serikali

  1. JamiiForums Tanzania Orodha ya Wana CCM na Viongozi wa Serikali na Wastaafu na Machawa ambao Kamwe Hawatasamehewa Leo au Kesho Kwa namna yoyote Ile !!

    Hii hata hao TEC au Shura ya Maimamu , Wasomi ,Taasisi mbalimbali hawataruhusiwa kuingilia Au kujaribu kushawishi Maamuzi ya Wananchi. Wameua Ndugu zetu Maelfu , Wameteka Kila sauti iliyosimamia Haki, hakika Hawa ni watanzania ambao HATUTAWASAMEHE. Jakaya Kikwete na Familia yake. Rostam Aziz...
  2. JamiiForums Tanzania Msigwa iambie Serikali yako na Vikundi vyake (Polisi na Mamuluki wao) tarehe 9 Dec ni Maandamano ya Uhakika, Wasithubutu hata Kuua Sisimizi!.

    Kwa Taarifa yenu, Tuliouliwa Ndugu zetu tumeshajipanga kuandamana. Mtangaze Curfew ya mapema, haitozuia lolote. Muanze kupiga Risasi mapema, haitazuia lolote . Maandamano yapo, No way Bwana Msigwa , rukaruka tu na Porojo zako ila MAANDAMANO MAKUBWA YA AMANI YAKO PALEPALE. SASA , Onyo...
  3. JamiiForums Tanzania Serikali chutama kama ambavyo mnaleta mashaidi wa Siri basi vumilia CNN kuhoji madaktari Kwa siri

    Msigwa ameumia saana CNN kusema waliwahoji madaktari wa hospital ya Seketule(I am not sure with spelling) Kwa Siri na kutoboa Siri ya madaktari kuambiwa wawaweke mochwari majeruhi ata kama hawajafa. Yaani serikali ilkuwa inaona Sawa kuja na mashaidi wa Siri kwenye kesi ya Lissu, lakini inaumia...
  4. JamiiForums Tanzania Madowo na CNN wangekuwa watanzania wangetekwa na kufungiwa lakini kwasababu ni vyombo vikubwa serikali imebaki kubweka

    Madowo na CNN wangekuwa watanzania wangetekwa na kufungiwa lakini kwasababu ni vyombo vikubwa serikali imebaki kubweka.
  5. Q

    JamiiForums Tanzania Inaonekana Serikali imeumizwa sana na Documentary ya CNN

    Serikali imepanic, baada ya CNN kuonesha ukweli ambao serikali haikutegemea ikiwa ni pamoja kuonyesha kaburi la halaiki. Hawakutegemea. Imejaza watu mitandaoni kumshambulia mwandishi wa CNN utadhani aliandaa peke yake, serikali ilidhani CNN ni Channel 10 au ITV na Larry Madowo ni Millard Ayo...
  6. JamiiForums Tanzania Msigwa hata kama ungepewa nafasi ya kuijibia serikali ungejibu nini? Kuwa watu hawakuuliwa?

    Naomba unijibu kama mtu ambae anatumia common sense. Sio akili za kulinda kitumbua na ugali kama Maliyamungu wa Iddi Amini. Rais Samia katamka hadharani kuwa baada ya vijana kuimba kuwa wataka kama ya Madagascar watu waliuliwa. Uhalifu ulifanyika Je, ulihataji kuzuiwa kwa mtutu wa bunduki...
  7. JamiiForums Tanzania Watalii wameambiwa wapuuze video za CNN huku serikali kutokanusha video zile wanamaanisha nini ?

    Watalii wameambiwa wapuuze video za CNN huku serikali kutokanusha video zile wanamaanisha nini ? Leo serikali imeaibika na kutrend vibaya sana na zile video za mauwaji zime trend zaidi na kupewa umakini na dunia. Serikali haramu inazima moto kwa kuwasha kiberiti.
  8. JamiiForums Tanzania Madowo: Serikali ya Tanzania ilikataa kutoa ufafanuzi wowote kuhusiana kilichotokea oct 29 lakini baada ya CNN kutangaza dunia ndio wamekuja

    Madowo: serikali ya Tanzania ilikataa kutoa ufafanuzi wowote kuhusiana kilichotokea oct 29 lakini baada ya CNN kutangaza dunia ndio wamekuja. #D9
  9. JamiiForums Tanzania Larry Madowo aposti anacheka baada ya Serikali kuja na hoja zisizoeleweka wala kukanusha ripoti za CNN

  10. JamiiForums Tanzania Tatizo la kuongea sana: Serikali yazidi kujichanganya. Muliro alisema AI, Msigwa asema picha zilizopigwa kwa simu

    Kwa namna Serikali ya Samia inavyozidi kujichanganya ndivyo inavyozidi kuithibitishia Dunia kuwa ni lazima pawepo Uchunguzi huru wa Kimafaifa kuhusu Mauaji ya Maelfu ya Watanzania yaliyofanywa na Samia na wakuu wake wa vyombo vya dola. Wakati anahojiwa na DW, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dar...
  11. JamiiForums Tanzania GODFREY MONYO (ITV): Serikali ina mpango gani kuwafidia walioharibiwa au kuibiwa Mali zào Oct 29?

