serikali ya ccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Huyu Mwamposa huwa anaachwa na Serikali ya CCM kwakuwa ni ‘chawa’ wao? Hadi Mahakama ipo kimya?

    Mtu anapata uthubutu wa kudai anaweza kukuombea hadi ukafutiwa kesi, tunaona ni sawa na mabango yanawekwa barabarani? Taifa letu ni kama halina uongozi. Wote Serikalini mnaona ni sawa hii? Tuweke matangazo similar to this mtaruhusu????
  2. JamiiForums Tanzania Maduhu: Vijana ACT jiulizeni Serikali ya CCM ina nia ya dhati ya kufanya maridhiano?

    Wakili William Maduhu akizungumza leo tarehe 12 Agosti 2026 wakati Ngome ya Vijana ya ACT Wazalendo chini ya Mwenyekiti wake Abdul Nondo inapoadhimisha Siku ya Vijana Duniani kwa kufanya Kongamano katika Ukumbi wa Mrina, Dar es Salaam.
  3. JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM ilikuwa na mpango wowote wa kujenga refinery ya mafuta?

    Kabla ya Dangote kusema anataka kujenga refinery Africa Mashariki serikali ya CCM katika kile ambacho huita ilani ilikuwa ina mpango wowote wa kujenga refinery au Dangote ndio aliwaamsha wakaona uhitaji wa refinery? Au pia ni kwa sababu jirani ana mpango wa refinery na sisi lazima tujenge...
  4. JamiiForums Tanzania Siku CHADEMA wakisema wakae kimya kabisa utashangaa Serikali ya CCM wakilalamika mbona wamekaa kimya

    Kwa lugha nyepesi tu ni kwamba CCM hawezi kuongea lolote bila kuitaja Chadema. Mfano tumeona kuhusu maridhiano mpaka sasa wanaumia kwa nini Chadema haijakubali.
  5. JamiiForums Tanzania Mabenki na mitandao pesa washapewa tishio na serikali ya CCM kama watapokea pesa ya michango ya CHADEMA.

    Habari zilizopo ndani.Baada ya kila wanacho jaribu kuleta na kufanya CCM sasa wanaenda kuwatishia Benki na mitandao ya simu kuhusu account za Chadema zifungwe na kutopokea pesa. Na utashangaa waziri anasema wamepeleleza wamegundua pesa zimetoka nchi za ambao wanataka kuharibu amani ya nchi...
  6. JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM imeona TBC imekosa watazamaji, wakaikumbatia ITV

    Hii nchi ni mungu na shetani mpaka sasa wanatujadili kama walitukosea kutuchezesha kama walivyo kwenye majukumu yao. Yani kwa sasa serikali ya CCM wamejikita na ITV ndio wanaona pazuri pakuweka propaganda zao na mambo yao. Kwa nini wajikite na ITV Sio TBC
  7. JamiiForums Tanzania Kupitia Sheikh Mwaipopo na Kikundi chake , US na EU kuitambua Serikali ya CCM kua yenye kufadhili Makundi ya Kigaidi na uisilam misimamo Mkali !!

    Mimi kwakweli sielewi , Ni akili za Mwigulu, ni za Katambi ñi za Abdul??. Hivi hamuoni hatari mnayoileta kwenye Usalama wa NCHI??. Mwigulu huna akili hata kidogo kweli?? Hamjui mnachokitengeneza sasa ni Kuhalalisha Adui wa Samia waliopo ndani ya CCM kuandaa Vijana ili mradi tu Mauaji...
  8. JamiiForums Tanzania Franceo: Zuio la Mikutano ya Kisiasa, Serikali inawasaidia CHADEMA kutoka kwenye mtego wa kuhamasisha Maandamano

    Mchambuzi wa Masuala ya Diplomasia na Utatuzi wa migogoro @fran_ceo anaeleza kuwa zuio la Mikutano ya Kisiasa katika kipindi hiki, Serikali inawasaidia CHADEMA kutoka kwenye mtego wa kuhamasisha Maandamano yanayoweza kupelekea ghasia. Soma Pia: Waziri Katambi apiga marufuku mikutano ya siasa...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kuchaguliwa serikali ya CCM onesha kuwa katiri. Simbachawene alionekana kutumia busara, hekima and the like , wakamlamba

    Mwigulu na Katambi na wengine wote wa rank za juu ni makatiri. Ndiyo sifa ya sasa kuwa Waziri, PM and the like. Simbachawene alianza vizuri. Wakaona huyu siyo katiri wakamtoa
  10. JamiiForums Tanzania Tatizo kubwa la Serikali ya CCM ni Denial

