series

  1. BMW wamezindua BMW i3 Sedan | Hii ni 3 Series ya Umeme!

    Ni wazi 3 Series ndio gari BMW waliyouza kwa wingi kuliko model yoyote hadi sasa. Sasa kuendana na teknolojia, wameiletea EV yake, inaitwa i3. Cha muhimu kabisa ni range ya 900 kilometa na power ya 460 hp. Battery lina 100 kWh na charging system ya 800v architecture (DC fast charging inakupa...
  2. Defender 110 vs Land Cruiser 70 Series – Nani ana 4x4 kali zaidi Off-Road? Post:

    Title: Defender 110 vs Land Cruiser 70 Series – Nani ana 4x4 kali zaidi Off-Road? Post: Kuna kitu kimeniwazisha sana kuhusu uwezo wa off-road wa magari haya mawili. Kati ya Land Rover Defender 110 Toyota Land Cruiser 70 Series, ipi ina 4x4 kali zaidi kwenye mazingira magumu kama matope, milima...
  3. Matatizo ya Samsung Galaxy S Series used hasa za kutoka Dubai

    Habari wakuu ..! Msimu ujao wa sikukuu hizi za wakristu na waislamu hasa pasaka, wauzaji na maduka mengi hasa ya simu huwa yanatoa offer kwa bidhaa zao. Nilikuwa nina mpango wa kuvuta Samsung Galaxy S22 Ultra kwenye hizo offer ila nimefatilia mara kadhaa kwenye mitandao na maoni ya watu...
  4. Samsung wamezindua simu Galaxy S26 Series!

    Ni February nyingine, Samsung wanatuletea S Series. Wamekuja na S26, S26+ na S26 Ultra. Kusema kweli mabadiriko ya kimuonekano ni madogo sana ukifananisha na S25 kwahiyo vichache vya kuandika.
  5. Car4Sale LAND CRUISER "79 SERIES" IKO SOKONI

    Bei/Price🏷️👉🏽TSH 110M Call📞+255 747 999 927 LAND CRUISER PICK UP Year: 2012 Engine: 1VD-FE Mileage: 78,000+ Fuel Used: DIESEL Transmission: MANUAL ✨Bull Bar ✨Sport Rims ✨2-SRS Airbags ✅Clean Interior ✅Well-Maintained ✅Swap Deals Allowed
  6. Kufananisha Subaru SJG na LC 300 series ni matusi!

    Wanabodi za wikiendi! Nimekuwa nikifuatilia huu mjadala unaoendelea Instagram kuhusu Subaru SJG vs Land Cruiser 300. Kuna hoja zinatolewa kwa confidence sana kwamba Forester SJG inaweza kuipiku LC300. Binafsi nikaona ni vyema tuweke hisia pembeni, tuangalie uwezo wa magari haya kwa uhalisia wa...
  7. Ushauri kuhusu Aftermarket Accessories (Dashboard & Android TV) kwa BMW 3 series za miaka ya nyuma.

    Habari za mda Wana jukwaa, Naomba tupeane madini /maoni, hasa kwa wajuzi na Wamiliki wa BMW 3 series sedan (hasa za kuanzia 2011 kurudi nyuma). Kumekuwa na trend ya kufunga aftermarket Accessories kama...
  8. Series ya Jack Ryan S02 (2019): Ilitabiri Tukio la Venezuela — Miaka 6 Baadaye Marekani Ikapiga kwenye mshono

    Kuna series moja nzuri sana ambayo sasa ndio inashika vichwa vya habari duniani kote na hii series inaitwa Tom Clancy's Jack Ryan. Mfululizo wa Tom Clancy’s Jack Ryan unamuhusu mwamba mmoja wa kuitwa Jack Ryan, mfanyakazi wa CIA anayejihusisha na ujasusi wa kimataifa, uchambuzi wa mambo hatari...
  9. Kwa Mil 6 Unapata iPhone 17 Pro Max Bila Charger wala Cover au BMW 3 Series na chenji ya Service!

    Maisha yako speed. iPhone 17 Pro Max 512 GB pale iStore Mlimani City inauzwa Mil 6. Kwenye package unapata iPhone, USB C, pini ya kutolea laini na Makaratasi. Hamna kichwa cha chaja, hamna protector, earphone wala kava. Ila kwa iyo iyo bei unapata BMW E90 2007 namba D na inabaki pesa ya...
  10. Je M-wekeza ya vodacom wanazingatia formula ya compound interest ya kwenye topic ya sequence and series?

