serikali

  1. Mohamed Mchengerwa anatangaza uchaguzi wa serikali za mitaa kama nani?

    Kuna mambo yanastaajabisha sana. Huyu ni waziri anayepaswa kusimamia majukumu ya OR-TAMISEMI ambapo Majukumu ya OR-TAMISEMI yanatekelezwa katika ngazi ya Makao Makuu, Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa. Kwa kuzingatia Hati ya Rais ya Mgawanyo wa Majukumu (Presidential Instrument) iliyotolewa...
  2. PreGE2025 LGE2024 Waziri Mchengerwa: Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Bara utafanyika 27 November, 2024

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI leo tarehe 15 Agosti, 2024 ametangaza tarehe ya kufanyika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Bara unaotarajiwa kufanyika mwaka huu 2024 nchi nzima. Ambapo Uchaguzi huo unatarajiwa kufanyika 27 November, 2024 nchi nzima. Naupigaji wa kura utaanza saa mbili...
  3. A

    Serikali ya kata ya Kalobe jijini Mbeya imeshindwa kuwajali wananchi wake wanaotumia uwanja wa Kalobe shule ya msingi kufanya mazoezi

    Mnamo tarehe 14/2/2024 wananchi wa mtaa wa Kalobe wanaotumia uwanja wa Kalobe walipeleka malalamiko kuhusiana na uwanja wao kuaribiwa na watu wanaotumia barabara ya Kalobe kuenda itende kupita uwanjani kwao. Na kuaribu mazingira ya uwanja huo mmoja unaotumiwa na mtaa mzima vijana waliongea na...
  4. Ni kwa kiasi gani Serikali ya CCM chini ya Rais Samia Suluhu imefanikiwa kutokomeza umasikini na kuinua hali bora za maisha ya Watanzani?

    kwa kiasi kibuwa Tanzania imepiga hatu za kimaendeleo chini ya serikika sikivu ya CCM ya awamu ya sita kwa kuinua vipato na hali bora sana za maisha ya waTanzania, kwa kuzingatia uhakika wa hali ya ulinzi na usalama wa mipaka ya nchi, watu na makazi yao, kazi na na biashara zao, Lakini pia...
  5. Mwenge unafaida gani wakati kuna mkaguzi mkuu wa serikali

    Mwenge ulitakiwa kuisha tokea kipindi cha nyerere. Ila naona mwenge ni kumaliza pesa za walala hoi tu. Majukumu ya mwenge ni yamebeba majukumu ya mkaguzi mkuu ambayo ni wajibu wake. Mwenge unafata nini tena unachukuwa machokoraa wa ccm
  6. Abdul ni nani ndani ya serikali ya mama yake

    Kuna mambo naona hata wenye mama tunaona kama ukiwa mtoto wa kiume basi mama hukupa majukumu akifikiri unamuongoza. Tumeona Bangladesh huko waziri wa huko kumbe ni mambo ya mtoto wake mpaka kupinduliwa. Sasa hapa unawezaje kumwambie afande awadhi wewe utakuwa IGP kisa mama yako ni raisi...
  7. Mbowe: Kenya Wananchi ndio waliochukua Hatua siyo Vyama vya Siasa, kutupiga siyo suluhisho

    “Huu uliofanyika ni ukandamizaji ambao sio wa kawaida na wala usionekane ni tukio dogo, sisi kama Chama tunachukua jambo hili kwa uzito mkubwa sana na tunaamini jambo hili ni mkakati wa makusudi uliotengenezwa na Serikali, Vyombo vya vya Ulinzi na Usalama likiwemo Jeshi la Polisi, CHADEMA...
  8. Serikali yafuta maombi 2648 ya utafutaji wa madini kwa kutokidhi vigezo vya Sheria ya Madini

    Maombi 2648 ya utafutaji wa madini yafutwa katika kipindi cha kuanzia mwezi Oktoba 2023 hadi Julai 2024 kutokana na kutokidhi vigezo vilivyowekwa kwa mujibu wa Sheria ya Madini Sura 123. Hayo yamesemwa leo Agosti 14 , 2024 na Waziri wa Madini Anthony Mavunde wakati akiwasilisha taarifa kwa...
  9. Abdul Nondo: Njia inayotumiwa na Serikali kudhibiti migogoro ya Ardhi ni kiini macho

    Mwenyekiti Ngome ya Vijana- ACT Wazalendo, Abdul Nondo amesema "Serikali iwatumie vijana wengi wahitimu ambao ni Surveyors, Town planners. Wapo mtaani hawana kazi Serikali iwape majukumu hawa vijana waipime ardhi nchi nzima bure bila kudai fedha kwa Wananchi. "Serikali itapata faida nyingi...
  10. D

    Ahsante ahsante Rais wetu, ahsante Doroth Gwajima; tunajivunia serikali yetu

    Jana nilitoa taarifa ya ukatili kwa mwanafunzi wa shule ya msingi Kitefu mkoa wa Arusha. Najivunia serikali yangu mmechukua hatua, mbarrikiwe. Ila huyu mwalimu mkuu mumchunguze anatafuta aliyetoa taarifa. Hongera Max, hongera waziri, hongera mh. Rais wetu, haki itendeke
  11. Serikali imeendelea kuongeza Vituo vya Afya Nchini

