scholarship

  1. JamiiForums Tanzania Mliowahi kupata funded scholarship mtupe uzoefu

    Nipo katika mchakato wa kutuma maombi funded scholarship za ujerumani DAAD masters in international health. Hivi mwajiri anaweza kutoa cheti cha utumishi wakati bado unafanya kazi na vilevile Recommendations Letter hasa kwa private?
  2. JamiiForums Tanzania Samia scholarship extended program(MSc Nuclear Science): 2024/2025

    Wakuu habari, poleni na majukumu. Kuna hizi scholarship zinazotolewa na Tume ya nguvu ya Atom Tanzania (TAEC) kupitia Raisi Dkt Samia Suluhu Hassan (Maelezo zaidi yapo katika tovuti ya taec.go.tz). Sababu ya kupost ni kwamba tangu siku ya Jumatatu website husika haipatikani hewani na link ya...
  3. JamiiForums Tanzania Wizara ya Elimu acheni kuwa madalali wa Scholarship za Ubalozi

    Jana nilipata nafasi ya kukutana na Kiongozi mmoja wa Ubalozi wa New Zealand nchini Tanzania, tulipata wasaha wa kula chakula cha jioni yeye pamoja na familia yake. Tulikuwa kwenye hoteli moja maarufu sana haa Dar es Salaam, na baada ya kupata chakula tulizungumza mambo mengi na kupiga stori...
  4. JamiiForums Tanzania Benki kuu Tanzania (BoT) yatangaza nafasi za ufadhiri wa masomo elimu ya juu

    Benki kuu ya Tanzania(B.O.T) imetangaza scholarship katika mwaka wa masomo 2024/25
  5. JamiiForums Tanzania Anayejua namna ya kuomba scholarship anisaidie

    Binafsi nina mdogo wangu anemaliza kidato cha sita ana ufaulu wa 1.5 PCB Embu anaejua jinsi ya ku apply anielekeze
  6. JamiiForums Tanzania Je ni mashirika gani Tanzania yanatoa scholarship for continuing students wa bachelor degree?

    Habari Nipo na interest ya kufanya scholarship application zilizopo hapa hapa Tanzania, Je ni mashirika yani ukiachana MO foundation and Samia scholarship , yanatoa scholarship kwa continuing students if you first year GPA is more than 4.0 and you are a science student Thanks in advance, any...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Vijana wengi tunaibiwa kwa uvivu kupitia nafasi za ufadhili wa masomo nje

    Kuna wimbi la watu wengi wanaelezwa juu ya nafasi za ufadhili wa masomo ya juu kwa ngazi tofauti na mashirika mbali mbali. Mara nyingi kwa kutumia lugha za biashara mfano "Scholarship opportunities upto 50%" Watu wamekuwa wakikimbilia fursa hizi na kupatiwa nafasi vyuo mbali mbali nje ya nchi...
  8. JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata scholarship ya kusoma master’s ya afya (Masters in Medicine)?

    Nawasalimu kwa jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Mimi ni kijana niliyehitimu masomo ya udaktari wa binadamu(MD) mwaka 2021 kutoka chuo fulani nchini Tamzania, nilifanikiwa kufanya Mafunzo ya utarajari pia katika hospital fulani mkoani, nilipomaliza nikafanikiwa kufanya mtihani wa...
  9. JamiiForums Tanzania Wanaovizia scholarship za japan tukutane hapa

    Kupeana mawili matatu yanayohusu changamoto za kwenye application hio toka wizara ya elimu ya japan. Maana application imekaa Kwa lugha sio nyepesi kivile.. Mpo mliona tangazo?
  10. JamiiForums Tanzania Zipo scholarship hadi wenye miaka 30-33

    Habari ya sasa hizi wakuu, ni matumaini yangu mpo wazima kabisa. Naomba kuuliza wakuu hivi zipo scholarship hadi wenye miaka 30-33
  11. D

    JamiiForums Tanzania Nimepata admission vyuo mbalimbali Europe. Wapi naweza pata full funded scholarship?

