serikali

  1. JamiiForums Tanzania CCM: Malori Tani 80 kuingia Mjini, Serikali Itafakari Mazingira ya Barbara za Mji wa Moshi

    Serikali inapaswa kuangazia kwa makini hali ya mji wa Moshi, uliopo mkoani Kilimanjaro, ambao umekuwa ukivunja rekodi nchini Tanzania. Kuitwa mji wa kwanza kuingiza malori yenye uzito wa tani 80 katikati ya mji ni jambo linalohitaji uchambuzi wa kina. Hali hii inatishia si tu usalama wa...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Nini Chimbuko la Matumizi Mabaya ya Madaraka Tanzania?

    Kwa nyakati tofauti kumekuwa na Viongozi walionukuliwa wakisema "Nchi hii imechezewa sana, Nchi iligeuzwa Shamba la Bibi lakini wahusika hawatajwi. Wapo waliowahi kutoa kauli za Vitisho ikiwemo Unanijua Mimi ni Nani?" na wengine waliwahi kutuhumiwa kutumia Mamlaka yao kuvunja Sheria za nchi...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahakama ya Juu yasitisha utekelezaji wa Mkataba wa Usambazaji Umeme kati ya Serikali ya Kenya na kampuni ya Adani Group

    Jaji Bahati Mwamuye alitoa maagizo ya kihafidhina, kusitisha utekelezaji wa makubaliano hayo huku akitaja kuwa mkataba huo umeibua wasiwasi juu ya usiri, ushiriki wa umma, na kufuata katiba Kampuni ya Usambazaji Umeme ya Kenya (KETRACO) ilitia saini mkataba wa Ksh 95.68 bilioni na Adani Energy...
  4. JamiiForums Tanzania LGE2024 Uandikishaji Wapiga Kura Serikali za mitaa: Mtendaji na Mwenyeki watakiwa kuonyesha alipo Mke wa Mtu.

    Imetokea Mara huko ..Baada ya Mume kuona jina la Mke wake katika orodha ya wapiga kura ingali kuwa Mkewe amepotea kijijini hapo zaidi ya miaka mitatu na alitoa taarifa Kwa Serikali ya Kijiji na Mtendaji. Sema kimeumanaaaa. . Pameshaanza kuchangamka mapema hivi ... Asee CCM Sasa wanaiba mpaka...
  5. JamiiForums Tanzania LGE2024 Tafsiri yangu uchaguzi serikali za mitaa: Huo wingi wa watu wanaogombea kuwapigia kura wana CCM ni ishara nzuri kwa 2025. Mtaji huo utunzwe!

    Hii ni ishara tosha kwamba CCM ni maisha yetu, sawa na maji. Watu wako tayari kukesha, hata kuchapana makonde ili waipigie kura CCM. Nadhani makao makuu au ofisi za mikoa na wilaya, zitupie jicho la karibu chaguzi hizi ili anayeshinda au kushidwa, yeye na wafuasi wake wabaki CCM ili 2025 mtu...
  6. J

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Una maoni gani kuhusu zoezi la Uandikishaji wa Daftari la Wapiga Kura wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024?

    Zoezi la Uandikishaji Wapiga Kura wa Serikali za Mitaa 2024 Lakamilika: Je, Wananchi Wanasemaje? Mnamo Oktoba 20, 2024, zoezi la Uandikishaji wa Wapiga Kura kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa limekamilika rasmi Tanzania. Zoezi hili muhimu ni hatua ya kwanza kuelekea uchaguzi...
  7. JamiiForums Tanzania Sijajua Serikali inatumia kipaumbele gani kujenga barabara za lami katika baadhi ya maeneo

    Hii barabara inajengwa Chanika mwisho,Lukooni mtaa wa Chabupu umbali wa mita 300 tu. Barabara hii imepita mbele ya ofisi yangu kabisa inasemekana ni barabara kubwa inayotakiwa kuunganisha Chanika na Buza japo sina uthibitisho kamili. Hakuna mradi wowote wa kiserikali kwa sasa na wala haitumiki...
  8. JamiiForums Tanzania Jifunze nguvu ya Sera ya Serikali inavyopaisha bei ya viwanja na mashamba hapa Tanzania

    Tofauti Kati ya Mji Mdogo (Township Authority) na Mji Kamili (Town Council) Mji mdogo (Township Authority) na mji kamili (Town Council) ni ngazi mbili tofauti za utawala wa miji, zenye mamlaka na majukumu tofauti. Tofauti kati yao inahusiana zaidi na ukubwa wa mji, uwezo wa kifedha, na huduma...
  9. JamiiForums Tanzania MwendoKasi wa Misafara, au Magari ya Serikali

    Hivi waha jamaa Muda wote huwa Wana haraka, na je Muda wote huwa wanawahi Jambo Muhimu. Swali, Je hizi mbio zao wangekua wako serious na maendeleo tungepiga Hatua kubwa sana, Magari ya Serikali yanaongoza kwa kuvunja sheria za Barabarani. Unakuta Msafara uko Kasi sana Akifika Ofisini achukua...
  10. JamiiForums Tanzania Hatuoni tatizo kwa miradi ya Serikali kutokana na mawazo ya wawekezaji wa kigeni?

