serikali

  1. JamiiForums Tanzania Kwanini huwa tunaiombea Serikali ifeli wakati huo huo tunataka kuona maendeleo makubwa ya kiuchumi?

    Vitabu vya Dini karibu vyote husema, yabidi mtu ujinenee mazuri na kujitabiria mema kwa maana ulimi huumba Jinsi unavyojinenea, ndivyo unavyopokea Wataanzania wengi hupenda kuona mambo mazuri yakitokea Cha kushangaza, walio wengi huinenea nchi na serikali inayoongoza ishindwe na wakati huo...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Nimeenda Ofisi ya Mkuu wa Mkoa muda wa kazi watumishi wa Ofisi husiku wote hawapo

    Naomba kujuzwa wakuu kuna Ofisi nimeenda Ofisi ya Mkuu wa Mkoa muda wa kazi watumishi wa Ofisi husiku wote hawapo, hii imekaaje? Nimeondoka bila kupata huduma yoyote nimepoteza muda na pesa naomba msaada hawa watu niende nikawatolee wapi malalamiko yangu hawa watumishi wa namna hii? Wanapigiwa...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Nimeshangazwa na Ushuru wa serikali wa kulipia mabango ambayo yapo kwenye biashara yako, mfano juu ya paa la sehemu yako ya biashara!

    Wakuu, Watu kutoka manispaa za Kinondoni na Temeke wamekuwa na hekaheka za kwenda kwenye sehemu za wafanyabiashara, maarufu kama fremu na kupima mabango ambayo yapo kwenye sehemu za biashara, na kudai yalipiwe. Hizo ni sheria za manispaa. Najiuliza sana, kuwa bango lengo lake ni kuelekeza...
  4. K

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Kuna chama hapa nchini kinahaha wakati tunaelekea kwenye Uchaguzi Wa Serikali Za Mitaa!

    Juzi nimepigiwa simu na jirani yangu akiniomba nitaje jina langu liandikwe na CHAMA fulani ili niandikwe kwa watakaowapigia kura CHAMA hicho. Binafsi nilimjibu kuwa mimi ni mtu mzima mwenye akili timamu kamwe sitarubuniwa. Naona hicho CHAMA kinahaha naona wana hali ngumu kipindi hiki.
  5. K

    JamiiForums Tanzania CCM hatupaswi kuonekana na mionekano ya kimaskini na ombaomba

    Serikali ya CCM inawekwa na wananchi baada ya kuridhia CCM iwe chama tawala. Hatupaswi, wanachama wa CCM, kuonekana na mionekano ya kimaskini na ombaomba. Wakili Msomi na Jasiri, Boniface Anyisile Mwabukusi, Rais wa TLS, nakumbuka tarehe 05/10/2024 alisema: "Lazima tuwe na sehemu tunapokutana...
  6. JamiiForums Tanzania Bima za Afya za Mitandao ya simu ni utapeli. Hivi serikali ya Tanzania mbona imelala kiasi hiki?

    Hizi bima ni kampuni binafsi sasa ili kupata namba za Watanzania kirahisi wanajifungamanisha na kampuni za simu kama Tigo au Vodacom. So far sasa wamepewa ruhusa ya kutumia namba 100 ili wasionekane matapeli. Wale wahudumu wanamtumia mwanya wa Watanzania kutokujua mambo muhimu kuwalaghai...
  7. JamiiForums Tanzania Mama Mariam Mwinyi kuja na mkakakti wa kuisaidia serikali kudhibiti maradhi ya kuambukiza kwa wanawake

    MKe wa Rais wa Zanzibar, Msarifu na Mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini ya Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) Mhe. Mama Mariam Mwinyi amesema Zanzibar inaendelea kuchukua juhudi maaluum za kudhibiti maradhi ya kuambukiza yanayowapata kinamama kipindi cha ujauzito. Amesema, juhudi...
  8. JamiiForums Tanzania Mapenzi ya jinsia moja kwa watoto wa kike Zanzibar yashika kasi! Wanaharakati, Wanasiasa, Jamii na Serikali wanena

    Na THABIT MADAI, ZANZIBAR. ‘ZANZIBAR ni njema atakaye na aje’, Msemo huu ni maarufu sana visiwani haapa, na kwamba umetokana na ukarimu wa watu wake tangu asili na asili. Bila ya shaka hakuna asiejua kuwa watu wa Zanzibar walikuwa wakiishi kwa msingi ya kiimani inayopelekea kuishi kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Buluba Mabelele: Kuikosoa Serikali ni muhimu, inasaidia Viongozi kufanya vizuri, Vijana wengi wamekuwa Chawa

    “Kwa sasa CCM hai recruit Vijana wake kama zamani, vijana wameufanya uchawa kuwa kazi rasmi, taifa letu limejaa ubinafsi na unafiki wa hali ya juu sana, kuikosoa Serikali ni muhimu sana kwani inasaidia viongozi wetu kufanya vizuri zaidi” Buluba Mabelele - Mjumbe wa Mkutano Mkuu - CCM TAIFA...
  10. JamiiForums Tanzania Serikali Yasaini Mikataba Ujenzi wa Madaraja 13 Yaliyoathiriwa na Mvua - Lindi, Bilioni 140 Kutumika

