serikali

  1. W

    Ridhiwani Kikwete: Serikali Imetoa Mikopo ya Tshs. Billioni 1.2 kwa miradi 57 ya Vijana 2023/2024

    Akizungumza katika Maadhimisho ya Siku ya Vijana Agosti 12, 2024 jijini Dodoma, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Ridhiwani Kikwete alisema kuwa serikali imeratibu na kusimamia miradi ya kimkakati ikiwemo kutengeneza ajira, kupanua masoko na kutoa...
  2. Serikali inaachia pesa lini kwenye miradi yake? hali ni tete mtaani

    wakuu kwema? Hivi utaratibu wa mwaka mpya wa kiserikali ukoje, wanaachia pesa kwenye miradi yao mwezi gani? Mambo hayaendi kabisa mtaani, pesa hazionekani tutafilisika kwa namna hii
  3. L

    Sibishani tena kuhusu ubora wa Yanga Africans, nimekubali yaishe

    Wanacheza vizuri, wana speed, viungo wazuri, mabeki wazuri, mshambuliaji mzuri tena vifaa vingine kama Baleke walikuwa jukwaani, unabishana na nani sasa. Mtu yeyote anayetoa mapovu kuwa Yanga wabovu, wananunua mechi, wanabebwa huyo sio mtu wa mpira. Hii timu yao hata ukichukia vip sio shida...
  4. Namna nchi za AFRIKA zinavyoeleza MAANA ya neno 'SERIKALI'

    Jisomee mwenyewe.
  5. Laiti Serikali ingejua yaliyo moyoni mwa nguli wa Riadha Filbert Bayi wasingemkumbatia. Huyu mwamba ndiye muuaji wa vipaji vya riadha Tanzania

    Hello! Moja kwa moja kwenye mada! Nikiwa O - level nimesoma na mwamba mmoja jamaa alikuwa anakimbia mita 100 kwa sekunde 13-15 tu. Ikumbukwe Bolt alikuwa anakimbilia kwa sekunde 9-10. Huyu wa sekunde 13-15 ni mtoto wa familia maskini, alikuwa mwanafunzi busy na masomo mbio anakimbia kwenye...
  6. L

    Nimeelewa kwanini mashirika ya serikali yanafail na binafsi yanafanikiwa

    Nilikuwa natumia superkasi kwa muda mrefu sasa nikaona nihamie tigo fiber maana kwangu itakuwa cheap na kwa sababu ni fiber latency itakuwa chini hivyo uhakika wa video na voice calls kuwa na kiwango cha juu ni mkubwa kuliko wi-fi. Nililipia internet ya fiber ya tigo just 5 days ago, after a...
  7. Kule Paris Ufaransa ndiko Utalii unako Tangazwa haswa, kuliko ile Royal tour, Serikali iko busy na Yanga na Simba

    Sababu ni kwa nini Kenya inapokea watalii wengi pamoja na kuwa na vivutio vichache ni kwa sababu ya kinacho endelea Paria Ufaransa. Mashindano ya Olyimpic ni moja ya sehemu ya nchi kujitangaza bure kabisa huku Duniani, Ila Tanzania hatuyapi umuhimu kwa sababu hakuna wajinga wa kubeba mabango ya...
  8. S

    Serikali haioni huu utapeli wa wachungaji? Au wao ya kwao mazuri hivyo wananchi watajijua wenyewe?

    Katika haya makanisa ya kilokole unaweza ukacheka sana yale yanayoendelea haswa ifikapo Jumapili. Wale wapambe wa mchungaji wakiliona gari la bei mbaya haraka sana wanawasogeza waumini ili lipite na aliyepo ashuke na aende kukaa katika sehemu maalum. Kwa mchungaji na wasaidizi wake kuliona gari...
  9. Dokezo la Kisera Kuhusu Changamoto ya Usafiri wa Pantoni Kati ya Magogoni na Kigamboni: Serikali ibinafsishe usafiri wa Pantoni

    Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa 1. Usuli “Kama una haraka tangulia lakini ujue nitakukuta feri,” ni msemo uliozoeleka kwa wakazi wa Kigamboni tangu uhuru wa Tanganyika hadi leo. Mtu anasafiri kutoka Kibada hadi Feri kwa dakika 15 lakini anasubiri pantoni kwa dakika 60. Dokezo hili...
  10. A

    KERO Wakazi wa Tinga Tinga (Longido) hatuna Maji miaka mingi. Ajabu Serikali inaleta miradi ambayo haikamiliki, TAKUKURU mko wapi?

    Mimi ni Kijana wa Jamii ya Kimasai kutoka Longido, Kata ya Tinga Tinga, naomba malalamiko haya wa Wananchi yamfikie Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda. Kata yetu inashida ya maji tangu enzi na enzi japo tuko karibu sana na vyanzo vingi vya maji, pia Serikali imekuwa ikileta miradi mbalimbali...
  11. Nimeshaanzisha kampuni yangu, nataka niwe napata tender za serikali nifanyeje?

