Mdudu chawa hupatikana kwa watu wachafu, hakika kwa sasa hali sio shwari kwani chawa watu wamevamia kila sehemu. Chawa watu hawana umri ni yeyote tu anaweza kuwa chawa mtu ili mradi apate anachokitaka.
Wapo wa miaka 80 mpaka 15 ili mradi awe na uwezo wa kupaza sauti. Chawa watu wapo wenye elimu...
Makamu mwenyekiti wa CCM Tanzania bara ndugu Abdulrahaman Kinana amekemea baadhi ya viongozi wa CCM wanaowadhalilisha viongozi na watendaji wa serikali hadharani.
Kinana amesema badala yake wanatakiwa kutumia vikao halali vya chama kufikisha ujumbe wao.
Jiwe hili limerushwa.
Wapo Wazazi wengi hasa kanda ya Ziwa wanatafuta namna ya kuwarejesha Watanzania ndugu zao Nchini.
Taarifa za baadhi ya watanzania waliofanikiwa kurejea Nchini zinasema pasipoti zao zinachukuliwa na waajiri mara tu wanapofika ughaibuni na kutokea hapo wanaanza kutumikishwa.
Wanadai wakiripoti...
Tal Chaimi, mkazi wa Kibbutz Nir Yitzhak, na Joshua Luito Mollel, mkazi wa Kibbutz Nahal Oz , waliuawa wakati wakishikiliwa mateka na Hamas katika Ukanda wa Gaza.
Miili yao yote miwili bado inashikiliwa na Hamas. Chaimi aliaminika kutekwa nyara lakini, ushahidi mpya ulionyesha aliuawa Oktoba 7...
Tangu mwaka 2022 serikali ya Tanzania imekuwa ikijaribu kuwahamisha kwa nguvu Wamasai wapatao 150,000 kutoka wilaya ya Ngorongoro, ikidai kwamba ongezeko lao linawaweka katika ushindani na wanyama pori; huku Wamasai wakidai kwamba kuwahamisha kunalenga kutoa nafasi kwa watalii, wanyama pori, na...
TAARIFA KWA WIZARA YA AFYA, NACTEVET,SERIKALI NA WANANCHI WOTE KUHUSU CHUO CHA ST.ALVIN INSTITUTE OF HEALTH AND ALLIED SCIENCE KILICHOPO MOROGORO MANISPAA.
Nikiwa kama mdau wa elimu napenda kueleza mambo mchache juu ya mwenendo mzima wa chuo cha ST.ALVIN INSTITUTE OF HEALTH AND ALLIED SCIENCE...
Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa, Abdurahman Kinana amekemea tabia ya viongozi na makada wa CCM kuwadhalilisha watendaji wa Serikali kwenye majukwaa ya kisiasa.
Pamoja na kukiri kuwa chama tawala kinaisimamia Serikali na kuishauri, Kinana amesema si vyema viongozi na makada wa chama tawala...
Serikali iruhusu watu waliofanya kazi private kuchukua mafao yao badala ya kusubiri miaka 60 ya kustaafu kwan mikataba ya private ni ya mda mfuli mf. Mwaka mmoja, miwili au mitano.
Mtu aruhusiwe kuchukua hela zake kama ilivokua wakati wa Kikwete. Watu wapewe stahiki zao hata kama mtu...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti imefanya ziara ya ukaguzi wa miundombinu ya Mradi wa Umeme wa Kinyerezi One ambao pia itatumika katika Mradi wa Reli ya Kisasa ya SGR na kueleza kufurahishwa na maendeleo ya mradi huo, leo Jumatano Desemba 13, 2023.
Akizungumza mara baada ya ukaguzi wa Kamati...
MBUNGE WA HANANG, ENG. HAYUMA AILILIA SERIKALI, ATHARI ZA MAFURIKO YA HANANG
Mbunge wa Jimbo la Hanang, mkoani Manyara, Eng. Samwel Hayuma ameingukia serikali akiiomba kuwatazama kwa jicho la pili wafanyabiashara ambao wamepoteza mali zao kutokana na mafuriko ya maporomoko ya tope yaliyotokea...
