Ndio tulipofika
Sijaona serikali ikiongoelea lolote kuhusu ajali iliyotokea jana usiku na kuondoka na watu takribani 30. Zaid ya mkuu wa mkoa kudhuru eneo la tukio jana usiku baada ya ajali, hata pole kwa ndugu na familia.
Je ni kwamba serikali hii inaogopa kutangaza majango kuepuka aibu ya...
Hivi ni kweli Samia anaagiza kuku na mayai ya kula Marekani Tena na fly Emirates?
Hiki ni Nini wakuu ?? Yaani Tanzania hakuna kuku mayai mpaka yatoke Marekani?
Soma Pia: Heche: Serikali ya Samia Iliagiza Mayai, Nyama na Vipapatio vya Kuku kutoka Marekani kwa Dola Milioni 24.8
Ikulu njooni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.