seneta

Eugene Seneta is Professor Emeritus, School of Mathematics and Statistics, University of Sydney, known for his work in probability and non-negative matrices, applications and history. He is known for the variance gamma model in financial mathematics (the Madan-Seneta process). He was Professor, School of Mathematics and Statistics at the University of Sydney from 1979 until retirement, and an Elected Fellow since 1985 of the Australian Academy of Science. In 2007 Seneta was awarded the Hannan Medal in Statistical Science
by the Australian Academy of Science, for his seminal work in probability and statistics; for his work connected with branching processes, history of probability and statistics, and many other areas.

View More On Wikipedia.org
  1. stakehigh

    Seneta Cherargei aunga mkono utekaji nyara wa wakenya

    https://m.youtube.com/watch?v=Fb0NXm8zczM Katika hotuba yake amesema, mkiwapata wakenya wafinyeni alafu warudishe tuwamalizie
  2. funaku

    Seneta wa Minnesota, Melissa Hortman pamoja na mume wake wameuawa kwa risasi

    Kuna tetesi kuwa Seneta kutoka chama cha demokrati ameuawa kwa kupigwa risasi huku tukio hilo likihusishwa na swala la kisiasa. ----- A Minnesota state lawmaker and her husband were shot and killed in their home early on Saturday morning in what Governor Tim Walz called an "act of targeted...
  3. Mkalukungone Mwamba

    Kauli ya Seneta Cheruiyot Kuhusu Kifo cha Albert Ojwang hatujajulishwa hata ni maafisa gani waliomfuata Ojwang' kule Homa Bay

    Seneta wa Kericho, Aaron Cheruiyot, alisema: "Wakati mmoja wetu (Mbunge wa Kasipul) alipopoteza maisha, tulikuwa tunapewa maelezo ya kila hatua, saa kwa saa, lakini hadi sasa, hatujajulishwa hata ni maafisa gani waliomfuata Albert Ojwang' kule Homa Bay. =============== Kericho Senator Aaron...
  4. Mkalukungone Mwamba

    Seneta Cheruiyot: Wananchi hawakutuchagua ili tulalamike kama wao

    "Wananchi hawakutuchagua ili tulalamike kama wao, tunapaswa kuona haya... Tuchukulie kwa uzito kifo cha Albert Ojwang," Seneta Cheruiyot aliwaambia maseneta ================= “The people did not vote us to lament like them, we should be embarrased,,, Let us be serious on the death of Albert...
  5. DR HAYA LAND

    PreGE2025 Majibu ya seneta wa Migori (Kenya) Hon : "Eddy Gicheru Oketch" kuhusu Bunge la Tanzania

    "Mheshimiwa Spika, Tanzania ni nchi maskini kiasi ambacho haipaswi kupewa heshima ya kujadiliwa kwenye baraza letu la Seneti au Bunge la kitaifa. Ina rasilimali nyingi, lakini ina viongozi wasioweza kutumia rasilimali hizo kusaidia wananchi. Hivyo, hatupaswi kupoteza muda kujibu ukosefu wa...
  6. BLACK MOVEMENT

    Seneta wa Kenya Edwini Sifuna asema leo Bunge la Kenya mjadala utakuwa kwa Kiswahili ili Watanzania waelewe Somo

    Hii vita naona ikifika mbali na huenda steling akafia kwenye bustani ya maua. Hii ni kwa ajili ya Msukuma
  7. chiembe

    Seneta Cherargei wa Kenya amuomba Rais Samia asaidie kuwatia adabu wakenya wasio na nidhamu, ataka washitakiwe na wafungwe

    Rais Samia apongezwa ndani ya Bunge la Seneti la Kenya kwa kuwashughulikia wakenya wasio na nidhamu. Hakika Samia kaonyesha hacheki na wowote, kapongezwa ndani ya Bunge la Seneti la Kenya.
  8. U