    Kwa ufupi kabisa, mpaka sasa Taifa la Tanzania limeshapoteana. Sababu kubwa ni CCM kushindwa kuelewa kuwa Generation has changed, na hata modality ya kuongoza nchi na kuchanganua mambo inapaswa kubadilika. Modality ya kutisha tisha raia, kuteka watu ilianzishwa na Nyerere na inatumika hadi...
  11. JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM yagawa ' Vyombo vya Usafiri 337 ' kwa watumishi wa afya ngazi ya Jamii

    Wahudumu wa afya ngazi ya jamii katika Manispaa ya Songea na Halmashauri ya Wilaya ya Songea wamekabidhiwa jumla ya baiskeli 337 kwa ufadhili wa kampuni ya Buffalo Bicycles Tanzania Limited ili kurahisisha utoaji wa huduma za afya kwa wananchi. Katika Manispaa ya Songea, baiskeli 140 zimetolewa...
  12. JamiiForums Tanzania Kwa sasa wanaona rahaa na kufurahi mambo ya utekaji. Ila kuna siku mtoweza kulizuia na litakuwa mpaka kwenu

    Muharibufu wa nchi duniani wa kwanza ni serikali kisha wengine tunafata. Kwa mwendelezo huu ambao unaendelea kwa matendo na vyombo vya ulinzi vikakanusha. Hivi mnajua matokeo yake au mnataka kuonesha kipi. Utekaji na watu kupotezwa asilimia kubwa ni vyombo vya ulinzi na asilimia ndogo ni kama...
  13. JamiiForums Tanzania Ni kwamba serikali ya CCM imejiingiza rasmi kwenye cryptocurrency kuogopa miamala yao mpaka kufikia kujisema wanaolipwa ni wapinzani.

    Mchezo uliopo sasa kila CCM na UVCCM wanahisi wanacho tumwa kuwa kinafanywa na upinzani. ila watambue CCM imefikia sasa mtashangaa pesa zimepotelea wapi na zimeama nchi gani. Singapore,dubai na russia ndio watu wazuri wa miamala ya cryptocurrency. Na ili litawasaidia CCM kupeleka pesa zao ili...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM imefanya wananchi wazoee mateso kwa kiwango ambacho wanaona ni sehemu ya maisha

    Nimepita leo ofisi za Nida pale Mombasa watu wamekusanyika wengi foleni juani toka asubuhi hadi jioni, hivi katika kizazi hiki cha technology ilivyopiga hatua una haja gani kuwaanika watu juani na kuwanyeshesha mvua, huku ukiwa umewasitisha kufanya kazi kutwa nzima!!? Hali ni hiyo maeneo mengi...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO ILEMELA, MWANZA: Je, Serikali ya CCM Inashindwa Kumdhibiti Mwana CCM Anayevunja Sheria?

    ILEMELA, MWANZA: Je, Serikali ya CCM Inashindwa Kumdhibiti Mwana CCM Anayevunja Sheria? Buswelu A – Majengo Mapya, Ilemela. Mwaka 2019, wananchi wa eneo hili waligundua kuwa kuna mpango wa kujenga baa katikati ya makazi yao. Kwa kuwa sheria za nchi zinadhibiti wazi wapi baa zinaweza kujengwa...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Ili kuitetea Serikali ya CCM ya sasa unahitaji kuwa muongo sana na usie na hata chembe ya aibu!

    Serikali yetu chini ya CCM imegeuka kuwa kituko cha Karne yaani wanadiriki kudanganya kusema uongo na kupiga propaganda ambazo nadhani hata shetani anakaa kuwashangaa.!
  17. JamiiForums Tanzania Hivi serikali ya CCM mnachokifanya ni kile kile cha Zimbabwe kwa mugabe.

    Kabla upako wa mugabe ujamfikia pale Zimbabwe kulikuwa na matukio kama haya ambayo tunaendelea nayo tanzania. Uhai wa mtu kuondolewa kulinda CCM kubaki madarakani sasa unajionesha wazi wazi kwa maneno na matendo. Nimeshindwa kuelewa mpaka sasa yani CCM ina vikundi vya siri ambayo sasa...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM iliyojichagua yenyewe huwachukulia wananchi kama vitoto vya kambo. Chawa hawayajui haya

    Kuna kilio kikubwa cha nishati na fukuto la nishati lilikuwa na viashiria vyote vya kuwa hali itakuwa tete sana pamoja na viashiria vyote hivyo kutokana na kwamba serikali iliyopo madarakani haikuchaguliwa na wananchi haina vinasaba nao haikujali chochote. Kama ingekuwa ni serikali imewekwa...
  19. JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM bwana

    Hivi kuzunguka kwa waziri mkuu nchi nzima kutatua kero ina maanisha idara zote zimeshindwa na yeye kajivika majukumu yote.
  20. JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM huu mtandao wa Discord umewafanya nini?

    Kuna training nimejiunga na wana Discord channel, cha ajabu eti imefungiwa Tanzania Sasa mbona mmezidi wadau? Kwa kweli sijapenda na nimechukia sana
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…