serikali za mitaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Matukio Yaliyojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mkoa wa Iringa

    Iringa ni mkoa uliopo Nyanda za Juu Kusini mwa Tanzania, kati ya latitudo 6.540 na 100, na longitudo 33 na 37° Mashariki. Mkoa huu unachukua eneo la kilomita za mraba 58,936. Iringa ni mji wenye mandhari mazuri, uliopo katikati ya sekta ya chai nchini Tanzania. Umejengwa kwenye mteremko wa...
  2. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Zitto ahwahimiza wakazi wa Mvomero kufanya mabadiliko kwa kuichagua ACT Wazalendo uchaguzi wa serikali za mitaa

    Kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe akizungumza kwenye mkutano wa hadhara wa chama hicho huko Mvomero, mkoani Morogoro amewataka kikiunga mkono chama hicho katika chaguzi zijazo ikiwemo uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba mwaka huu.
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Matukio Yaliyojiri Kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mkoa wa Singida 2024

    Mkoa wa Singida upo kanda ya kati, ukipakana na mikoa ya Manyara upande wa kaskazini, Dodoma mashariki, Iringa na Mbeya kusini, Tabora upande wa magharibi na Shinyanga. Mkoa wa Singida una ukubwa wa takriban kilomita za mraba 43000. Singida Kuna wilaya saba nazo ni Iramba, Manyoni, Singida...
  4. Son of Israel from Africa

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kama wewe ni mtendaji kata na ni mfuasi wa CHADEMA hutopewa kusimamia uchaguzi wa serikali za mitaa

    Ndugu wanajamvi! Pokeeni salamu zangu Juzi nilikuwa mkoa wa.mwanza tena center kwenye kijiwe flani. Nikawa namsikia mtendaji mmoja anaongea na mtendaji mwenzake Kwamba wamepewa barua za usimamizi wa uchaguzi wa Serikali za mtaa. Mwenzake akasema yeye hajateuliwa kisimamia uchaguazi...
  5. Suley2019

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwanini wanawake huwa hawaoneshi nia ya kugombea nafasi za uongozi wa Serikali za mitaa?

    Katika kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka huu wa 2024, kumekuwa na hali ya muamko mdogo miongoni mwa wanawake kuonesha nia ya kugombea nafasi mbalimbali za uongozi. Hii inatokana na dhana potofu kuwa uongozi wa serikali za mitaa ni kwa wanaume pekee. Ni muhimu kufahamu kuwa nafasi...
  6. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Ruvuma: Rais Samia asema wananchi wasifanye makosa Uchaguzi Serikali za Mitaa, rangi za kuchagua ni Njano na Kijani

    Wakuu, Kama Rais mwenyewe afanya kampenzi za uchaguzi wakati ambao sio stahiki, unategemea wanachama wenzake huko chini watafanya mambo tofauti? ==== Kafanyeni kweli kwenye serikali za mitaa. Zitakuja rangi nyingi kuwashawishi mpige kura lakini rangi yetu tunayoijua ni kijani na njano...
  7. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni kwa kiwango gani maandamano ya CHADEMA yataathiri matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa kwa wagombea wa chama hicho?

    November 27.2024, patafanyika uchaguzi wa kihistoria nchini, kwa ngazi za serikali za mtaa na vijiji nchi nzima. Vyama vya siasa vilivyo jizatiti kushiriki kikamilifu katika uchaguzi huo muhimu sana, vinaendelea na maandalizi ya kujipanga na kujiandaa vizuri ndani ya vyama vyao. Unadhani kwa...
  8. econonist

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Ushauri kwa CHADEMA: Susieni uchaguzi wa serikali za mitaa

    Kutokana na Hali iliyojitokeza jana , nashauri ya kwamba CHADEMA watangaze kususia uchaguzi Mkuu ujao na uchaguzi wa Serikali za mitaa. Hii ni kutokana kwamba Serikali kupitia polisi imeshaonesha biasness na kwamba uhalifu wowote dhidi ya CHADEMA polisi hawatashughulika nao. Itakuwa ni aibu kwa...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Matukio Yaliyojiri Kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mkoa wa Rukwa

    Mkoa wa Rukwa ulianzishwa mwaka 1974 baada ya kugawanywa kutoka mikoa ya Tabora (Mpanda) na Mbeya (Sumbawanga). Mwezi Julai 2010, Serikali ya Awamu ya Nne iligawa Mkoa wa Rukwa na kuanzisha Mkoa mpya wa Katavi. Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022 yanaonesha kuwa idadi ya watu...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania LGE2024 SHINYANGA: Matukio yaliyojiri Kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, 2024

