serikali

  1. JamiiForums Tanzania Serikali kazia hapo hapo msiwape nafasi tena CHADEMA wasijifanye wao ni last born kususa susa - Nchi ilikuwepo bila CHADEMA na itaishi bila CHADEMA

    Dunia yote inajua walisusa, wakagomea ku sign kanuni za uchaguzi walitegemea serikali itawabembeleza. Sasa hivi maisha yanaendelea, mpaka kufikia 2030 CHADEMA itakuwa imekufa. Mfadhili mkuu w CHADEMA kila mtu amemuona, Tundu Lisu aliwahi kunukuliwa akisema aliwahi kukutana na kiongozi wa dini...
  2. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wizara ya Afya yazidi kuuthibitishia ulimwengu kuhusu Serikali ya Samia kuficha ukweli wa Mauaji ya kutisha yaliyofanywa kipindi cha Uchaguzi

    Anguko Kuu la CCM na Serikali yake halitotokana na jambo lingine lolote lile zaidi ya kukosa akili. Kukosa kwao akili ndo kumesababisha wawapuuze Wananchi na madai yao ya ukweli kisha kukimbilia kuwateka, kuwaua na kuwapoteza hali iliyopelekea hasira za Wananchi kupanda na kufikia kikomo na...
  3. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Nilichokishuhudia kwenye maandamano: Serikali ya Tanzania imeshindwa vita

    Kila machafuko huwa ni fursa kwa watu. Hilo la mikono ya watu nitalisema siku nyingine, ila kuhusu maandamano na vurugu niseme tu kwamba nimeyashuhudia yote tokea yanaanza siku za kwanza sijasimuliwa: Vijana wanapigwa risasi na kukimbizwa hospitali nimeona, Kufukuzwa na magari ya jeshi nimeona...
  4. JamiiForums Tanzania Serikali iliyopatikana kwa Kumwaga Damu za Watanzania kamwe haiwezi kuwa serikali halali kwa watanzania

    Habari za humu, Kuna Jambo moja linashangaza sana, Hivi nini maana ya kiongozi? Bila shaka tunaelewa tofauti kati ya Boss/Mtawala na Kiongozi/Leader. Kiongozi ni yule aliyetoka miongoni mwa watu wake ili aweze kuwaongoza na kushirikiana nao katika njia moja na uelekeo mmoja kwa pamoja na kwa...
  5. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Anguko la Samia na Serikali yake ni kuwa in denial kwamba nyakati zimebadilika

    Watu hawadanganyiki kizembe tena. Yale mambo ya kupigwa makofi halafu kupewa peremende kama watoto wadogo sasa yamekwisha. UZI TAYARI.
  6. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tunajiandaa kuanza majaribio bima ya afya kwa wote

    Rais Samia Suluhu Hassan akihutubia bunge la 13 leo Novemba 14, 2025 amesema Serikali inajiandaa kutoa huduma ya bima ya afya kwa wote ambayo itakua ni kuanza kwa mageuzi ya huduma ya afya nchini
  7. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Nitaunda Tume ya Maridhiano na Upatanishi ‘baada ya kujua kiini cha vurugu’

    Rais Samia amesema ataunda tume ya maridhiano na upatanishi na kuanza mchakato wa mabadiliko ya Katiba baada ya kujua kiini cha vurugu kwenye uchaguzi mkuu.
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nitakao wateua mjiandae kisaikolojia, tutawabadilikia

    Rais Samia amesema Nitakao wateua mjiandae kisaikolojia, tutawabadilikia
  9. JamiiForums Tanzania PostGE2025 BAKWATA na taasisi za kiislamu zampongeza Rais Samia kwa kushinda Uchaguzi, walaani vurugu

    Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) kwa kushirikiana na taasisi mbalimbali za Kiislamu nchini, limelaani vikali vitendo vya uhalifu vilivyotokea wakati na baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 29, 2025, na kuisihi serikali kufanya uchunguzi wa kina kubaini chanzo na vinara wa machafuko...
  10. JamiiForums Tanzania Serikali kupitia Mamlaka ya Mawasiliano TCRA, ruhusuni JamiiForums kwasababu kwa miaka mingi imekuwa ikitatua changamoto za Afrika kupitia habari

    Maendeleo makubwa hayawezi kuja pasipo kufahamu changamoto zinazozuia mafanikio JamiiForums kwa miaka mingi imekuwa ikitatua changamoto za Afrika hasa katika maswala yanayoigusa jamii kwa ujumla kupitia habari, jambo lililokuwa likisaidia Serikali kuona changamoto za Wananchi wake na kutatua...
  11. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Serikali iruhusu maandamno ya D9 lakini yawe na viongozi, ujumbe na destination