    Nimepata conditional admission vyuo mbalimbali. Courses ni masters ya leadership na education leadership. Uingereza nimepata vyuo vinne. Sweden chuo 1 Finland 1 Poland 1 Tatizo ni uwezo wa kujisomesha. Naomba mwenye kufahamu taasisi ninayoweza kuomba full funded scholarship/sponsorship...
  12. JamiiForums Tanzania Scholarship Opportunity for Postdoctoral Position at University of Dar es Salaam March, 2024

    SCHOLARSHIP OPPORTUNITY FOR POSTDOCTORAL POSITION Introduction The University of Dar es Salaam, through funding from the AIR Equity InitiativeP3- Africa Programme, is offering a full-time post-doctoral/sabbatical position for eligible candidates to further their research portfolio. Key...
  13. JamiiForums Tanzania MSAADA: Naomba uzoefu kwa wanufaika wa scholarship au yeyote mwenye ujuzi wa masuala ya kusoma nje

    Nina ndoto ya kusoma nje ya nchi naombeni ushauri kwa wale mliowahi kunufaika na full funded scholarship. Mliwezaje na vitu gani nianze kujiandaa navyo ili niweze kupata na mimi nitimize ndoto yangu?🙏🙏
  14. JamiiForums Tanzania Bonus: Orodha ya Full funded Scholarship za kumalizia mwaka

    Soma kwa makini hizi Scholarship anza kutuma maombi: 1. Commonwealth Scholarship 2024/2025: https://cscuk.fcdo.gov.uk/about-us/scholarships-and-fellowships/ 2. Queen Elizabeth Commonwealth Scholarships 2024/2025...
  15. JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo Kuwapa Mikopo Wanafunzi Waliotemwa Samia Scholarship

    Serikali imewahakikishia kupata mikopo wanafunzi 226 ambao wametemwa katika ufadhili wa masomo wa Samia ‘Samia Scholarship,’ baada ya kushindwa kukidhi vigezo vya kuendelea kupata ufadhili huo. Akizungumzia suala hilo, Mkurugenzi wa Habari, Elimu na Mawasiliano wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa...
  16. JamiiForums Tanzania Kigezo cha Ufaulu chawatema Wanafunzi 200 kwenye Samia Scholarship

    Wakati wanafunzi 226 wakitemwa katika ufadhili wa masomo wa Samia ‘Samia Scholarship’ kutokana na kushindwa kukidhi vigezo vya kuendelea kupata ufadhili huo, Serikali imewahakikishia kupata mikopo ili waendelee na masomo yao. Wanafunzi hao ni kati ya 640 walionufaika na ufadhili huo katika...
  17. JamiiForums Tanzania Mo Dewji Scholarship 2023 imefunguliwa rasmi.

    Habari za muda huu wana Jf. Kuelekea mwaka huu wa masomo kwa Mo Dewji foundation imetangaza mpango wa kudhamini wanafunzi unaofanyika kila mwaka wa masomo .Ni fursa kwa wahitimu wenye vigezo kuomba ambapo tarehe 9 mwezi huu watu waanza kuapply siku tatu zimebaki sasa ,ukipata hapo ahueni kubwa...
  18. JamiiForums Tanzania Scholarship zote hizi hapa ushindwe wewe tu

    1. Singapore International Graduate Award (SINGA) https://opportunityportal.info/singapore-government-singa-scholarship/ 2. Deakin University Scholarship https://opportunityportal.info/deakin-university-scholarship-2023/ 3. Boston University Scholarships...
  19. JamiiForums Tanzania Chulabhorn Graduate Institute Scholarship 2024 in Thailand (Fully Funded)

    Host Country: Thailand University: Chulabhorn Graduate Institute Degree Level: Masters Financial Coverage: Fully Funded Deadline: 30th September 2023 Scholarship Duration 6 weeks of refresher courses and 2 years of Master’s degree study. The academic program will commence in August 2024. Fields...
  20. E

    JamiiForums Tanzania UDSM toeni majina ya washindi wa Merit scholarship 2022/2023

    Kama ilivyo kawaida kwa vyuo vingi vya elimu ya juu kutoa ufadhili kwa wahitimu wa ngazi mbalimbali za elimu, chuo kikuu cha Dar es salaam (UDSM) kina utaratibu wa kutoa ufadhili kwa wanafunzi wa ngazi ya shahada za awali na shahada za uzamili. Katika mwaka wa masomo 2022/2023, dirisha la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…