    Seneta John Thune asema Marekani kuiwekea vikwazo ICC ikithubutu kutoa hati ya kukamatwa Netanyau au viongozi wengine

    Jisomeeni wenyewe hapo chini kwa kimombo: Times of Israel Incoming Senate majority leader threatens ICC with sanctions over case against Israelis Senator John Thune warns US will impose restrictions on International Criminal Court if it moves ahead with arrest warrant requests against...
  9. JanguKamaJangu

    Seneta Samson Cherargei: 60% ya Wakenya wanaunga mkono Rais aongezewe muda wa kukaa madarakani

    Nandi Senator Samson Cherargei: As we talk today, my phone has over 12,000 SMS and close to 20,000 WhatsApp messages, and I have received so many phone calls, Mr. Speaker. Even the email address of the Senate is almost hitting half a million email messages reacting to my Bill. I want to report...
  10. I

    Urusi yamtishia Seneta wa Marekani kwa kauli yake ya kejeli dhidi ya Urusi

    Russia imemweka Seneta wa Marekani Lindsey Graham kwenye orodha ya mtu anayetafutwa na hii ni kulingana na ripoti za vyombo vya habari vya Russia vikinukuu hifadhi data ya wizara ya mambo ya ndani. Ofisi ya rais wa Ukraine siku ya Ijumaa ilitoa video iliyohaririwa ya mkutano kati ya Seneta...
  11. B

    Mtanzania Joe Chialo awa seneta katika jimbo la Berlin Germany

    26 April 2023 Berlin, Germany JOE CHIALO SASA NI SENETA KTK BARAZA LA SENETI JIMBO LA BERLIN Seneta Joe Chialo atahusika kusimamia masuala nyeti ya Utamaduni, Maridhiano, Ushirikishwaji na Kukuza Demokrasia katika jimbo la Berlin Ujerumani. Kufuatia mazungumzo marefu ya maridhiano hayo ya...
  12. JanguKamaJangu

    Seneta Marekani anahoji msaada kwa Rwanda

    Seneta Robert Menendez amesema atasimamisha msaada wa usalama wa Marekani kwa Rwanda katika Bunge kutokana na kuwa na wasiwasi kuhusu rekodi ya haki za binadamu ya Serikali ya Rwanda na taarifa za taifa hilo kuhusika katika mzozo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC). Ameandika barua...
  13. S

    Seneta Manchin wa US alalamika Marekani kuendelea kununua mafuta ya Russia zaidi ya lita milioni 79 (barrel nusu milioni) kwa siku

    Seneta wa West Virginia wa Chama Cha Democrat, Joe Manich, amemtaka rais Biden kuongeza uzalishaji wa nishati wa Marekani ili kuiepusha Marekani kuendelea kuitegemea mafuta na gesi ya Russia, akiishutumu Ikulu ya White House kuweka sera za kinafiki. Seneta huyo kasema Marekani yaingiza...
  14. Miss Zomboko

    Seneta wa zamani wa Haiti akamatwa Jamaica kwa mauaji ya Rais

    Polisi nchini Haiti imesema seneta wa zamani ambaye ni mshukiwa mkuu katika mauaji ya aliyekuwa rais wa nchi hiyo Jovenal Moise ametiwa mbaroni nchini Jamaica. Msemaji wa jeshi la polisi Gary Desrosiers [Derosieri] ameliambia shirika la habari la Associated Press kwamba John Joel Joseph yuko...
  15. B

    Kutoka Ufaransa: Makamu wa rais Dkt. Mpango akutana na Seneta Ronan Dantec

    30 Juni 2021 Paris , France Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango hii leo Juni 30, 2021 amekutana na kufanya mazungumzo na mwenyekiti wa kundi la maseneta wa kifaransa marafiki wa Tanzania Mheshimiwa RONAN DANTEC M. Ronan Dantec, sénateur de la...
Back
Top Bottom