    Akiuliza swali kwa Msemaji Mkuu wa serikali Gerson Msigwa, mwandishi wa ITV Godfrey Monyo amehoji mpango wa serikali kuwafidia waliopotelewa Mali zao. Kitendo cha kutogusia waliopoteza maisha kutokana na Uzembe wa vyombo vya Dola kunatujengea picha kwamba walio upande wa serikali hawathamini...
  12. JamiiForums Tanzania Rasmi serikali imeingia kwenye vita na vyombo vya habari vya kimataifa, baada ya kuvitia vya ndani mfukoni, wale ni sawa na Gen z sio wakuyumbishwa

    Rasmi serikali imeingia kwenye vita na vyombo vya habari vya kimataifa, baada ya kuvitia vya ndani mfukoni, wale ni sawa na Gen z sio wakuyumbishwa.
  13. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kwa maana nyingine serikali imekubali ripoti ya CNN, BBC na Al Jazeera ila hawajapenda namna walivyopata uthibitisho?

    wakuu, Kwenye press hii Msigwa amseme walichokifanya CNN na wengine ni kinyume na maadili ya uandishi kwa kutokwenda kupata upande wa pili. Wamesema kuweka picha za kutisha mtandani ni kinyume na maadili, kuonyesha picha za watu vimejaa damu, au wametobolewa ni kinyume na taratibu za uandishi...
  14. JamiiForums Tanzania Kwa Mujibu wa Msigwa, Serikali inaumizwa na CNN kuweka HABARI za Mauaji, ila Serikali Haiumizwi na Mauaji iliyoyafanya Kwa Wananchi

    Mnaendelea kutupa sababu za Maandamano DEC 9 , tutatoka!!
  15. JamiiForums Tanzania Msigwa alisema serikali inachunguza video kisha itatoa ufafanuzi lakini imekuja na malalamiko ya kutangazwa kimataifa tu na sio ufafanuzi wa video

    Msigwa alisema serikali inachunguza video kisha itatoa ufafanuzi lakini imekuja na malalamiko ya kutangazwa kimataifa tu na sio ufafanuzi wa video. Aidha vyombo vya kimataifa vili itafuta serikali kabla ya kuripoti ili kutoa ushirikiano lakini serikali iliingia mitini kwa siku takribani 25 sawa...
  16. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Msigwa: Uhakiki wa video za CNN unaendelea, serikali inatoa wito wa CNN kufuata weledi na maadili ya uandishi

    Kuhusu serikali kufanya uhakiki wa ripoti ya CNN, Msigwa amesema: Uhakiki wa makala unaendelea, lakini hawajafuata weledi na uadilifu kwenye uandishi wa habari. Si kweli CNN ilishindwa kupata upande wa serikali, akisema inashangaza chombo kama CNN kufanya makosa ya kiweledi kama hayo...
  17. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Gerson Msigwa: Serikali ipo tayari kusikiliza wote wenye madukuduku, hakuna sababu ya kuharibu nchi yetu

    Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa akizungumza leo Novemba 23, 2025 na vyombo vya Habari amesema kwamba Serikali ipo tayari kusikiliza wote wenye madukuduku, wenye ushauri na wenye maswali yote yatapokelewa na kufannyiwa kazi hivyo hakuna sababu ya kuharibu nchi yetu
  18. JamiiForums Tanzania Madowo; Serikali ya Tanzania imekaa siku 25 kimya huku ikiwa idadi ya vifo 29 oct havijulikani ndio wanakuja leo kuzungumzia baada ya CNN

    Madowo; Serikali ya Tanzania imekaa siku 25 kimya huku ikiwa idadi ya vifo 29 oct havijulikani ndio wanakuja leo kuzungumzia baada ya CNN. Madowo anapiga kwenye mshono huko kuelekea hotuba ya serikali kuhusiana nankilichotokea oct 29 swali je kwa siku zote hizo 25 serikali ilikuwa haijui...
  19. JamiiForums Tanzania Ndugu zangu waislam bwana yesu asifiwe hawa polisi wauwaji wa halaiki sisi tutawawajibisha kwa mauwaji waliyo yatekeleza hiyo #D9 tupo nao sana.

    Ndugu zangu waislam bwana yesu asifiwe hawa polisi wauwaji wa halaiki sisi tutawawajibisha kwa mauwaji waliyo yatekeleza hiyo #D9 tupo nao sana.
  20. M

    JamiiForums Tanzania Serikali isiyotokana na ridhaa ya wananchi ni hatari kwa Usalama wa Taifa

    Tumeshuhudia yaliyotokea nchini, kilichotokea pale siyo uchaguzi ni uchafuzi. Ni kikundi cha watu wachache kikilindwa na vyombo vya ulinzi kikafanya mapinduzi dhidi ya Jamhuri. kwa kujitwalia madaraka bila ridhaa ya wananchi. Idadi ya walipiga kura ni feki, idadi ya kura zilizotangazwa ni feki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…