serikali za mitaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mindyou

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mwalimu ambaye ni Kiongozi na Kada wa CCM aandikisha wapiga kura Sengerema

    Aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema kupitia ukurasa wake wa X ameonesha namna ambavyo kumeanza kutokea udhaifu na ubabaifu kwenye mchakato wa kuandikisha wapiga kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa. Hii ni Kata ya Nyamizeze Sengerema Mwalimu ambaye ni Kiongozi na Kada wa CCM...
  2. Suley2019

    JamiiForums Tanzania LGE2024 RC Njombe awaongoza Wananchi kujiandikisha Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Anthony Mtaka ni miongoni mwa wakazi wa Mtaa wa Lunyanywi, Halmashauri ya Mji Njombe waliojitokeza kujiandikisha kwenye Daftari la Mpiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27, 2024. Zoezi la kujiandikisha linazinduliwa leo Oktoba 11...
  3. Suley2019

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Waziri Ndejembi ajiandikisha Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Dodoma

    WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi na Mbunge wa Jimbo la Chamwino mkoani Dodoma, Mhe. Deogratius Ndejembi amejiandikisha kwenye Daftari la Mpiga Kura kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa, katika kitongoji cha Mpela Wilaya Chamwino, Dodoma leo. Zoezi hilo limeanza leo nchi...
  4. Suley2019

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Naibu Waziri Mkuu Dotto Biteko ajitokeza kujiandikisha kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Geita

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Dotto Biteko ameshajiandikisha kwenye Daftari la Wapigakura wa Serikali za Mitaa kwenye katika kitongoji cha Bulangwa wilayani Bukombe mkoani Geita leo tarehe 11.10.2024.
  5. K

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Leo nimetumia haki yangu kujiandikisha kwenye uchaguzi wa Serikali Za Mitaa

    Leo ndiyo siku ya kwanza kwa wananchi kujiandikisha kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Wananchi wanajitokeza kwa wingi lakini kwenye kituo nimewaona wakala wa vyama viwili tu yaani CCM na CHADEMA. Je Vyama vingine viko wapi?. Mfano ACT-Wazalendo, Chauma, TLP, NCCR sijawaona wakala...
  6. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania LGE2024 CHADEMA Nyasa: Watendaji wa Mitaa na Kata wanasimamia na kuandaa orodha ya wapiga kura kinyume na Kanuni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Katibu wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, amesema kuwa "Kanuni zote za uchaguzi wa Serikali za Mitaa, vijiji na Vitongoji zimeweka wazi kuwa:- 'Watendaji wa Mitaa na Kata hawatateuliwa Wala hawataruhusiwa kuandikisha au kuandaa orodha ya wapiga kura' Lakini mambo ni tofauti kwenye vituo."
  7. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Kuwa na Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambao hauwahusu Madiwani ambao ndio wawakilishi wa Mamlaka za Mitaa maana yake nini?

    Mimi nashangaa sana yaani inakuaje Mamlaka za Serikali za Mitaa ambazo zinaanzia Ngazi ya Halmashauri na kuongozwa na Baraza la Madiwani hazihusiki na Uchaguzi wa Serikali za Mitaa? Hawa Wajumbe sijui wenye viti hawana nafasi yeyote ya kupanga mipango ya Halmashauri zikiwemo sheria ndogo...
  8. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Makonda: Kesho kama huna gari aina ya Land Rover, baki tu nyumbani!

    Wakuu, Mkuu wa mkoa wa Arusha, Paul Makonda amesema kuwa siku ya kesho ambayo kutakuwa na tukio kubwa la Land Rover Festival ambalo linafanyika huko jijini Arusha kama huna gari aina ya Land Rover paki tu gari lako nyumbani. Makonda amesema kuwa kwa kuwa kesho kutakuwa na msafara wa gari...
  9. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Uandikishaji huu wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa hauna tija, ni kupoteza wakati

    Leo mchana nimekwenda kujiandikisha kuhusiana na uchaguzi ujao wa serikali za mitaa, kuna jambo moja fikirishi ni, nini nia na madhumuni ya kuandikisha. Nimeandikwa jina langu, umri na nikaweka sahihi. Nilichoandikwa ni jina na umri tu! majina yetu hujirudia rudia, hapa sijui ni mkazi wa mtaa...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Dodoma: Wapiga Kura wakiwa na Vipeperushi vya mwenyekiti wa CCM Wakati wa Kujiandikisha