    Ngoja na mimi leo nibwabwaje. Hili jambo nimeanza kuligundua zamani sana. Unakuta mwekezaji au serikali ya nje inakuja na kusema fanyeni hivi na vile tutawapa pesa za huo mradi. Motive ya hao wawekezaji ni ROI yao kwanza, wanazo pesa zimezagaazagaa wanazunguka dunia nzima kutafuta pa...
  11. JamiiForums Tanzania Serikali, matumizi ya nguvu sana ni ishara ya kupoteza uhalali wa kuongoza

    Katika falisafa ya Uongozi Matumizi ya nguvu sana huwa siyo jambo linalopewq kipaumbele. Mwanafalsafa mmoja aliwahi kufananisha Matumizi ya nguvu na Sabuni. Unajua kadiri unavyoitumia sana sabuni ndivyo inavyoishia na Mwisho kwa sababu unaitumia sana utajikuta imeisha. Ninapoitazama nchi yetu...
  12. JamiiForums Tanzania Dr Slaa:Chadema acheni visingizio hamkujiandaa uchaguzi wa Serikali za Mitaa msiwadanganye Wananchi.

    Kada na kiongozi muandamizi wa zamani wa Chadema, Dk. Wilbroad Slaa, ameshutumu vikali chama hicho kwa kushindwa kujiandaa kikamilifu kwa uchaguzi wa serikali za mitaa, vitongoji, na vijiji. Katika kauli yake isiyo na kificho, Slaa amewapa somo Chadema, akiwataka wafahamu kwamba kwenda...
  13. JamiiForums Tanzania LGE2024 Ester Thomas (ACT Wazalendo): Kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Watiania Msikubali Kutishwa

    Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Bara, Ester Thomas amesema ACT Wazalendo imejipanga vyema kuhakikisha wanachama wake waliotia nia kugombea kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wanapata msaada wa kisheria katika kipindi cha uhitaji. Amesema maneno hayo leo Oktoba 23 Jijini Mwanza...
  14. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali inasema Kipindupindu Simiyu ni ukosefu wa Vyoo lakini kuna sababu kubwa nyuma ya pazia

    Mlipuko wa Ugonjwa wa Kipindupindu katika Mkoa wa Simiyu, umeendelea kushika kasi, eneo la Wilaya ya Meatu ndilo limeathirika na linaendelea kuathirika zaidi. Jimbo la Kisesa katika Wilaya hiyo ndilo hatari zaidi kwa sasa, ukienda katika Kata za Mwandoya, Kisesa, Mbugayabanya, Sakasaka, pia...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM haitaki kabisa kuwekeza kwenye maendeleo ya watu, wanawekeza kwenye vitu, Umasikini ni mtaji wao

    Hii nchi zinaimbwa miradi kuchwa nzima kuanzia Madaraja,mara Barabara mara reli na kadhalika. Ila huko huko kwenye hizo Barabara, Madaraja, reli kuna umasikini wa kutisha kabisa, Kule Kigongo Busisi vuka ingia hapo Sengerema kuna Poverty ya kutisha kabisa, Sogea hapo Geita kwa Msukuma kuna...
  16. JamiiForums Tanzania Serikali yasaini mkataba ujenzi Daraja la Jangwani, Sh Bilioni 97.1 kutumika

    Serikali imesaini mkataba wa ujenzi wa Daraja la Jangwani lenye urefu wa mita 390 na barabara za maungio zenye urefu wa mita 700 katika barabara ya Fire - Ubungo kwa gharama ya Shilingi Bilioni 97.1 ambapo kazi ya ujenzi itatekelezwa kwa miezi 24. Mkataba huo umesainiwa leo Oktoba 22, 2024...
  17. JamiiForums Tanzania Serikali Yasaini Mkataba Ujenzi Daraja la Jangwani, Bilioni 97.1 Kutumika

    SERIKALI YASAINI MKATABA UJENZI DARAJA LA JANGWANI, BILIONI 97.1 KUTUMIKA Serikali imesaini mkataba wa ujenzi wa Daraja la Jangwani lenye urefu wa mita 390 na barabara za maungio zenye urefu wa mita 700 katika barabara ya Fire - Ubungo kwa gharama ya Shilingi Bilioni 97.1 ambapo kazi ya ujenzi...
  18. JamiiForums Tanzania LGE2024 Naunga Mkono Serikali kuongeza majina (Kama kweli hilo limefanyika) kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Ndugu zangu Watanzania, Unajua sio kila jambo ni la kulalamika, serikali zote Duniani zinahitaji uungwaji mkono na kukubalika kwa wananchi wake mbele ya mataifa mengine. Sasa kwa sisi Tanzania tumejijengea kautaribu ka kulalamika kila siku bila kutimiza wajibu wetu kisheria na kikatiba. Leo...
  19. JamiiForums Tanzania LGE2024 Makalla: Rais Samia ameleta hamasa kubwa kwa wananchi kujiandikisha kwa wingi uchaguzi wa Serikali za mitaa

    Imeelezwa kuwa kitendo cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM Taifa Dkt. Samia Suluhu Hassan, na viongozi wengine wa CCM wa ngazi mbalimbali kujitokeza kujiandikisha kwenye daftari la mkazi kimekuwa chachu ya wananchi kushiriki kwa wingi kwenye zoezi hilo...
  20. JamiiForums Tanzania LGE2024 Takwimu za uandikishaji uchaguzi wa serikali za mitaa huenda zimepikwa kupitiliza!

    Serikali leo imetangaza kuwa zaidi ya nusu ya watanzania wamejiandikisha kwenye daftari la wapiga kura kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa wa mwaka 2024. Takwimu zilizotolewa na waziri siku ya leo zimesema zaidi ya watanzania milioni 31 wameandikishwa! Takwimu hizi zinamaanisha, karibu kila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…