopoteza uelekeo wakiungana na viongozi wa dini kwasababu Dr.Samia...
Jeshi la Burkina Faso lasema lilizuia njama 'kuu' ya mapinduzi.
Serikali ya kijeshi ya Burkina Faso imesema ilitibua "njama kubwa" ya kumpindua kiongozi wa kijeshi Kapteni Ibrahim Traoré, huku jeshi likidai kuwa wapangaji hao walikuwa na makao yao katika nchi jirani ya Ivory Coast.
Waziri wa...
Nimeiuliza akili mnemba (WhatsApp chatGPT), kama serikali inaweza kuzalisha ama Kutengeneza fedha hewa..?
Na haya ndio majibu iliyonipa..
Baada yakusoma majibu haya nitahitaji nawewe unijibu swali hilo.
[22/04, 16:24] Akili mnemba: Swali lako ni la msingi sana, na linaingia kwenye uchambuzi wa...
Huu ni unafiki mwingine wa wanasiasa, kwamba katika mambo mengi sana ya shughuli za kiserikali na kisiasa nchini, mnawaalika viongozi wa dini na kutaka wawabariki katika mamlaka yenu nk. Kila wakati tunawaona kina Makonda wakiomba waombewe na viongozi wa dini mara nyingine kwa magoti na machozi...
Wanandugu
Nimemwona Makonda kwenye clip inayotembea huko mtandaoni. Kwa kweli inaonyesha kama amepatwa na kiwewe cha ajabu huu uchaguzi.
Amepaniki kinyama kuonyesha dhahiri niwasisi wa haya maovu ya kuvunja haki za uchaguzi na nyinginezo.
Ninavyojua makuhani wetu wa dini hawana mipaka kwenye...
Nashindwa kuelewa Kigoma tuna bahati mbaya gani kwa sababu Tanzania nzima serikali imewasaidia wahanga wote lakini Kigoma hatujasaidiwa, tunaomba tu Serikali itusaidie na sisi" - Mwananchi.
Madereva wa magari ya serikali katika halmashauri ya wilaya ya Maswa mkoani Simiyu, wamemlalamikia,Katibu Tawala wa wilaya(DAS)ya Maswa,Athuman Kalaghe kwa madai ya kuamrishwa kuacha sehemu ya mafuta wanayopewa kwa matumizi ya magari yao, ili kiongozi huyo ayatumie kwa matumizi binafsi.
Kwa...
Anonymous
Thread
kiongozi
kuhujumu
mafuta
magari
magari ya serikaliserikali
wilaya
wilaya ya maswa
Huyu jamaa asilimia kubwa ya matamko yake ni mambo mepesi mepesi ya kiserikali......kama updates za ujenzi wa viwanja vya mipira na kukabidhi pesa za magoli ya mama.
Hivi kweli amekosa kingine cha kuisemea serikali nje ya mambo ya kimizaha mizaha...amekuwa kama Ahmed Ally wa Simba sc
Sioni...
Kujenga Taifa kwa Ushirikiano: Umuhimu wa Mfumo Shirikishi kati ya Wasomi na Viongozi wa Serikali
Utangulizi
Katika karne ya 21, maendeleo ya taifa hayategemei nguvu kazi pekee, bali yanahitaji mwelekeo wa kitaalamu, sera thabiti, na matumizi ya maarifa ya kisasa. Taifa x linakumbwa na...
Naomba msaada kwa anayeweza kupenyeza ujumbe huu kwa Mh.Mbunge Saashisha Mafue wa Jimbo la Hai na Serikali sikivu ya Ccm.
Hivi karibuni Serikali ilianza zoezi la kusambaza nguzo za umeme wa Rea kwenye vitongoji kadhaa vya wilaya ya Hai.
Kwenye kitongoji Cha MLIMAFARU kilichopo kijiji Cha...
Hivi Kuna watu wantuma pesa kirahisi kabisa mda huu Kuna jinga linatuma sms ya hivi aisee tanzania imeshindwa kuwashugulikia Hawa wajinga maana ni usumbufu sana aisee watanzania tufanye kazi hii sio ajira shenzi kabisa huyu jamaa nilijua meseji ya maana kumbe jinga Moja
Mbinu ya CCM miaka yote ni ileile, kuwalisha Chambo watu wote wanaweza kua kikwazo kwao, ili inturn alokula Chambo awe Hana namna nyingine !!.
CCM wamefanya hivo, ili Jeshi lione linajaliwa, na matokeo yake ni Jeshi nalo baadae kulipa Fadhila.
Ni Baada ya Hotuba ya Mzee Warioba, kua Taasisi...
Ripoti za ndani ya nchi zisizokuwa na shaka zinaonesha kuna wizi mkubwa wa fedha za umma katika mamlaka na kuna ukamataji na utekaji wa wale wanaopigania haki na kukemea wizi na rushwa kwa serikali ya Tanzania na kuhamasisha uchaguzi wa haki kuelekea uchaguzi mkuu.
Nitoe wito kwa umoja wa...
Viongozi wa Chama na Serikali wakiendelea na kauli hizi za kishetani tutawaka wafanye yafuatayo:-
1. Waagize kwenye ibada kusiwepo na kuwaombea viongozi wa Serikali sababu ni kuchanganya DINI na SIASA.
2. Serikali wanapofanya mikutano, vikao, sherehe wasialike viongozi wa DINI kwa ajili ya...
Control ya raia iliyoko China ni kiwango cha kambi za mateso.
1. Ni taifa pekee kubwa duniani linalotumia time zone moja.
2. Ni taifa ambalo raia kutembelea jimbo lingine inabidi kupewa kibali na serikali, tofauti na hapo utakamatwa au hutapata baadhi ya huduma za kijamii.
3. Ni mojawapo ya...
Kwenye siasa kuna kitu kinaitwa dhana, kura za makurdi, na mtazamo wa makurdi. Kwa kiongozi yoyote ni lazima uwe makini sana kwenye mambo haya.
Juzi Mzee Paul Kimiti akiwa kwenye Kongamano la Mwalimu Nyerere Dodoma alisema kuwa Mzee Mkapa alikuwa ameshamteua awe Waziri Mkuu lakini Mwl Nyerere...
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambaye pia ni Mbunge wa Mbeya Mjini, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, leo tarehe 19 Aprili 2025, amezindua gari la kubebea wagonjwa (ambulance) lililotolewa na Serikali kwa ajili ya Kituo cha Afya cha Mwakibete, jijini Mbeya. Uzinduzi huo unalenga...