Wanaita watu wengi Sana katika usaili hii nilifanikiwa kuifatilia ni fani ya ICT Officer (System Administrator) wanaitaji nafasi moja lakini wameita watu 752.
Vijana waliohudhuria pale wamezuiliwa kuingia kwenye usaili ni wengi sababu ya kuzuia mfano mwingine alikua anashiriki hizo interview...
Tatizo la ajira nchini linazidi kuwa kubwa kadiri siku zinavyozidi kuenda.
Uthibitisho wa hili ni idadi ya waomba kazi ikilinganishwa na nafasi zilizotangazwa.
Sekretarieti ya ajira imekuwa ikiita watu kwenye usaili Dodoma na Dar es Salaam.
Idadi hii ni kubwa sana kama wahusika wote...
Huu utaratibu wa kuwaambia watu kuomba ajira kisa tu wamesoma na wamemaliza ngazi zao elimu sio sawa, na umeshapitwa na wakati hapa nchini. Na uchumi hauna tena uwezo wa ku-accomodate majority ya walimu na hata kada za afya.
Njia pekee ambayo itaisaidia kwa asilimia kubwa utapeli, rushwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.