    Zoezi la kujiandikisha katika Daftari la Mpiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27 mwaka huu limeanza leo Oktoba 11, 2024 nchini nzima na litaendelea hadi Oktoba 20, 2024. Rais Samia na yeye ametimiza haki yake ya Kikatiba, hapa akiwa kwenye foleni na wakazi...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Dodoma: Rais Samia ashiriki zoezi la Uandikishaji kwenye Daftari la Wapiga Kura kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Leo Oktoba 11, 2024, Rais Dkt. Samia anaongoza watanzania katika zoezi la kujiandikisha katika daftari hili ili kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024. https://www.youtube.com/live/oreFWNwWmTY?si=mpNgbVFGvb8Q81HQ Rais Samia Suluhu Hassan akiwa...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Tofauti ya Daftari la Kudumu la Wapigakura na Daftari la Wapigakura wa Serikali za Mitaa

    Kwa ufahamu tu: Tofauti kati ya Daftari la Kudumu la Wapigakura na Daftari la Wapigakura wa Serikali za Mitaa Daftari la Kudumu linasimamiwa na Tume Huru ya Uchaguzi kwa ajili ya Kumchagua Diwani, Mbunge na Rais kwenye Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025. Daftari la Wapigakura wa Serikali za Mitaa...
  13. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania CCM Ndiyo Agenda Kuu ya Taifa ya Wananchi Kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na vijiji Tanzania, Novemba 27, 2024

    Ndicho chama pekee kinachozungumzwa sana na waTanzania kila kona na pembe ya Tanzania. Na ndiyo turufu ya umoja, amani na utulivu wa wanainchi Tanzania. Dhamira yake njema, mipango mikakati madhubuti ya uhakika, na malengo yake ya maendeleo endelevu, ndicho hasa kinachowavutia wananchi na...
  14. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania LGE2024 ACT Wazalendo: Tumebaini mapungufu makubwa yanayoathiri ufanisi, uhuru na kutendeka haki katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    MAPUNGUFU MAKUBWA UANDIKISHAJI WAPIGAKURA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA Chama cha ACT Wazalendo kinafuatilia kwa karibu mwenendo wa mchakato unaoendelea wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa kulingana na ratiba iliyotolewa na Waziri mwenye dhamana ya TAMISEMI. Tangu kuanza kwa mchakato wa uchaguzi...
  15. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania LGE2024 CCM Arusha: Mgombea Serikali za Mitaa lazima awe na kazi ya kufanya inayomuingizia kipato halali la sivyo ataufanya Uenyekiti ndio kazi

    Wakuu, mambo yanazidi kunoga, kwani hawa ambao tunaenda na wanatudai hizi hela za 'copy' si ni wenyewe hawa hawa CCM? Au anaongelea watu gani? Maana wao ndio walipita kwa 99% bila kupingwa! === "Mgombea ni lazima awe na kazi ya kufanya inayomuingizia kipato halali kinachomuwezesha kuishi na...
  16. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Anne Makinda: Wanawake jiandikisheni na mgombee uongozi uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    SPIKA mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Anne Makinda,amewataka wanawake katika uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu wajiandikishe,wagombee nafasi za uongozi na kwenda kupiga wasipofanya hivyo itakuwa imekula kwao kwani ushindi ni hesabu. Makinda ambaye pia ni Kamisaa...
  17. K

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Kuna chama hapa nchini kinahaha wakati tunaelekea kwenye Uchaguzi Wa Serikali Za Mitaa!

    Juzi nimepigiwa simu na jirani yangu akiniomba nitaje jina langu liandikwe na CHAMA fulani ili niandikwe kwa watakaowapigia kura CHAMA hicho. Binafsi nilimjibu kuwa mimi ni mtu mzima mwenye akili timamu kamwe sitarubuniwa. Naona hicho CHAMA kinahaha naona wana hali ngumu kipindi hiki.
  18. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Rais Samia Kuzindua Rasmi Zoezi la Kuandikisha Wapiga Kura wa Serikali za Mitaa Oktoba 11, 2024

    RAIS SAMIA KUZINDUA RASMI ZOEZI LA KUANDIKISHA WAPIGA KURA WA SERIKALI ZA MITAA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan atazindua rasmi Zoezi la Kuandikisha Wapiga Kura wa Serikali za Mitaa mnamo tarehe 11.10.2024 Kijiji cha Chamwino mkoani Dodoma. Taarifa hiyo...
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania LGE2024 CHADEMA ikikomaa itashinda Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Hata kwa Usimamizi huu huu mbovu (Japo siufagilii), Chadema inaweza kuibuka na ushindi wa kishindo ikiwa Wananchi wataamua kukataa dhuluma. Wakati wa Kikwete ambaye alikuwa Rais, Amiri Jeshi na Mwenyekiti wa CCM kama hawa waliopo leo. Chadema ilishinda kwa kishindo kwenye maeneo mengi...
  20. and 998 others

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Wasanii watumike kampeni Uchaguzi Serikali za mitaa

    Fungu litengwe Kwa ajili ya wasanii kutumbuiza mikutano ya kampeni Uchaguzi wa Serikalin za mitaa. Muhimu sana.
Back
Top Bottom