    Kwa anaejua, ili nianze kupata tender za serikali natakiwa nianzie wapi? Tafadhali sana Karibuni
  12. L

    Watanzania tunajifunza Nini kwa Vijana wa Bangladesh Waliomchagua Muhammad Yunusi Mwenye Umri wa Miaka 84 kuongoza Serikali ya Mpito?

    Ndugu zangu Watanzania, Kule Bangladeshi siku chache zilizopita vijana wa Taifa hilo hususani wanafunzi waliongoza Maandamano makubwa ya kumuondoa Madarakani Sheikh Hasina ,ambaye yeye na serikali yake walikuwa wanatuhumiwa na kushutumiwa kwa masuala mbalimbali ikiwepo kukithiri kwa Vitendo vya...
  13. C

    Serikali imeleta mtaala butu SHULENI Usiotekelezeka nashauri uondolewe mara moja

    Huu mtaala ni mzuri kuuangalia na kuusimulia lakini utekelezeaji wake ni mgumu na hauwezekani katika mazingira yetu Walimu ambao sisi ndo wadau wakuu wa elimu hatukushirikishwa labda tusingekuwa hapa 1. Vitabu mpaka Leo mwaka unaenda KUISHA havipo mashuleni hasa kwa shule za msingi 2. Mtoto...
  14. Agricom yaikabidhi Serikali Trekta 500, Power Tillers 800 na vifaa vingine vya Kilimo

    Kampuni ya Kitanzania ya Agricom imekabidhi vifaa na zana mbalimbali za kisasa za kilimo kwa serikali kupitia Wizara ya Kilimo, wakati wa maonyesho ya Nane Nane yaliyofanyika Dodoma leo. Hafla hiyo imehudhuriwa na Rais wa Tanzania, Mheshimiwa Dokta Samia Suluhu Hassan, ambaye alishuhudia...
  15. Mhimili mpya kusimamia serikali wazaliwa?

    Wengi tumekua tukielewa kuna mihimili 3 tu, BUNGE, SERIKALI, MAHAKAMA. hivi majuzi waandishi wa habari nao walijinasibu kwamba "UANDISHI WA HABARI" ni mhimili muhimu usio rasmi. ila kwa sasa, hakuna ubishi kwamba, kuna mhimili mpya unaoitwa "WANAHARAKATI", ambao unaisimamia serikali na kuikosoa...
  16. Serikali ya Tanzania kufanya tathimini ya urejeaji wa hiari wa Wakimbizi ifikpo Januari 2025

    Serikali imesema katika kuhakikisha kuwa Wakimbizi wa Burundi wanaohifadhiwa hapa nchini wanapata suluhisho la kudumu ifikapo Januari 2025 itafanya zoezi la mahojiano ili kutoa fursa ya kuwasikiliza Wakimbizi hao na kufanya maamuzi sahihi kuhusu hadhi zao kwa kuzingatia sheria za ndani, kikanda...
  17. Tusikubali miradi ya Ujenzi ifungwe, tuisaidie Serikali ila tusikope!

    Wakati Wana CCM wakielekeza akili zao na nguvu zao kushinda chaguzi "kwa kishindo" huku chini Hali sio nzuri kabisa. Na huku Wakandarasi wakimnunulia Rais ndege kwa ajili ya shughuli zake za kisiasa( naweza kurekebishwa hapa) Miradi ya ujenzi wa inasimama, SABABU Wakandarasi hawa hawajalipwa...
  18. Pinda: Maadamu suala la Utekaji linasemwa, liwepo au lisiwepo lazima tuendelee kuwa Wakali hasa upande wa Serikali

    Waziri Mkuu mstaafu, Mizengo Pinda ameeleza anavyosikitishwa na matukio ya utekaji watoto na wengine kuuawa katika mazingira ya utatanishi huku miili yao ikikutwa imenyofolewa baadhi ya viungo kwa imani za kishirikina zinazohusishwa na harakati za uchaguzi Amesema "Wakati naingia Uwaziri Mkuu...
  19. Serikali ina muongozo wa mipango miji wa kitaifa wa muda mrefu?

    Serikali inatakiwa iwe na muongozo mpango miji wa taifa zima wenye ramani wa miaka angalau 25 kuonyesha wapi itajenga barabara za lami, wapi itajenga reli, wapi itajenga mwendokasi, wapi itajenga vituo vya mabasi, wapi itajenga viwanja vya mpira, wapi itajenga stendi n.k Huo muongozo ndio...
  20. Interview za Utumishi na barua kutoka Kwa serikali ya mtaa

    Hello, Naomba msaada Kwa wenye experience na interview, ntakuwa na interview next week, ila nimeambiwa kuwa lazima uwe na kitamburisho Kwa utambuzi. Nida namba ninayo ila sijapata kitamburisho, kadi ya mpiga kura ninayo ila walikosea jina. Badala ya kuandika JACKSON waliandika JACKSONI. hapa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…