Wanabodi
Kama kawa kila nipatapo fursa huja na makala zangu elimishi za kwa maslahi ya taifa. Topic ya leo, ni kutoa wito kwa Serikali yetu kuingilia kati kitu kinachoendelea kwenye baadhi ya makanisa ya wakovu yanayojinasibu kufanya miujiza, kutoa mapepo, kutoa uchawi na kufanya miujiza ya...
Tumeongea mara nyingi ssna juu ya wizi wa KAMPUNI hizi za SIMU kwa wateja wao lakini ni km mnapuuza. Ebu fikiria KAMPUNI inakuunga kwenye huduma ambayo haujaomba wala huijui, unatumiwa tu ujumbe kuwa umeungwa na maelezo kibao. Je huu siyo wizi. Kwanini tunahangaika na vibaka tunaacha hawa watu...
Hivi hii ni makusudi au ninini, au kuna mbinu ya kumkomoa Mh Rais kimya kimya baada ya kujua sio mfuatiliaji wa maswala kama hayo?
Hilo ongezeko la kiwango hicho limekuwaje? Yaani sehemu uliyo kuwa unasafiri kwa elfu 10 saihiz ni elfu 15 sehemu uliyo safiri kwa 40,000 sasa hivi ni 55,000, hivi...
Viongozi na wafanyakazi wengi serikalini wana sifa ya kutokuwa wabunifu.
Mara nyingi kama si zote, wana react kwa matukio, na wako nyuma ya ku pre empt matukio.
Agenda ya maendeleo kazi yake ni kuboresha maisha kwa kuyafikiria matukio yanayoweza kutokea baadaye.
Mto Msimbazi ni moja ya...
Huu ni ushamba kwa serikali inayojinasibu kuwa ni ya watu kufichaficha vitu ambavyo havistahili kufichwa! Kwani serikali ingetangaza kuwa Makamu wa Rais Dr. Mpango amesafiri kwenda nje ya nchi kutibiwa, au kupima afya au kusoma ingepungukiwa nini? Badala yake Kigogo amepata ujiko kwa kusambaza...
Msemaji wa Serikali amesema Wananchi wa Hanang katika mji mdogo wa Katesh, na vitongoji vyake, mji mdogo wa Kateshi walisikia kelele ambazo walifananisha kama gari moshi likipita kwa kasi katika mlima wa Hanang ambapo katika usiku huo kulikuwa na mvua ya kawaida na si mvua kubwa sana ya kutisha...
Mamlaka ya udhibiti wa usafiri ardhini(LATRA), imefanya mabadiliko ya nauli kwa mabasi na daradara siku chache zilizopita, huku ikiwa ni miezi kazaa tangu wafanye hivyo, kitendo kinacho onesha ni kuvunja rekodi kwa kubadilisha viwango vya nauli mara mbili ndani ya mwaka mmoja,kitu ambacho...
Habari wana jamvi.
Nina wiki apa Nachingwea mkoa wa Lindi lakini ni kama tunaishi Gizani umeme unakatika kila siku tena kwa masaa 10 na zaidi.
Ila Wenyeji wanasema ni kawaida na wameshazoea.
Mfano jana umeme umekatika saa 9 mchana umerudi leo saa 5 Asubuhi.
Kwetu Kaskazini huu ujinga sijawahi...
Baadhi ya donors wameanza kulalamika kuwa wanachangia pesa lakini hazitumiki vizuri. Zinatumika katika kusafiria na kulipana posho.
Mnakumbuka pesa za kukubali uwepo wa Covid 19 na kupigwa chanjo? Tumezila sisi wakuu... Tumewana kwa namna mbalimbali. Inaumiza lakini unaona wenzako wanapiga...