    WanaJF, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Shinyanga. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kushiriki na wengine Mkoa wa Shinyanga uko Kanda ya Ziwa katika Tanzania na ni maarufu kwa...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania LGE2024 GEITA: Matukio yaliyojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, 2024

    WanaJF, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Geita. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kushiriki na wengine Mkoa wa Geita uko kanda ya ziwa, Kaskazini Magharibi mwa Tanzania, na...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania LGE2024 MWANZA: Matukio yaliyojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, 2024

    WanaJF, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Mwanza. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kushiriki na wengine Mkoa wa Mwanza ni moja ya mikoa muhimu nchini Tanzania, ukiwa katikati ya...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania LGE2024 KAGERA: Matukio yaliyojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, 2024

    WanaJF, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Kagera. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kushiriki na wengine Mkoa wa Kagera uko Kaskazini Magharibi mwa Tanzania, ukipakana na nchi za...
  14. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Umoja wa Vyama vya Siasa wapinga maandamano ya CHADEMA. Wanataka kutuharibia uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Vyama 13 vya siasa nchini vimejitokeza mbele ya wanahabari leo, Jumanne Septemba 13.2024 kwa ajili ya kupinga maandamano yaliyoandaliwa na CHADEMA yanayotarajiwa kufanyika Septemba 23 mwaka huuKatibu Mkuu wa DP Abdul Mluya ndiye Mwenyekiti wa umoja wa vyama hivyo Pia soma Umoja wa Vyama vya...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Sifa za Kiongozi Bora: Zitakusaidia katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu

    Sifa za Kiongozi Bora: Zitakusaidia Katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu ___________________ 1. Kiongozi bora ni mjuzi, siyo mjuaji. Mjuzi ni muelewa. Mjuaji ni mbabaishaji! Chenga! 2. Anaishi kwa maono na siyo maneno! Maono ni kuona kesho ukiwa leo! Maneno na hali ya...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Matukio Yaliyojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma 2024

    Mkoa wa Dodoma unapatikana katikati ya Tanzania, unapakana na mikoa ya Manyara, Morogoro, Iringa na Singida. Mkoa wa Dodoma una ukubwa wa takriban kilomita za mraba 41,310. Dodoma ni mji mkuu wa Tanzania na pia ni makao makuu ya serikali, ambapo bunge na ofisi nyingi za kitaifa zipo. Idadi ya...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Matukio Yaliyojiri Kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mkoa wa Tabora 2024

    Mkoa wa Tabora unapatikana katikati ya Tanzania, unapakana na mikoa ya Shinyanga, Singida, Kigoma, Katavi, na Mbeya. Mkoa wa Tabora una ukubwa wa takriban kilomita za mraba 76,151, na ni miongoni mwa mikoa mikubwa zaidi nchini Tanzania. SOMA PIA Special Thread: Orodha ya Nyuzi za Mikoa yote...
  18. Matulanya Mputa

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tutegemee kuhama kwa wanasiasa baada ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa na pia atakayeongoza huo ndiye mshindi 2025

    Uchaguzi wa serikali za mitaa ni turufu kwa vyama vya siasa vyama hivyo ni CCM, CHADEMA, ACT-WAZALENDO hivi ndiyo vyama leo vinazungumzwa ata vijiweni. Japo nchi yetu kutokuwa na chaguzi za huru na haki kama ikitokea uchaguzi unakuwa wa huru na haki kwa 80 % basi tutakuwa tumepata uelekeo wa...
  19. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mnyika: Mzee Kibao alitekwa na Kuuawa akiwa ametoka kuendesha Mafunzo ya Maandalizi ya Uchaguzi Serikali za Mitaa. Tutaendeleza Majukumu aliyoyaacha!

    Katibu Mkuu wa Chadema mh Mnyika amesema Mjumbe wa sekretarieti ya Chadema hayati Ally Mohamed Kibao alitekwa na Kuuawa akiwa ametoka kuendesha Mafunzo ya Maandalizi ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mnyika amesema wakati wanafuatilia Kwa karibu Wahusika wa Unyama huu ni Lazima waendelee na...
  20. Suley2019

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mahakama yatoa kibali Wadau wafungue Kesi kupinga Ofisi ya Rais-TAMISEMI kutosimamia uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Mahakama Kuu ya Tanzania leo September 09,2024 imesema kuwa waleta maombi kwenye shauri ambalo walikuwa wanaomba idhini ya Mahakama wana haki ya kufungua kesi kuhoji uhalali wa Sheria ndogo zilizotungwa kwa lengo la uratibu na uendeshaji wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa mwaka 2024 kupitia...
Back
Top Bottom