serikali

  1. Naamini serikali itakuja kuomba msamaha direct or indirect but najua hili swal linawaumiza

    Najua serikali hili swala linawamiza sana sema ndo hivo nani amfunge paka kengele? Aje hadharani atubu ni ngumu ila kuna mambo watafanya indirect mazuri na wananchi watasahau alafu maisha yatendelea naomba tumpe mama mda alafu tuone najua anaumia ndo mana Mapaka leo bdo hajaja Dar...
  2. TZS 10 million Challenge Kwa Mawakili wa Serikali

    Nimesikitishwa na press release ya Chama Cha Mawakili wa Serikali (TPBA) ya 12 November 2025. Katika hiyo press release, TPBA inadai (pamoja na mambo mengine) kwamba maandamano ya 29 October 2025 hayakuwa halali, kwani yalikiuka zuio la polisi. Hiki ni kisingizio cha kisaliti na kipumbavu sana...
  3. J

    Unyama wa CCM na serikali yake

    Habari zenu ndugu zangu watanzania. Leo naomba tujadili unyama wa serikali ya ccm na washiriki wake. Tanzania ni nchi yenye majabu sana ila October 29, 2025 kuna upumbavu na ujinga ambao umeonekana wazi wazi kwenye macho ya dunia ambao ulikuwa haujawahi kushuhudiwa kwenye nchi yoyote hapa...
  4. Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania haihofii maandamano bali inahofia uharibifu wa Uhai pamoja na mali za Wananchi wake

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania haihofii maandamano bali inahofia uharibifu wa Uhai pamoja na mali za Wananchi wake, uharibifu ambao unafanywa na Wananchi wenye asili ya uhalifu ndani yao Kauli za kwamba Serikali inaogopa maandamano kwasababu itashindwa sio za kweli Bali...
  5. W

    Zungu: Sisi kama Bunge tunapaswa kuangalia maslahi ya wananchi kwanza na sio ya sisi wabunge

    Mgombea Uspika, Musa Azzan Zungu amesema hakuna ugomvi kati ya bunge na serikali au mahakama, isipokuwa lengo ni kufanya kazi kwa maslahi ya wananchi akijibu swali kuhusu Bunge kutetea wananchi. Ameyasema hayo awali leo Bungeni Novemba 11, 2025.
  6. Serikali katili na wananchi vichaa

    Pro-mfumo mbovu .Haya mambo hayawezi ishia mpaka yaishe wakulisave Taifa ndo kwanza hana ata wazo bado hajaamka kabisa. Lazima tukubaliane yaliotokea tra29 na siku zote zilizofuata imetokana na wanachi vichaa kukutana na serikali katili Ukweli ni kwamba pande zote hizi mbili zilificha makucha...
  7. Sio kwa ubaya, watakaotoka tarehe 9 Disemba wengi wao watarudi ganda. Tafadhali mwana JF usishindane na serikali

    Mimi silipwi hata sh. Mia kwa KAZI ya uchawa . Sijulikani na kiongozi yeyote mkubwa. Ni mtumishi wa umma, na ofisi yetu haihusiani na siasa au jamii moja kwa moja. Ukisoma nyuzi zangu huko nyuma nadhani kuanzia Juni mimi nilikuwa mpinzani kabisa ila kitendo cha wapinzani kuwaunga mkono Gwajima...
  8. D

    Kama Ikulu, Polisi na Idara zote za Serikali zinafunga “comments”, basi Umma umeshinda

    Kama kuanzia huyo “Rais” mwenyewe na Ikulu yake wakichapisha chochote mtandaoni wanafunga comments, maana yake Umma umeshinda. Jeshi la Polisi, Idara, viongozi binafsi na taasisi zote ambazo zinalalamikiwa kwa dhulma na maovu pia wanafunga comments, kuanzia Msemaji wa Serikali hadi akina...
  9. Ansbert Ngurumo (Video): Mlipata wapi kura 32,000,000 za Samia?

    https://youtu.be/a3x3e1QFasQ?si=WxGatqMY68D7RZ8v Hili ni swali la Ansbert Gurumo kupitia Youtube Channel yake (SK Media Online TV) Na huyu hapa 👇🏻👇🏻ni mmoja wa watazamaji wake waliotoa maoni yake akijitambulusha kuwa yeye alikuwa msimamizi wa kituo cha kupigia kura huko Shintanga, Manispaa ya...
  10. CCM sikio la Kufa Zungu Hawezi kuendesha bunge la kuisimamia Serikali sahau