    Serikali imeendelea kuongeza Vituo vya Afya Nchini. Vituo vya kutolea huduma za Afya 9,693 mwaka 2024. Kwa mwaka 2021 jumla ya vituo vya kutolea huduma za afya vilikuwa 8,547 ambapo Ongezeko 1,146.
  12. S

    Mheshimiwa Sylvester Koka wa Jimbo la Kibaha Aishtaki Serikali Kuhusu Mgogoro wa Mali

    Mheshimiwa Sylvester Koka wa Jimbo la Kibaha Aishtaki Serikali Kuhusu Mgogoro wa Mali Katika hali ya kushangaza, Mheshimiwa Sylvester Koka, Mbunge wa Jimbo la Kibaha chini ya chama tawala cha CCM, amechukuwa (kushtaki) hatua za kisheria dhidi ya serikali, ambayo pia inaongozwa na chama chake...
  13. LGE2024 TAMISEMI: Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa Mwaka 2024 zitaanza tarehe 20 hadi 26, Novemba

    https://www.youtube.com/watch?v=-XzJJFDbKNc ======== Kipenga cha uchaguzi wa Serikali za mitaa wa mwaka 2024, kitapulizwa leo Alhamisi, Agosti 15, 2024 wakati Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohammed Mchengerwa atapotoa tangazo la uchaguzi huo...
  14. Serikali Toeni Elimu Visiwani waache Tabia ya kuzuia watoto wachanga Wasipate VISOGO!

    Kitendo cha kuvibonyeza, kuvikandamiza vichwa vya watoto wachanga ili kuzuia kichogo, bila kutumia wataalamu wa afya, hii inaweza kusababisha hitilafu ya ubongo Kwa Mtoto. Na Kwanza kitabibu hairuhusiwi kufanya kitendo kama hicho. Serikali kupitia wizara ya AFYA, toeni elimu ya kutosha, hasa...
  15. A

    KERO Serikali isikie kilio cha wakulima wa zao la Mahindi wa Nyanda za Juu Kusini

    Naomba Serikali isikie kilio chetu sisi wakulima wa zao la Mahindi Nchini hasa nyanda za juu kusini mikoa ya Rukwa, Njombe, Ruvuma. Bei ya mahindi bado ni ya chini mtaani (350-420)ukiacha bei ambayo Serikali wananunua (700) kwa kilo. Hoja ni kwamba serikali inanunua Tsh. 700 kilo lakini...
  16. Asasi za Kiraia waiomba Serikali kuwawezesha wenye ulemavu Kidijitali

    Asasi za Kiraia nchini kupitia Shirika la The Foundation for Civil Society (FCS), imeiomba Serikali iangazie katika kuhakikisha makundi maalum yanawezeshwa kufikia miundombinu ya kidigitali ili waweze kushiriki katika michakato ya maendeleo na kujiimarisha kiuchumi. Hayo yamesemwa na Meneja...
  17. Kwa Mkoa huu wa Mtwara hapa niwaambieni tu Ukweli Serikali kuwa mnapoteza muda wenu

    Wazazi na walezi wa wanafunzi wilayani Masasi mkoani Mtwara wamelazimika kuweka sahihi za kuingia mikataba ya kuhakikisha vijana wao wanafanya vizuri kwenye mitihani yao. Lengo la mikataba hiyo ni kuwabaini baadhi ya wazazi wanaowarubuni watoto wao kutofanya vizuri, kwa madai ya kushindwa...
  18. W

    Ridhiwani Kikwete: Serikali Imetoa Mikopo ya Tshs. Billioni 1.2 kwa miradi 57 ya Vijana 2023/2024

    Akizungumza katika Maadhimisho ya Siku ya Vijana Agosti 12, 2024 jijini Dodoma, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Ridhiwani Kikwete alisema kuwa serikali imeratibu na kusimamia miradi ya kimkakati ikiwemo kutengeneza ajira, kupanua masoko na kutoa...
  19. Serikali inaachia pesa lini kwenye miradi yake? hali ni tete mtaani

    wakuu kwema? Hivi utaratibu wa mwaka mpya wa kiserikali ukoje, wanaachia pesa kwenye miradi yao mwezi gani? Mambo hayaendi kabisa mtaani, pesa hazionekani tutafilisika kwa namna hii
  20. L

    Sibishani tena kuhusu ubora wa Yanga Africans, nimekubali yaishe

    Wanacheza vizuri, wana speed, viungo wazuri, mabeki wazuri, mshambuliaji mzuri tena vifaa vingine kama Baleke walikuwa jukwaani, unabishana na nani sasa. Mtu yeyote anayetoa mapovu kuwa Yanga wabovu, wananunua mechi, wanabebwa huyo sio mtu wa mpira. Hii timu yao hata ukichukia vip sio shida...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…