serikali za mitaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania Deus Kibamba: Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2019 na Mkuu wa 2020 unaweza kushirikisha wapiga kura wachache kuliko chaguzi zote

    Mwanaharakati huru Deusi Kibamba amesema figisu za uchaguzi zilianzia kwenye kura za maoni za CCM na wale waliopitishwa ndio " hao" wanaolazimishwa kupita bila kupingwa. Kibamba amedai kuwa demokrasia ya Tanzania imegawanywa katika vipande viwili wale wanaoruhusiwa kufanya siasa na wale...
  2. JamiiForums Tanzania Chama cha ACT - Wazalendo chajiondoa kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Hayo yametangazwa na kiongozi wa chama hicho Mh Zitto Kabwe. ACT WAZALENDO CHAIFUATA CHADEMA, CHAJITOA KUSHIRIKI UCHAGUZI. Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ametangaza kuwa chama hicho kimejitoa kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 24, 2019 kwa sababu...
  3. JamiiForums Tanzania Uchaguzi Serikali za Mitaa: Ni huzuni, aibu, fedheha na si afya kwa Chama cha Mapinduzi(CCM)

    Tamko la kimaslahi, mimi ni nwanachama hai wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) hivyo ni takayo yawasilisha hapa ni kwa manufaa ya ustawi wa chama changu CCM na Taifa letu kwa ujumla. Nimefatilia kwa umakini mchakato mzima wa uchaguzi wa viongozi wetu katika ngazi ya Serika za Mitaa. Hakika...
  4. JamiiForums Tanzania Wapinzani watakaoshiriki uchaguzi wa serikali za mitaa ni wasaliti wa watanzania

    Baada ya juzi kuandika uzi wenye kichwa cha habari hapo juu, naona Chadema kwa mara ya kwanza wamefanya uamuzi sahihi sana wa kutoshiriki kuhalalisha uchaguzi haramu uonekane halali, pongezi sana kwao sasa ni zamu ya vyama vingine kutoubaliki uchaguzi huu haramu, Zitto Kabwe na Act Wazalendo...
  5. JamiiForums Tanzania CHADEMA yajiondoa kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Waziri Jafo awashangaa kususia uchaguzi

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe ametangaza chama chake kutoshiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 24, 2019 kwa madai wakishiriki wanahalalisha ubatili Maamuzi hayo yanakuja ikiwa ni baada ya Wabunge wa CHADEMA kukutana leo alasiri Novemba 7, 2019 katika Kikao cha...
  6. JamiiForums Tanzania Wakili Cleophas Mjema: Uchunguzi wangu umeonyesha kuwa mchakato wa kuharibu uchaguzi serikali za mitaa ulikuwa na hatua zifuatazo

    Anaandika Wakili Cleophas Mjema, __________________________________ Uchunguzi wangu umeonyesha kuwa mchakato wa kuharibu uchaguzi serikali za mitaa ulikuwa na hatua zifuatazo: 1. Maafisa wasaidizi wa kata waliagizwa na wakuu wa mikoa na wilaya, kuwashawishi wenyeviti wa vijiji, vitongoji na...
  7. JamiiForums Tanzania Pamoja na kuvurugika kwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, ni kwanini Waziri Jafo hajiuzulu?

    Kila kona unayotembelea ndani ya nchi hii, hakuna habari nyingine unayokutana nayo, bali ni malalamiko ya vyama vya upinzani, kufanyiwa hila katika zoezi la uchaguzi wa serikali za mitaa, kwa kuenguliwa wagombea wake kugombea katika uchaguzi ujao unaotarajiwa kufanyika hapa nchini, tarehe 24...
  8. JamiiForums Tanzania Vyama vya Upinzani vitakavyoshiriki huu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ni wasaliti wa watanzania

    Chama chochote cha upinzani kitakachoshiriki huu uhuni unaoitwa uchaguzi wa serikali za mitaa ni wasaliti wa watanzania. Kwanini nasema hivyo, matukio yote yaliyoripotiwa nchi nzima yameonyesha ukiukaji mkubwa wa sheria, kanuni na taratibu mbalimbali za uchaguzi ambazo hazijawahi tokea toka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…