    GT Nadhani kwa sasa mnaona wote jinsi serikali ilivyoanza na uhuni bungeni. Zungu ni team msoga genge la wahuni hawezi kuruhusu mjadala wowote wa maana wenye tija kwa taifa. Amewekwa pale kulinda maslahi ya mafisadi hakuna jingine tumwombe tu mungu afanye yake mapema
  11. Serikali imekuja na propaganda ya kuonyesha Mali zilizohalibika Wananchi na Nyie Endeleeni kuonyesha Maiti za Marehemu

    Propaganda ya kuonyesha mali ni nzuri wananchi nao waendelee kuonyesha Maiti za Marehemu tuone vitu vinarudishwa uhai wa watu Je?
  12. C

    Kwa hiyo chama na serikali kwa ukilaza wenu huko ndani mnaambiana mkae kimya watanzania mnawajua watasahau na litapita na maisha yataendelea sio!

    Sawa endeleeni kuamini hivyo na kuaminishana hivyo.
  13. PostGE2025 Makamu wa Rais Nchimbi: Tanzania ipo salama, mazungumzo ya MARIDHIANO kuanza

    Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi amesisitiza kuwa Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imechukua hatua madhubuti za kulinda umoja wa kitaifa na kuhakikisha wananchi wanaishi kwa utawala wa sheria. Kauli hiyo alitoa akiwa mwakilishi wa Rais Samia katika Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi...
  14. Serikali yathibitisha kupatikana kwa mwili wa Joshua aliyeuwawa nchini Israel

    Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imethibitisha taarifa za kupatikana kwa mabaki ya mwili wa Mtanzania Joshua Loitu Mollel (21) aliyeuwawa nchini Israel. Joshua alikuwa miongoni mwa vijana 260 wa Kitanzania waliokwenda Israel kwenye mafunzo ya kilimo cha kisasa kwa...
  15. O

    PostGE2025 Njama za kuficha uhalifu wa Serikali: Imefungua kesi za mchongo za uhaini dhidi ya Wananchi kwa mauaji ilioyapanga.

    Wakuu, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeshiriki moja kwa moja katika mauaji ya halaiki ya Watanganyika zaidi ya 2,000, yaliyotekelezwa kupitia vyombo vya ulinzi na usalama, pamoja na askari wa kukodi (mercenaries) waliotoka Uganda na Zanzibar, katika kipindi cha uchaguzi mkuu...
  16. Hongera sana serikali kwa kuanzisha mkakati wa kuwasaka vinara wa machafuko

    Friends and Our Enemies... La mgambo limeliaaa,La mgambo limeliaa.. Serikali sasa imetangaza msako,dhidi ya wale wezi,walanguzi,wahaini na wanaohujumu miundombinu ya taifaa... Lilikuwa ni suala la muda tuh kabla ya mkono wa sheria kuwafikia hawa vibaka na wahamasishaji wao wa fujo na wizi kwa...
  17. B

    GE2025 Kimeumana kesi ya wahaini: Mahakama yaiamuru Serikali kutaja uraia wa watuhumiwa

    Tokea hotuba za uapisho, tumeambiwa waandamanaji na wahamasishaji hawakuwa Watanzania. Na baadae maafande wa polisi na wasemaji wa serikali na makada wa chama wamekuwa wakiiga na wakurudia maneno hayo. Sasa kimeumania mahakamani. Charge sheet ya Niffer na wapanga uhaini wenzie 147...
  18. Mzee wetu Clemence Mwandambo ana ujumbe kwa vyombo vya serikali

    Huyu mzee ana vitu tunavitaka, yupo zake huko vijijini anawachapa CCM na serikali yake.
  19. Tukiwa wakweli, kuna kosa la uhaini wakati serikali inayodhaniwa kutaka kupinduliwa ilikuwa bado kuchaguliwa wala kuundwa?

    Kosa la uhaini uhusisha nia, kujaribu, hata kutenda kitendo cha kutaka kuiangusha serikali. Sasa najiuliza na kushangaa. Ni serikali gani iliyokuwa 'ipinduliwe' wakati uchaguzi wa kuchagua watakaounda serikali na mihimili yake ndo walikuwa bado kuchaguliwa? Huu ni ujanja au uzwazwa wa watawala...
  20. Ushauri wangu kwa serikali, iache ku-play victim bali iwajibike

    Kimsingi mzizi wa fitna (root cause) ni au umeanzia serikalini. Haiwezekani watu wote hao wakawa wamekosea harafu viongozi ndio mkawa sahihi. Hadi hayo yote yanatokea serikali ilikua wapi? maana ndie viongozi! wanaotegemewa na wananchi. Kutokua muwazi kunaweza kusababisha suluhu isipatikane...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…