Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Sheria Ndogo, Cecilia Daniel Paresso amesisitiza ushirikishwaji wa wananchi wakati wa utungaji na uhuishaji wa Sheria Ndogo za Mamlaka za Serikali za Mitaa, ili kuwajengea wananchi uelewa wa sheria hizo ambao utawezesha utekelezaji wake katika Mamlaka...
Waziri wa mambo ya ndani kwa kushirikiana Viongozi wetu wa serikali za mitaa Tunaomba mturudishie jeshi la sungusungu ili kuimarisha ulinzi na amani kwenye maeneo yetu.
Sisi wananchi tupo tayari kuwachangia posho kwasababu kazi zao tunazikimbuka vile zilikuwa na tija kwa ustawi wa serikali zetu...
Hii ni link ya audio video ya GeZ wakijadiliana namna ya kulianzisha tena pengine kabla hata 25/12 na kuendelea....
https://youtu.be/oLG8oqkpG5c?si=8NzhnwgIimcza0Es
Kinachopangwa na kujadiliwa ni maandamano ya kuanzia 25/12.
Lakini kilichonishitua zaidi mimi si maandamano yenyewe.....
Ni kile...
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, ametoa wito kwa Wenyeviti wa Serikali za Mitaa, Watendaji wa kata na polisi kata wilayani humo kuhakikisha vijana, hususan wale wanaojishughulisha na ubodaboda, umachinga na saluni; wanalelewa na kuratibiwa ipasavyo ili kuepusha uwezekano wa kutumiwa...
Hamjambo!
1. Bado tunaendelea kupeana Pole katika kipindi hiki kigumu.
2. Kuna makosa kadhaa yalijitokeza ambayo yametufanya tujikute katika hali tuliyomo.
3. Kosa mojawapo ni Utoaji na upatikanaji wa taarifa za makatazo na amri za serikali kama amri ya kutotoka nje muda fulani au kutofika...
Uthibitishaji wa taarifa ni msingi unaowawezesha wananchi kufanya maamuzi sahihi kutokana na Taarifa sahihi mathalani kipindi cha uchaguzi, hili linafanikishwa kwa mapambano dhidi ya taarifa potoshi pamoja na kuwajengea uelewa wananchi jinsi ya kutambua na kudhibiti taarifa zisizo za kweli...
Yaani hawa maafisa wa haashauri ambao wote kwa mujibu wa kanuni za utumishi wa umma wanatakiwa kuwa watiifu kwa serikali iliyopo madarakani. Uchaguzi hauwezi kuwa huru na wa haki
Tunahitaji katiba mpya ambayo kutakuwa na watu huru kabisa. Sio hawa walioteuliwa na INEC wakati kanuni za utumishi...
Utafiti uliofanyika dhidi ya mchakato wa uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka 2024 unabainisha mila na desturi za kijamii na kijinsia zilivyoathiri ushiriki wa vijana na wanawake katika uchaguzi.
Katika kipindi chote cha uchaguzi, vijana na wanawake waliokuwa sehemu ya utafiti walibaini na kutoa...
Hotuba ya Rais Samia, jana usiku, pamoja na mambo mengine, aliongelea kuhusu uchaguzi mkuu wa 2025, akisema kuwa Serikali yake itahakikisha uchaguzi mkuu wa 2025 utakuwa wa amani, huru na wa haki. Maneno haya pia Rais Samia aliyatamka mwaka 2024 wakati akiwahamasisha wananchi kujitokeza kwenye...
"Mwaka 2024/25 Ofisi ya Rais TAMISEMI iliidhinishiwa shilingi bilioni 254.82 kwa ajili ya kuratibu na kusimamia uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwaka 2024. Kati ya fedha hizo, shilingi bilioni 247.03 ni fedha kutoka serikali kuu na shilingi bilioni 7.78 ni fedha za mapato ya ndani ya...
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Dkt. Dorothy Gwajima amesema serikali za mitaa ni kitovu cha utekelezaji wa mikakati ya ulinzi na usalama wa mtoto iwapo jamii itatoa taarifa kwa wakati kuhusu changamoto za kifamilia ambazo ni tishio kwa ustawi wa watoto Ili wataalamu wa ustawi wa jamii kwenye...
Anaandika Baba Askofu Rev.Dr.Benson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe.
____
1. Nyerere alisema taifa hili bila CCM imara, litayumba. Sina hakika kama bado halijayumba.
2. Ili CCM iwe imara inahitaji upinzani imara. Hatuna utamaduni imara wa kukosoana ndani ya chama kimoja na...
Kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), imeielekeza Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) kufanya ukaguzi maalum katika mradi wa ujenzi wa kituo cha afya cha Farkwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Chemba mkoani Dodoma.
Maelekezo hayo yametolewa na...
Habari wanajf,
Hivi inawezekana mtu aliyegombea nafasi ya mwenyekiti wa kitongoji katika uchaguzi wa serikali za mitaa na akapata anaweza kugombea udiwani katika uchaguzi mkuu mwaka huo huo?
Karibu mabalozi mia sita wa Chama cha Mapinduzi CCM katika manispaa ya kigoma Ujiji wametembelea miradi mikubwa inayotekelezwa na serikali ya awamu ya sita katika mji wa Kigoma ili kujionea maendeleo ya miradi hiyo.
Katibu wa Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Kigoma Cde. Christopher Palangyo...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za mitaa (LAAC) tayari imefanya ziara yake mkoani Iringa kuanzia 16 march na kutamatika 18 march 2025 ikikagua miradi yenye hoja za kikaguzi katika Halmshauri tatu za mkoa wa iringa ikiwemo, Halamashauri ya Manispaa ya Iringa, Kilolo Dc na Mufindi...
Baadhi ya wakazi wa kata ya Buhalahala katika halmashauri ya manispaa ya Geita wamewaomba viongozi wa serikali za mitaa katika maeneo yao kuwasilisha asilimia 10 ofisini zinazotokana na wananchi kutoa baada ya kuuza maeneo yao.
Hayo yamebainishwa leo Marchi 19, 2025 na baadhi ya wakazi wa mtaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.