    Serikali imesaini mikataba mitano itakayowezesha kuanza ujenzi wa madaraja 13 katika sehemu za barabara zilizoathiriwa na Mvua za El-Nino na Kimbunga Hidaya katika Mkoa wa Lindi ambapo jumla ya Shilingi Bilioni 140 zitatumika katika utekelezaji huo. Akizungumza mara baada ya kushuhudia utiaji...
  11. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hakuna Mbunge anayeleta maendeleo kwenye jimbo lake, maendeleo yanaletwa na Serikali

    Kumekuwa na udanganyifu wa baadhi ya Wahe. Wabunge wakijitapa huku Majimboni kuwa bila yeye maendeleo kwenye Jimbo lake yasingepatikana. Mfano miradi ya Maji, Elimu, Afya n.k. Tuwaambie ukweli kuwa maendeleo yaliyopo kwenye Majimbo yao yameletwa na Serikali kupitia bajeti ya kila mwaka...
  12. JamiiForums Tanzania LGE2024 Wasanii watumike kampeni Uchaguzi Serikali za mitaa

    Fungu litengwe Kwa ajili ya wasanii kutumbuiza mikutano ya kampeni Uchaguzi wa Serikalin za mitaa. Muhimu sana.
  13. JamiiForums Tanzania Serikali yasema imejenga Shule 760 za Kata, kati ya 1000 zilizopangwa kujengwa nchi nzima kupitia SEQUIP

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amezindua Shule mpya ya Sekondari ya Yombo iliyojengwa katika Kata ya Ikuna Wilaya Njombe, Mkoani Njombe Akizungumza Oktoba 03,2024 katika Kata ya Ikuna baada ya kuzindua shule hiyo Prof. Mkenda amesema kuwa Serikali inaendelea kuwekeza...
  14. JamiiForums Tanzania Prof. Adolf Mkenda: Serikali inaendelea kuweka mazingira wezeshi kwa Walimu

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda, Oktoba 05, 2024 katika Siku ya Walimu Duniani ametoa salam za heri ya Siku ya Walimu Duniani akiwa Mkoani Njombe. Katika Salam zake alizotoa akiwa pamoja na baadhi ya Walimu wa Mkoa wa wa Njombe Prof. Mkenda amesema Serikali inatambua...
  15. JamiiForums Tanzania Maandamano ya Kwanza ya Waislam Dhidi ya Serikali ya Tanzania 1993

    https://youtu.be/54VeeqGdKSM?si=NBeY8vML9_8vFrmY
  16. JamiiForums Tanzania Nishati Safi ya Kupikia, Pongezi TotalEnergies Kuongoza Njia, Wengine Wafuate. Rais Samia, Serikali Yako Itie Mkono Kufuta Kodi Zote na Kutoa Ruzuku

    Wanabodi Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Npashe la leo. Kwa wengi wa waliozaliwa mijini, hawaijui adha ya kupika kwa kuni mamilioni ya akina mama, wanawake, mabibi zetu, mashangazi zetu, wake zetu, watoto wetu, wapenzi wetu, au kwa kifupi wanawake wa Tanzania, wanaoteseka kwa kupikia...
  17. JamiiForums Tanzania Wakazi wa Dar es Salaam, ni wakati muafaka kuitokomeza CCM katika uchaguzi wa serikali ya mitaa kutokana na kero ya maji.

    Kutokana na hujuma inayofanywa na DAWASA katika suala zima la kupatikana kwa maji, ni vyema kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa ni vyema kuikataa CCM kusimamia utawala wa mitaa yetu.
  18. JamiiForums Tanzania CCM na Serikali Watanzania Wamewakosea Nini Hadi Kuamua Haya?.

    Ulimnofu. Asalaam alykhum. Bwana Yesu asifiwe. Kule DRC poleni kwa kuwakosa ndg waliofariki maji ziwa Kivu. Nisipoteze muda. Adani Group inaonekana ni kampuni imeundwa maalum si kutoa huduma ipasavyo nje ya nchi zawa kwao huko India. Nje ya India kampuni hilo halina tija na ufanisi kwenye...
  19. JamiiForums Tanzania Makonda anazungumzia Yesu kufa msalabani na damu yake kumtakasa katika mkutano wa Mchengerwa!

    Nimeona clip ya Mkuu wa mkoa wa Arusha akiwa anahutubia katika mkutano wa hadhara uliohudhuriwa na Waziri wa TAMISEMI, Mchengerwa akisema hajali kusemwa vyovyote na wanasiasa wengine kwa sababu pale msalabani Yesu alikufa akamwaga damu yake na akamtakasa, kwamba akisemwa anaitazama damu ya Yesu...
  20. JamiiForums Tanzania Serikali yatumia Sh Milioni 500 kupata Kituo cha Afya Daraja la Kwanza Kijiji cha Ikondo Mkoani Njombe

    Kijiji cha Ikondo kilichopo Kata ya Ikondo kupata huduma za afya za daraja la kwanza baada ya Serikali kutoa milioni 500 kwa ajili ya ujenzi wa majengo ya matatu katika Kituo cha Afya cha Ikondo. Akizungumza Oktoba 04 2024 na Wananchi wa Kata ya Ikondo baada ya kuzindua kituo hicho Prof...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…