    Heri ya mwaka mpya wanafamilia ya jamii forum. Kwa wenye uzoefu na m-wekeza ya voda, mfano ukiwekeza let say Tsh. 10,000,000/= kwa miaka 10 kwa riba ya 13% kwa mwaka, je baada ya miaka 10 utaweza kupata kias cha Tsh. 33,945,673.899? Kama formula ya compound interest ilivyo? Au wao voda...
  11. Contemporary and cross cutting issues, Hii Korean TV series inaweza ikawa case study.

    Affection | The King's Affection. :
  12. M

    Hii series ya Daudi na Goliati imenibamba sana

    Nimetokea kuikubali sana hii series Maisha ya Daudi akiwa mchungaji wa kondoo huko milimani akipambana na wanyama wakali huku kaka zake wakiwa nyumbani Maisha ya mfalme Sauli aklivyolewa sifa kuona mafamiko yote ni yake na jinsi alivyo kiuka maagizo ya Mungu Nabii Samueli alietumika kumsaidia...
  13. Wazee wa Pixel: Google wamezindua Pixel 10 Series!

    Siku ya leo tar 20 August, Google wamezindua simu zao za Google Pixel kupitia event yao ya Made by Google 2025. Baadhi ya simu zilizozinduliwa ni Pixel 10, Pixel 10 Pro, Pixel 10 Pro XL, na Pixel 10 Pro Fold. Mbali na simu, Google wamezindua pia Pixel Watch 4 Smartwatch na Bud 2a earpods...
  14. Ila wanangu hii JF ina mambo hata kama kuna watu wanatuangaliaga kama series huwa wanacheka sana na kutamani season mpya

    Mwamba anasema amejaribu kupata mtoto na mkewe kakosa, akapewa connection na jirani akajaribu kwa mganga ila bado chali alafu anamuambia jirani mtoa connection amjaribu yeye kama kweli atapata mimba, mara paaap jirani kapata mimba na mtoto hataki kutoa🤣🤣🤣 Ila sisi waafrika🚮🚮
  15. S

    Website Kali Kwa Tanzania zinazotambulika Kwa movie na series zilizotafasiliwa Kwa Kiswahili

    Leo katika pitapita yangu wadau nnimekutana na moja ya website makini sana ambayo inahusika na maswala ya movie na series zilizotafasiliwa Nahitaji mnisaidie kunipatia majina mengine ya website maana nimekutana na site moja hapa inaitwa SWAFLIX Hii website ipo na movie na series zote za madj...
  16. M

    Nina visa kadhaa vya kusisimua katika maisha yangu, ni wapi naweza kuiuza kwa watengeneza movie / series ?

    Ni visa ambavyo vimewahi kufanya watu wanisikilize kwa umakini mkubwa, kuwa na hamu ya kuendelea kuwasimulia nilipoishia na kuniomba updates. Sioni haja tena ya kusimulia visa vyangu kama hakuna pesa, ni wapi naweza kuuza hivi visa ambavyo ni true life stories na nipate motivation ya kuingia...
  17. Honda wanakuja na Honda 0 Series SUV: Baya kuliko Cybertruck ya Tesla!

    Tushawahi kuongelea humu EV kutoka Honda ambayo ni sedan, iliopo katika series 0. Honda 0 Series Saloon: EV yenye muonekano wa ki-future! Hawa jamaa sasa wanaleta SUV yake. Ingawa taarifa za specifications, bei na upatikanaji hazijatolewa, ila ndio hii production type.
  18. Acha nitulie sasa nimalizie series yangu kali sana

  19. M

    Car4Sale Nauza BMW 5 SERIES (DYS) TZS. 8m

    Gari haina tatizo lolote Haijawahi kurudiwa rangi popote AC, Engine, Gear box vyote safi . Makumbusho - Dsm . 0717 650800
  20. Muhusika wa series ya Mr robot ndio kacheza sinema ya The mature.Ila zinaonesha kuhusu serekali na ubabe na jinsi ya kushindana nazo

    Kwa wale waliofatilia MR robot Mtakuwa sio wageni kuhusu mambo ya utawala na ushenzi wa dunia ulivyo kwa watawala. Sasa amekuja na sinema ambayo kumbe serikali kuna ponjoro wengi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…