    Ni wazi kwa sasa siyo rahisi kuzuia maandamano ya Gen Z kutokana na kwamba vijana wako tayari kufa. Radicalisation iliyofanyika through mitandao na matokeo ya Oktoba 29 yanaonyesha hawana cha kupoteza. Kwa ushauri wangu sioni ubaya Serikali wakawaruhusu waandamane kwa mujibu wa Katiba ya JMT na...
  12. T

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Serikali ya CCM inaandaa Maridhiano na Gen-Z fake

    Kuna fununu kuwa Serikali fake ya CCM inakuja na mkakati wa kuwa na maridhiano na Gen-Z waliandaliwa na CCM, hili kuonesha kuwa Gen-Z wamemkubali Samia kama raisi. Tuwe makini na uongo wa CCM
  13. JamiiForums Tanzania Naamini serikali itakuja kuomba msamaha direct or indirect but najua hili swal linawaumiza

    Najua serikali hili swala linawamiza sana sema ndo hivo nani amfunge paka kengele? Aje hadharani atubu ni ngumu ila kuna mambo watafanya indirect mazuri na wananchi watasahau alafu maisha yatendelea naomba tumpe mama mda alafu tuone najua anaumia ndo mana Mapaka leo bdo hajaja Dar...
  14. JamiiForums Tanzania TZS 10 million Challenge Kwa Mawakili wa Serikali

    Nimesikitishwa na press release ya Chama Cha Mawakili wa Serikali (TPBA) ya 12 November 2025. Katika hiyo press release, TPBA inadai (pamoja na mambo mengine) kwamba maandamano ya 29 October 2025 hayakuwa halali, kwani yalikiuka zuio la polisi. Hiki ni kisingizio cha kisaliti na kipumbavu sana...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Unyama wa CCM na serikali yake

    Habari zenu ndugu zangu watanzania. Leo naomba tujadili unyama wa serikali ya ccm na washiriki wake. Tanzania ni nchi yenye majabu sana ila October 29, 2025 kuna upumbavu na ujinga ambao umeonekana wazi wazi kwenye macho ya dunia ambao ulikuwa haujawahi kushuhudiwa kwenye nchi yoyote hapa...
  16. JamiiForums Tanzania Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania haihofii maandamano bali inahofia uharibifu wa Uhai pamoja na mali za Wananchi wake

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania haihofii maandamano bali inahofia uharibifu wa Uhai pamoja na mali za Wananchi wake, uharibifu ambao unafanywa na Wananchi wenye asili ya uhalifu ndani yao Kauli za kwamba Serikali inaogopa maandamano kwasababu itashindwa sio za kweli Bali...
  17. W

    JamiiForums Tanzania Zungu: Sisi kama Bunge tunapaswa kuangalia maslahi ya wananchi kwanza na sio ya sisi wabunge

    Mgombea Uspika, Musa Azzan Zungu amesema hakuna ugomvi kati ya bunge na serikali au mahakama, isipokuwa lengo ni kufanya kazi kwa maslahi ya wananchi akijibu swali kuhusu Bunge kutetea wananchi. Ameyasema hayo awali leo Bungeni Novemba 11, 2025.
  18. JamiiForums Tanzania Serikali katili na wananchi vichaa

    Pro-mfumo mbovu .Haya mambo hayawezi ishia mpaka yaishe wakulisave Taifa ndo kwanza hana ata wazo bado hajaamka kabisa. Lazima tukubaliane yaliotokea tra29 na siku zote zilizofuata imetokana na wanachi vichaa kukutana na serikali katili Ukweli ni kwamba pande zote hizi mbili zilificha makucha...
  19. JamiiForums Tanzania Sio kwa ubaya, watakaotoka tarehe 9 Disemba wengi wao watarudi ganda. Tafadhali mwana JF usishindane na serikali

    Mimi silipwi hata sh. Mia kwa KAZI ya uchawa . Sijulikani na kiongozi yeyote mkubwa. Ni mtumishi wa umma, na ofisi yetu haihusiani na siasa au jamii moja kwa moja. Ukisoma nyuzi zangu huko nyuma nadhani kuanzia Juni mimi nilikuwa mpinzani kabisa ila kitendo cha wapinzani kuwaunga mkono Gwajima...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Kama Ikulu, Polisi na Idara zote za Serikali zinafunga “comments”, basi Umma umeshinda

    Kama kuanzia huyo “Rais” mwenyewe na Ikulu yake wakichapisha chochote mtandaoni wanafunga comments, maana yake Umma umeshinda. Jeshi la Polisi, Idara, viongozi binafsi na taasisi zote ambazo zinalalamikiwa kwa dhulma na maovu pia wanafunga comments, kuanzia Msemaji wa Serikali hadi akina...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…